ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
nchi 8?ni zipi hizo?au unaota?
Amenukuu kutoka gazeti la serikali, mkuu Jmali gazeti lao linaitwaje vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nchi 8?ni zipi hizo?au unaota?
Kwa kutojua Jeshi la Tanzania wakajidai mwanajeshu wetu kabaka wakasahau kuwa jeshi letu limekuwa imara kwa ajili ya nidhamu ,oh tumemteka mwanajeshi wa Tanzania na sijui iliishiwa wapi.Tanzania haina uzoefu na vita vya msituni tukawakumbusha vita vya Msumbiji, sijui tulikuwa tunapigana mijini.
Nilikuwa nacheka tu propaganda zao.
Vijana wa kikongo DRC wapewa mafunzo ya kijeshi TMA - Monduli kwaajili ya kuilinda nchi yao wenyewe.Wiki mbili zilizopita mji wa Arusha umeshuhudia vijana toka taifa kubwa barani Afrika wakifurika katika vitongoji mbali mbali jijini Arusha siku za jumamosi na jumapili.Kwa kawaida siku za weekend wanafunzi wanaochukua mafunzo ya uofisa wa jeshi wanapewa ruhusa ya kutakasa macho jijini Arusha kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni wanarejea chuoni Monduli.Ni rahisi sana kuwatambua wanafunzi wa TMA hasa uvaaji unaoambata na suti na tai pia upenda kutembea kwa vikundi vikundi.
Tanzania ambayo iliongoza kikosi cha UN dhidi ya kikundi cha M23 kinachoungwa mkono na Rwanda na Uganda imebaini pasipo shaka yoyote mkakati wa kuilinda Congo wa muda mrefu dhidi ya serekali ya Kagame na Museveni ni lazima uongozwe na waCongo wenyewe.
Nakala jMali Ruzibiza Happy Feet Bongolander MGOSI132 JokaKuu murutongore Koba kabavamwo Remote TZ kwanza mpiga domo Ndahani
kagame aliwahi kupigana na nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine
Siyo siri hiyo jamani?!. Watz mbona tunapenda kila kitu kukiweka mtandaoni?
acha kupiga domo wewe njoo na fact with evidence hiyo Rwanda c chochote si lolote imewagharimu miaka zaidi ya 10 kutokomemeza magaid wa FDLR na wamejijenga wanakuja kumng'oa slim boykagame aliwahi kupigana na
nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after
capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi
ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine
Unanikumbusha wenzio wa M23 walivyokuwa wanapiga mikwara twitter, sijui wameishilizia wapi, ....ooh wait a minute, i believe the UN saw them recruiting in Rwanda....
ha haha, unakumbuka walitengeneza mpaka passport, eti mwanajeshi wetu kaenda front-line na passport! sometimes huwa wanachekesha sijui machizi hawa?
Hahahaha! they can see even see them in kagame's bedroom for all i care...so what have they done? Nothing. Can't do jack shit...let me give you a little secret. Sisi tunaagalia mbali sana...like i told you before..you might think that you have won the battle with M23 but WE will win the war. Now what?
At least umekubali kuwa M23=Rwanda.
kagame aliwahi kupigana na nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine
acha kupiga domo wewe njoo na fact with evidence hiyo Rwanda c chochote si lolote imewagharimu miaka zaidi ya 10 kutokomemeza magaid wa FDLR na wamejijenga wanakuja kumng'oa slim boy
kagame aliwahi kupigana na nchi 8 iweje congo ikiwa moja wapo na akawashinda just a year after capturing kigali...iweje leo hii kuweni na akili....RWANDA bana ni nchi ndogo ila achana nayo kabisa zungumzeni mambo mengine
Nilishasema huko Nyuma lakini Nikabezwa ila Wewe leo Umenisaidia na Nasema tena Rwanda Sivyo Kama Mnavyoifikiria na Falsafa Yao ni Kama Ya Wayahudi ( Israel ) na Bahati Nzuri Nimeishi Nao na Baadhi Ya Maafisa Wao Nawajua na Nisiwafiche Watanzania Wenzangu Jamaa Wapo Vizuri Kijeshi na Kuna Mengine Siwezi Kuyasema hapa ila Tusijidanganye Kwa Kuwadharau na Kuona Udogo wa Nchi Yao na Msisahau Kuwa Ukubwa wa Nchi na Kwa Idadi Yake Siyo Kigezo cha Kuwa Mbabe na Mshindi ktk Battle. Israel ni Nchi Ndogo Sana ila Nchi Zote za Kiarabu Zinasalimu Amri na Wanapigwa Vizuri Sana. Naliheshimu Sana Jeshi Letu Kwa Uimara na Uwezo Wake ila Tusiingie Kichwa Kichwa Kutaka Kupigana na Rwanda na Badala Yake Diplomacy Itawale. Naipenda Tanzania, Rwanda na Afrika Kwa Ujumla.
TANZANIA nchi ndogo kijeshi?
Unajua tpdf imefanya nini bara la afrika?
Tanzania ni nchi pekee iliyoshinda total war subsaharan africa
Tuliweza kupambana na mkaburu,tuliitawala uganda,seychelles na commoro!
Na kwa case ya Israel, ilishinda vita na waarabu kutokana na airlifts za supplies kutoka marekani
Without america there is no israel
Kuna kanali mmoja wa jeshi pale ruvu alisema ikitokea vita tz na rwanda tpdf haitochukua masaa yasiyozidi 100 kufika kigali.Makamanda washapanga war plans kumhusu rwanda