Tanzania yafundisha wanajeshi wa DRC TMA - Monduli

Kwanini Congo na Burundi zisiungane na TZ na kuunda taifa kubwa lenye nguvu Afrika nzima? inawezekana watawala wakiacha tamaa.
 
Ebwanaeeeeeee.....!mkuuu,sijawahi kufikiria idea kama hiii.huuu ndio muarobaini na mkombozi wa DRC.hebu fungua uzi maalumu ilitutoe mawazo zaidi.DRC na BURUNDI zinaihitaji sana TZ.
 
Kwanini Congo na Burundi zisiungane na TZ na kuunda taifa kubwa lenye nguvu Afrika nzima? inawezekana watawala wakiacha tamaa.

mkuu,hii inawezekana sana,ila jambo kuu ni kutengeneza sera 1 ya ULINZI na UCHUMI.mambo mengine yabaki kwenye nchi husika ili watawala wasigombanie madaraka.
 
senior minister Sitta ina bidii atumwe huko akaongee na kabila na Ma Governor wasehemu zenye matatizo ya kiusalama kama Kattanga na Eastern Congo kuona ni jinsi gani muungano huo unaweza kusaidia kuweka amani na kukuza uchumi wa nchi zote yaani congo na tz including other sadc countries, maana sa, botswana na namibia wamewekeza kwenye mambo ya umeme toka inga dam, na pia kuwapa somo la kuwapa jamii maendeleo kama barabara, shule, na hospitali kutokana na malihasili zinazo patikana sehemu husika ili nao waondoe internal conlicts
 
kagame aliwahi kupigana na nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine

nchi 8?ni zipi hizo?au unaota?
 
mkuu Ruzibiza, inaonyesha unajua historia kweli wewe! Naomba unitoe tongotongo mkuu! Ni vita gani kagame alipigana na nchi 8, ni mwaka gani na ninaomba unitajie na hizo nchi!
kagame aliwahi kupigana na nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine
 
Last edited by a moderator:

hivi walio watoa m23 congo ni nchi ngapi (fib)sa, tz na malawi, sasa ukiwaweka zim nAngola na Namibia si ndio mtu atatorokea mbarara
 
Safi sana.Hii ni kwa maunufaa yetu kiulinzi na kibiashara.
 
Ngongo,

..hii ni hatua nzuri.

..lakini askari hao wanapofika DRC ni lazima wawe wanalipwa vizuri na kwa wakati.

..pia itakuwa busara kama jeshi la DRC halitukuwa linachukua askari toka vikundi vya waasi.

NB:

..Monduli wamekuwa waki-train maofisa toka Msumbiji, Uganda, Seychelles, etc etc.
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida tu kufunza wanajeshi wa nchi nyingine. Labda kama ni mkakati maalum kama enzi za kumaliza ukaburu A Kusini
 
Nahisi wewe mkongomani pasipo na shaka

hahaha....kwa kuongea tu. Nyie ni nambari wani

Unanikumbusha wenzio wa M23 walivyokuwa wanapiga mikwara twitter, sijui wameishilizia wapi, ....ooh wait a minute, i believe the UN saw them recruiting in Rwanda....
 
Unanikumbusha wenzio wa M23 walivyokuwa wanapiga mikwara twitter, sijui wameishilizia wapi, ....ooh wait a minute, i believe the UN saw them recruiting in Rwanda....

Kwa kutojua Jeshi la Tanzania wakajidai mwanajeshu wetu kabaka wakasahau kuwa jeshi letu limekuwa imara kwa ajili ya nidhamu ,oh tumemteka mwanajeshi wa Tanzania na sijui iliishiwa wapi.Tanzania haina uzoefu na vita vya msituni tukawakumbusha vita vya Msumbiji, sijui tulikuwa tunapigana mijini.
Nilikuwa nacheka tu propaganda zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…