Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Wewe ni mpumbavu fulani
 
Mkuu mbona kama unanichukia sana, Kosa langu ni nini?
Kosa lako unakuwa kimbelembele sana unaleta fake data hapa jukwaani ukidhani wote tupo sawa na akili zako.

Kwanini usiombe kipindi Radio Tanzania, Magic fm au Uhuru fm ndiko kuna wasikilizaji wengi mpaka vijijini kuliko hapa!.
 
Kosa lako unakuwa na data fake na kuzileta hapa jukwaani ukudhani wote sawa akili zako.

Kwanini usiombe kipindi Radio Tanzania, Magic fm au Uhuru fm ndiko kuna wasikilizaji wengi mpaka vijijini kuliko hapa!.
Data zipi fake sasa mkuu, Kwanini wasilete hapa hizo data fake?

Mkuu mimi sio mtu wa mipasho ni mtu wa fact tu,
 
Mkuu takwimu gani zimepikwa? Mbona unalalamika tu?

Hivi kweli CHADEMA hamna jema kwa Serikali ya CCM?

Jaribu kuacha kazi ya hiyo serikali yako iliyokuajiri kama mwaka mmoja hivi, then jiajiri ndani ya huo muda , naamini utakuja kufuta hii taka taka yako hapa
 
Jaribu kuaccha kazi ya hiyo serikali yako iliyokuajiri kama mwaka mmoja hivi, then jiajiri ndani ya huo muda , naamini utakuja kufuta hii taka taka yako hapa
Nadhani tuache kujadili mtoa mada tujadili mada,


Mfumuko wa bei ni Dunia nzima tuache kelele watanzania
 
Hii Dunia kumbe bado inamazuzu kiwango hiki,ungekuwa hulelewi na shemeji ungejua mfumuko wa bei,
Hata hivyo shemeji yako au Dada yako akirudi nyumbani jioni Muulize,Bei ya mafuta ya kula,sukari sembe na gesi.
Jibu utakalolipata kesho lete mrejesho.
Daaah, Mimi ni baba wa watoto mkuu wangu, naamini sana katika namba
 
Unalipwa shilingi ngapi wewe mjusi,bora mzee wako angepiga puchu umwagike kwenye tiles za bafuni.
 
Unalipwa shilingi ngapi wewe mjusi,bora mzee wako angepiga puchu umwagike kwenye tiles za bafuni.
Kosa langu nini wewe CHADEMA? acha kunijadili mimi jadili hoja yangu mkuu wangu hutanichukia kamwe,
 
Data zipi fake sasa mkuu, Kwanini wasilete hapa hizo data fake?
Mkuu mimi sio mtu wa mipasho ni mtu wa fact tu,
Mtu wa fact huwa haegemei upande mmoja kama wewe, japo tunajua unakula kwa jasho letu mwisho wa siku unatumiwa salio na wanaokutuma.
 
Kwahio wewe au wataalamu wako ndio wanajua zaidi yangu mimi ninayetoa pesa mfukoni kupata mahitaji kwamba ninachokipata ni kingi na kinatosha kwahio kinachoendelea kiendelee ?
 
Tatizo nini mkuu wangu Msanii
Comparisons unqzoweka za mfumuko wa bei zinasaidia nini ugumu wa maisha ya Mtanzania?

Kwa hiyo unamaanisha, pamoja na shida zetu ambazo zinaweza kutatulika kupitia resources zilizopo badala yake unatubainishia kwamba mbona fulani na fulani wana shida kuliko sisi?

Unajua Marekani wana Social Security Fund inayowapa posho jobless? Kwao mfumuko wa bei unatibika.

Uache ujinga wa kutuona sisi hamnazo. Tunafanya research na tunajua kuwa hii serikali inawaminya wananchi wake bila huruma.
Pesa haipo kwenye mzunguko na inakwapua kwa nguvu bila huruma kupitia tozo zisizo halali
 
Someni haya kwa makini, Tanzania tuko vizuri mno
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…