Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Mambo ni magumu dunia nzima,

Bei za bidhaa zimepanda karibu kila kona ya Dunia,

Wanaolalamika ni vile hawajui huko duniani mambo yakoje,

Tanzania bado tuko vizuri Sana ukitulinganisha na wenzetu wengi,

Mungu aibariki Tanzania yetu,
 
Mambo ni magumu dunia nzima,

Bei za bidhaa zimepanda karibu kila kona ya Dunia,

Wanaolalamika ni vile hawajui huko duniani mambo yakoje,

Tanzania bado tuko vizuri Sana ukitulinganisha na wenzetu wengi,

Mungu aibariki Tanzania yetu,
Kuna watu wanadhani ni Tanzania peke yake lazima tuwaeleweshe,
 
Kazi iendelee Pacha, tuko na Mama mpaka 2030 kwa kudra za Mungu
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Ewe chawa wa samia utazid kutumia uchawa wako mpaka lini kusifia hata visivyotakiwa kusifika?

Hivi hata suala la bei ya mafuta ya kula,sukari na mbolea viwe vya kupanda bei wakati vinazalishwa hapa hapa nchin?

Haya bei mpya za usimikaji wa nguzo za umeme na kuvuta umeme zimebadirika kwa kiwango cha kutisha ambapo wala haikiwa na maana kupandisha juu vile, nayo hayo muwasingizie na kuwahusisha mabwana zenu USA kwamba wao mfumuko umekuwa mkubwa nasisi tuige sababu yao? WHO ARE THEY?.

Hakika nimeamini kuwa shabiki wa siasa na mwanasiasa ni kujitoa akili na kukubali kila jambo bila kuhoji, kwa hizi akili takataka kama za mtoa post, tusitegemee kuwa na maendeleo kamwe, mpka mindset zibadilike.

Uchawa si mzur tafuta pesa uache kusifia upumbavu
 
Mkuu ungesoma kwanza vizuri hilo andiko
 
Tanzania tuko katika uelekeo sahihi sana tuendelee kumwombea rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan,

Tunakila sababu ya kujivuna,
 
Nyuzi za huyu chawa sijawahi ona hata moja za maàna zote ni uchafu
 
Hivi Kuna watu Bado ni wajinga kwa kiwango chako au upo peke yako tu?
Mkuu huyu kajiunga May 2021 purposely kuendesha propaganda za kumsifia SASHA humu jukwaani, shortly ni chawa wa Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…