Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Point muhimu ni hiyo ya mwisho hapo,acha blah blah zako.Unapoweka inflation tuambie basi kama income imepanda na kama imepanda au imeshuka. Uweke uhusiano wa income na inflation.
 
Hii Dunia kumbe bado inamazuzu kiwango hiki,ungekuwa hulelewi na shemeji ungejua mfumuko wa bei,
Hata hivyo shemeji yako au Dada yako akirudi nyumbani jioni Muulize,Bei ya mafuta ya kula,sukari sembe na gesi.
Jibu utakalolipata kesho lete mrejesho.
Huyu zuzu bado analelewa,jinga sana watu wa chini tunateseka kununua vitu then unaleta ujinga ujinga hapa.
 
Nchi ngumu sana hii mkuu,
Mleta nada ni Mbumbumbu, haelewi anachosema, hajui uchumi Wala biashara. Anawalisha matango pori, ni mtu wa propaganda!

Kama mfumuko wa Bei huko duniani ni 6.8%. ...Je Tanzania itakuwaje 3 mpaka 5? Kwanza Haina namba mbili..taja rate ya mfumuko wa Bei....

Pili: Tanzania wanaimport bidhaa nyingi sana, Sasa waagizaji watanunuaje ghali, halafu waje kuuza rahisi?

Mpuuzeni huyu chawa uvccm
 
Why wewe nawe usipuuzwe,? Inflation ya Tanzania inazuiwa kupanda kwakuwa Chakula kiko chini sana,
 
Kazi nzuri sana Mama yetu
 
Mpaka naandika makala hii mfumuko wa bei Tanzania kwa bidhaa na huduma kwa Vipimo vyote vya CPI,PPI na WPI unakisiwa kufikia kati ya asilimia 3 & 5 hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwisho ya BOT

Wewe mbwiga you are justifying mfumuko wa bei wa Tanzania kwa kusema kuwa hata huka Marekani na Ulaya pia upo hivyo tusilalamike? Per capital Income ya marekani ni shillings ngapi za Tanzania? Na Per Capital income ya mTanzania ni shilling ngapi? Kufuatana na tofauti hizo za wastani wa kipato huoni kuwa athari za mfumuko huo wa bei utakuwa tofauti kati ya mmarekani na mTanzania? Tanzania haina budi kuthibiti mfumuko wa bei nchini mwake kufuatana na hali halisi ya nchi na sio kutoa visingizio visivyokuwa na maana.
 
Kwani siumeambiwa wa Marekani upo juu zaidi!

Kama Pato la mtu Marekani na Tanzania yanatofautiana ndio maana hata inflation rate nazo zinayofautiana,

Msome vizuri utamwelewa mimi nimemwelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…