Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Jf mnafanya kazi nzuri sana,Kilio cha wengi hugeuka sherehe :
Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili,
Sijasoma kabisa hii,Wewe mbwiga you are justifying mfumuko wa bei wa Tanzania kwa kusema kuwa hata huka Marekani na Ulaya pia upo hivyo tusilalamike? Per capital Income ya marekani ni shillings ngapi za Tanzania? Na Per Capital income ya mTanzania ni shilling ngapi? Kufuatana na tofauti hizo za wastani wa kipato huoni kuwa athari za mfumuko huo wa bei utakuwa tofauti kati ya mmarekani na mTanzania? Tanzania haina budi kuthibiti mfumuko wa bei nchini mwake kufuatana na hali halisi ya nchi na sio kutoa visingizio visivyokuwa na maana.
Unalelewa na shemeji na hujui Bei ya vtu ndo maana tunakuchkia. Sana Bei ya vitu haishikiki kasba halafu unaleta ujinga wako hapaMkuu mbona kama unanichukia sana, Kosa langu ni nini?
Kwani kupanda kwa bei ya vitu ni Tanzania pekee?Unalelewa na shemeji na hujui Bei ya vtu ndo maana tunakuchkia. Sana Bei ya vitu haishikiki kasba halafu unaleta ujinga wako hapa
Hiyo ni Average lakini lazima ukumbuke hiloHiyo asilimia ni ndogo mno
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Another wasted sperm
Kosa lako uchawa, Hadi unaudhi.Mkuu mbona kama unanichukia sana, Kosa langu ni nini?
Sasa ukitaka kupata inflation ratio lazima ujumlishe bei zoMsiwe mnasifia kwenye vtu vua kipuuzi sana. Bati bando ilikua ni 350000 now no 430000 hiyo ni asilimia ngp. Huo ni mfano Moja tu.
Nimekosea wapi? Au hutaki tuendelee kupeana maarifa hapa?Kosa lako uchawa,Hadi unaudhi.
Unataka tukae kimya kwa lipi wakati mambo yanaoneka kutendeka?Tatzo lenu mbulula wa Lumumba hamfikirii kwa kutumia akili zenu. Na mkisha para nafasi hanlmtumii akili zenu. Kila ktu ni kusifia
Nikweli japo hii ya sasa imezidiMtoa mada nafikiri Zimbabwe ndio leo Ina inflation, kumbe tangu miaka ya 1990.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo Wastani kiongoziYapi yanayoonekana. Huku Bei ya vtu Iko juu kwa asilimia Zaid ya 30 wewe unaleta story za Lumumba hapa
daaahUnalelewa na shemeji na hujui Bei ya vtu ndo maana tunakuchkia. Sana Bei ya vitu haishikiki kasba halafu unaleta ujinga wako hapa
Mama Samia moto fireMfumuko gani wa kuchungizwa wakati figures ziko wazi kama hivi?
View attachment 2089753
View attachment 2089754
Huu ni udhalilishaji mkuu witzone2Unalelewa na shemeji na hujui Bei ya vtu ndo maana tunakuchkia. Sana Bei ya vitu haishikiki kasba halafu unaleta ujinga wako hapa