Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha mkapa! Mramba ndiye aliyesema hayo akiwa waziri wa fedha!Kuna kipindi kama sio cha JK basi ni JPM bungeni walisema bora wananchi wale majani ila ndege ya Rais inunuliwe. Hii nchi ina viongozi wajinga sana
Kipindi cha Ben Mkapa, enzi za Basil Mramba akiwa ni waziri wa fedha.Kuna kipindi kama sio cha JK basi ni JPM bungeni walisema bora wananchi wale majani ila ndege ya Rais inunuliwe. Hii nchi ina viongozi wajinga sana
Wasanii waandae kanzu na madela kwa safari za nje.Tanzania imenunua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya raisi. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner. Kama ndege ya raisi (customized), gharama yake inaweza kuwa dola za Marekani milioni mia moja ($100m)
Hizi ni baadhi ya facts kuhusu Gulfstream G700
==================
- Kuiboresha kwa matumizi maalum, mfano kuwa ndege ya Raisi - gharama kuanzia $5–$20 milion juu ya bei ya ndege ya $80 million.
- Umbali wa kuruka bila kuongeza mafuta ni 7,500 nautical miles (13,890 km), yaani inaweza kwenda nchi yeyote duniani toka Dar bila kutua
- Wastani wa gharama za uendeshaji ni $3,000 - $4,000 kwa saa, kutia ndani mafuta, service, mishahara ya pilots na wahudumu
- Speed ya Gulfstream G700 inafikia 993km/hr (spidi ya Dreamliner ni zaidi kidogo ya 1000km/hr)
- Ina uwezo wa kubeba abiria 19
Tanzania took delivery of a brand-new government aircraft, a G700, ch-aviation research revealed. The transaction is part of the VIP transport fleet renewal plans announced earlier this year.
The ultra-long-range Gulfstream Aerospace jet, 5H-ONE (msn 87015) was at Appleton Outgamie County Regional from August 8, 2024, after a flight from Savannah International. It was then ferried to Dar es Salaam, via Casablanca Mohamed V, between December 21 and 22, and has not yet entered service following its arrival.
In February 2024, Tanzania’s Parliamentary Committee on Administration, Constitution and Law identified three aircraft used by officials. These included a 20.3-year-old G550, 5H-ONF (msn 5030), previously registered as 5H-ONE, intended to serve the president. The aircraft was ferried back from Dar es Salaam to Savannah between November 28 and December 1. The other two aircraft are a F50, serving other officials, and a F28-3000, which is currently stored at Dar es Salaam.
source: ch-aviation
View attachment 3190964
Kilikua kipindi cha Mkapa,na aliyetoa kauli hiyo alikua waziri wa fedha ambaye sasa ni marehemu,Basili Pesambili MrambaKuna kipindi kama sio cha JK basi ni JPM bungeni walisema bora wananchi wale majani ila ndege ya Rais inunuliwe. Hii nchi ina viongozi wajinga sana
Kipindi cha Ben Mkapa, enzi za Basil Mramba akiwa ni waziri wa fedha.
Viongozi wa namna hii wapo hadi leo. Wameacha kupambania mambo ya msingi wameendekeza ujingaKipindi cha mkapa! Mramba ndiye aliyesema hayo akiwa waziri wa fedha!
Wacha wengine wafe,wengine wapone Kwa kweli!
Hiyo ni nzuri ya kuanguka!You want to say it’s about time, maana mtumba unaoitwa ndege ya raisi kwakweli sio wa kumpandisha raisi.
Nonetheless this is a bad purchase sio kwamba raisi aihitaji ndege mpya, Iła sio ya size ndogo.
Hawa watu wana sababisha huge disruptions kwenye ratiba za ATCL kwa kuchukua ndege at whims zao.
Ni bora wanunue Boeing yao yenye uwezo wa masafa mafupi na marefu ili kuacha ATCL ijikite kwenye biashara.
Watanunua Gulfstream ya kupanda raisi; halafu akisafiri watachukua na Bombardier ya kupandisha walinzi wake na wafanyakazi wa Ikulu.
Just senseless.
Bora kuwanunulia ndege yao hata kama ni Boeing Max yenye uwezo wa kuruka popote duniani na suitable for short flights. Uimara wa ndege ni flying hours kama aitumiki sana maana yake inaweza kaa hata miaka 20.
Boeing max inabeba raisi na watu wote anaotembea nao, na siku ma MaCCM sijui viongozi wa serikali wakiitaka kwa msafara wa mlundiko wana ndege yao.
Kuliko kuharibu ratiba za ATCL, ni waste of money kununua Gulf Stream kwa namna rahisi anavyosafiri.
Get serious people kwenye posts za serikali.
Hizo unazosema za ATCL amenunua yeye na kama kuna hasara ni yake yeye, sisi jukumu letu ni kuhakikisha tunalipa kodi kwa uaminifu.You want to say it’s about time, maana mtumba unaoitwa ndege ya raisi kwakweli sio wa kumpandisha raisi.
Nonetheless this is a bad purchase sio kwamba raisi aihitaji ndege mpya, Iła sio ya size ndogo.
Hawa watu wana sababisha huge disruptions kwenye ratiba za ATCL kwa kuchukua ndege at whims zao.
Ni bora wanunue Boeing yao yenye uwezo wa masafa mafupi na marefu ili kuacha ATCL ijikite kwenye biashara.
Watanunua Gulfstream ya kupanda raisi; halafu akisafiri watachukua na Bombardier ya kupandisha walinzi wake na wafanyakazi wa Ikulu.
Just senseless.
Bora kuwanunulia ndege yao hata kama ni Boeing Max yenye uwezo wa kuruka popote duniani na suitable for short flights. Uimara wa ndege ni flying hours kama aitumiki sana maana yake inaweza kaa hata miaka 20.
Boeing max inabeba raisi na watu wote anaotembea nao, na siku ma MaCCM sijui viongozi wa serikali wakiitaka kwa msafara wa mlundiko wana ndege yao.
Kuliko kuharibu ratiba za ATCL, ni waste of money kununua Gulf Stream kwa namna rahisi anavyosafiri.
Get serious people kwenye posts za serikali.
Uko sawa,yeye ndiye mwajiri mkuu...wanalipa fadhila.You want to say it’s about time, maana mtumba unaoitwa ndege ya raisi kwakweli sio wa kumpandisha raisi.
Nonetheless this is a bad purchase sio kwamba raisi aihitaji ndege mpya, Iła sio ya size ndogo.
Hawa watu wana sababisha huge disruptions kwenye ratiba za ATCL kwa kuchukua ndege at whims zao.
Ni bora wanunue Boeing yao yenye uwezo wa masafa mafupi na marefu ili kuacha ATCL ijikite kwenye biashara.
Watanunua Gulfstream ya kupanda raisi; halafu akisafiri watachukua na Bombardier ya kupandisha walinzi wake na wafanyakazi wa Ikulu.
Just senseless.
Bora kuwanunulia ndege yao hata kama ni Boeing Max yenye uwezo wa kuruka popote duniani na suitable for short flights. Uimara wa ndege ni flying hours kama aitumiki sana maana yake inaweza kaa hata miaka 20.
Boeing max inabeba raisi na watu wote anaotembea nao, na siku ma MaCCM sijui viongozi wa serikali wakiitaka kwa msafara wa mlundiko wana ndege yao.
Kuliko kuharibu ratiba za ATCL, ni waste of money kununua Gulf Stream kwa namna rahisi anavyosafiri.
Get serious people kwenye posts za serikali.
Watatosha kwenye Gulf Stream na walinzi wake, wafanyakazi wa Ikulu, watu wa idara tofauti anaosafiri nao.Wasanii waandae kanzu na madela kwa safari za nje.
Wengi sana wanaoimba mitano tena kwa mama. Yani awamu hii ukiwa uko na nafasi serikalini ukashindwa kuufuta umaskini kwenye ukoo wenu basi jua imeisha hio!Viongozi wa namna hii wapo hadi leo. Wameacha kupambania mambo ya msingi wameendekeza ujinga
Serikali haina tena fedha,fedha ziko mikono mwa watu wachache🥺Wapo
Wengi sana wanaoimba mitano tena kwa mama. Yani awamu hii ukiwa uko na nafasi serikalini ukashindwa kuufuta umaskini kwenye ukoo wenu basi jua imeisha hio!
Hawalipi ata fadhila they demand it.Uko sawa,yeye ndiye mwajiri mkuu...wanalipa fadhila.
Utasikia ATCL imetoa gawilo la bil 5.8 kwa serikali, na mazuzu watapiga makofi.Hawalipi ata fadhila they demand it.
Kimei ili tatizo alilidadavua sana kwenye papers zake why banks failed in Tanzania.
Ni kulazimishwa kuzikopesha taasisi za serikali ambazo hazikuwa zinalipa madeni.
ATCL in management ya hovyo, lakini mchango wa serikali kwenye kuharibu biashara lazima nao utambulike.
Wanunue ndege yao ya maana
Itafanya tripu nne chap! TRA itatafuta jinsi ya kufidia hasara kwa mama.Watatosha kwenye Gulf Stream na walinzi, wafanyakazi wa Ikulu, watu idara tofauti anaosafiri nao.
Kwenda huko inabidi wachukue Dreamliner na kuaribu ratiba za ATCL.
Wanahitaji size Boeing Max or whatever Airbus is offering on similar capabilities.
Kununua Gulf Stream kama ndege ya serikali, jumlisha na tabia zao ni waste of money.
Gulf Stream ni ndege zenye ubora duniani, accident rate yake ni ndogo sana.Hiyo ni nzuri ya kuanguka!
Tuna hamu ya uchaguzi ujue!