Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

You want to say it’s about time, maana mtumba unaoitwa ndege ya raisi kwakweli sio wa kumpandisha raisi.

Nonetheless this is a bad purchase sio kwamba raisi aihitaji ndege mpya, Iła sio ya size ndogo.

Hawa watu wana sababisha huge disruptions kwenye ratiba za ATCL kwa kuchukua ndege at whims zao.

Ni bora wanunue Boeing yao yenye uwezo wa masafa mafupi na marefu ili kuacha ATCL ijikite kwenye biashara.

Watanunua Gulfstream ya kupanda raisi; halafu akisafiri watachukua na Bombardier ya kupandisha walinzi wake na wafanyakazi wa Ikulu.

Just senseless.

Bora kuwanunulia ndege yao hata kama ni Boeing Max yenye uwezo wa kuruka popote duniani na suitable for short flights. Uimara wa ndege ni flying hours kama aitumiki sana maana yake inaweza kaa hata miaka 20.

Boeing max inabeba raisi na watu wote anaotembea nao, na siku MaCCM sijui viongozi wa serikali wakiitaka kwa msafara wa mlundiko wana ndege yao.

Kuliko kuharibu ratiba za ATCL, ni waste of money kununua Gulf Stream kwa namna rahisi anavyosafiri.

Get serious people kwenye posts za serikali.
 
Wasanii waandae kanzu na madela kwa safari za nje.
 
Hiyo ni nzuri ya kuanguka!
Tuna hamu ya uchaguzi ujue!
 
Hizo unazosema za ATCL amenunua yeye na kama kuna hasara ni yake yeye, sisi jukumu letu ni kuhakikisha tunalipa kodi kwa uaminifu.
 
Uko sawa,yeye ndiye mwajiri mkuu...wanalipa fadhila.
 
Wasanii waandae kanzu na madela kwa safari za nje.
Watatosha kwenye Gulf Stream na walinzi wake, wafanyakazi wa Ikulu, watu wa idara tofauti anaosafiri nao.

Kwenda huko inabidi wachukue Dreamliner na kuaribu ratiba za ATCL.

Wanahitaji size ya Boeing Max or whatever Airbus is offering on similar capabilities.

Kununua Gulf Stream kama ndege ya serikali, jumlisha na tabia zao ni waste of money.
 
Wapo

Wengi sana wanaoimba mitano tena kwa mama. Yani awamu hii ukiwa uko na nafasi serikalini ukashindwa kuufuta umaskini kwenye ukoo wenu basi jua imeisha hio!
Serikali haina tena fedha,fedha ziko mikono mwa watu wachache🥺
 
Safi sana, tunapongeza kwa hatua hiyo kwani Rais wetu sasa atakuwa na ndege ya heshima.
Kiongozi wa nchi lazima awe na ndege ya uhakika inayo endana na usasa, usalama n.k.
 
Uko sawa,yeye ndiye mwajiri mkuu...wanalipa fadhila.
Hawalipi ata fadhila they demand it.

Kimei ili tatizo alilidadavua sana kwenye papers zake why banks failed in Tanzania.

Ni kulazimishwa kuzikopesha taasisi za serikali ambazo hazikuwa zinalipa madeni.

ATCL ina management ya hovyo, lakini mchango wa serikali kwenye kuharibu biashara lazima nao utambulike.

Wanunue ndege yao ya maana
 
Utasikia ATCL imetoa gawilo la bil 5.8 kwa serikali, na mazuzu watapiga makofi.
 
Itafanya tripu nne chap! TRA itatafuta jinsi ya kufidia hasara kwa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…