Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Mwanzisha uzi bila shaka unaingizwa hogo la nyama.
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Mkuu unadhani ni jambo la masihara kueleza aliyoyaeleza mleta mada katika nyakati hizi, za tofali moja shilingi 1300 za kitanzania wataki tofali hilo limetokana na kuchanganya simenti mmoja na mchanga na kutoa matofali arobaini na saba?
Yuko sahihi
 
Good Tanzania,
Tanzania tuko vizuri
 
Najivunia kuwa Mtanzania
 
Kipangaspecial chukua kinywaji ukipendacho nakuja ku settle.

Najiulizaga huyu dogo aliyeandika huu Uzi Ana mtindio wa ubongo au ni pombe chafu anazokunywa?
 
Ni upumbavu kufananisha matatizo yako na nchi nyingine.badala tuonyeshe jinsi tunavyopambana na mfumuko wa bei...tatizo siyo ongezeko la bei bali ni kiwango cha ongezeko hakiwiani na ongezeko la nje...wafanyabiashara wanapanga bei badala ya kutegemea ushindani.....nini sababu ya ongezeko kubwa la bei ya bidhaa kutoka Kenya?mbona mazao tunayouza Kenya hayajapanda bei?suala hili ni mtambuka siyo wizara peke yake bali FCC na Usalama wa Taifa uingilie kati kujua kama ni hujuma basi udhibiti ufanyike mara moja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…