aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Sasa si Mwambie Awashawishi Makanda Wenzake Waanze Kuichapa Rwanda!!!!!!!!!!!!!!!! TUSIJIDANGANYE KWA PROPAGANDA YA KIJINGA, KISHAMBA NA YA KITOTO. Hivi Wewe Unadhani Hao Rwanda na Wao hawana Majasusi Wao Tanzania? Kwa Taarifa Yako tu Hata huko TPDF, Serikalini Kwenyewe, ktk Taasisi Binafsi na Hata Kwa Wafanyabishara Rwanda Imepenyeza Watu Wake wa Kutosha na Kila Siku Taarifa Zinapelekwa Kigali. Unapojipanga Kwa Rwanda na Wao Pia Wanajipanga Vilivyo Kwa Tanzania na Tukithubutu tu TUTAUMBUKA. Bado Nasisitiza Tuache Diplomasia Itawale na Tusifike huko ktk Kutaka Kupigana Kwani bado Tunahangaika Mno Kujenga Uchumi wa Nchi Yetu Uliyoharibika Sana Wakati wa Vita Vya Nduli Amin 1978 - 1979. Sisi Sote ni Afrika Kwanini Tugombane? Na Tunagombania Nini? Tunamuenzi Vipi Hayati Baba wa Taifa ambaye Ndiyo Mlezi Mkubwa wa Kikwete, Kagame, Museveni, Kabila Kupitia Kwa Marehemu Baba Yake na Wengineo Wengi. Wao Wametuolea na Sisi Pia Tumeoa Kwao Je Leo Tukionyeshana Ubabe tutakuwa Tunamfaidisha Nani? Hebu Tubadilishe Mindset Zetu Jamani.
Wewe mjinga wa kinyaruanda. Tanzania haina nia na vita na rwanda.Sijui unatoa wapi audacity ya kuongea shit kuhusu Tanzania na kuinua Rwanda as if ni watu wanaotisha sana. Kwa taarifa yako hata rwanda wako spy watz, wengine ni wanyaruanda kabisa. Siwezi kusema rwanda haina hata us na europe nilishawahi kukutana nao. Ni kitu cha kawaida. Cha msingi tujenge nchi zetu na tujithaminu. Vita sio suluhisho ya mambo.
Kingine wala Kagame he is not a bad guy as media portray him.Nathani tushirikiane zaidi kuliko kuwaziana ubaya ambao hauna maana.
Chokochoko zillianza kwa kikwete kuongea mambp sensitive kutaka sofa kwenye majukwa ya kimataifa ambayo hayana best interest na africa. Misifa tu ya kikwete.
Wananchi wa Tanzania hawana ubaya na wananchi wa rwanda.
So stop your non sense kupalilia chuki na mambo yasio kuwa na maana. Huijui tpdf na hujui rwanda military so shut the ---- up.