Tanzania yafundisha wanajeshi wa DRC TMA - Monduli


ujasusi kwenye vita ni msaada mkubwa lakin siyo kilakitu, si uliona m23 ilivyopigwa kwa week mbili tu!!!unadhani walikuwa hawana msaada wa kijasusi wa rwanda!!!ukiona nchi au mtu kabla ya ugomvi kuanza anapiga kelele nyingi ujue ni mwoga anajua atapigwa tu!!!hata idd amin alijisifia sana kwa propaganda oh mimi field marshall oh mimi nani!!lakini kibano kilivyoanza alivyokurupuka je!!!!!
 
Nimekusoma mkuu wangu.

 

wengi wanao shabikia hili bif ni wale wazembe wa kufikiria na kufuatilia mambo....kama rpf army now rdf waliondoa serikali ya Habyarimana kwa kutembea kwa mguu,kuchimba handaki kwa jembe,kwa kutumia vifaa duni vya kivita kigali ikakamatwa dakika sifuri na mwaka huo huo missions nyingine nyingi zikaanzishwa na kutekelezwa ikiwemo ile ya kumchomoa mobutu....sasa hivi wamekaa vizuri ile mbaya acheni kujidanganya....
 
RDF ni battle hardened .tpdf siku hizi wamejaa form 4 failures tu
 
Acha dharau wewee! wamejaa form 4 failures lakini wakiingia kwenye battle ground mwenyewe utawakubali muziki wao ni heavy.
 
Wale maofisa 414 wa jeshi la Congo DRC wamehiti mafunzo yao TMA na wapo tayari kuilinda nchi yao dhidi ya nchi chokozi (I hope mnazijua).
 


wewe una mapepo ya kinyarwanda???
Ujasusi gani walionao rwanda dhidi ya nchi yetu,mnawakuza mno watusi kupita uhalisia wa uwezo wao wa kijasusi na kijeshi.

Huo uwezo mbona hawakuhimili kuzuia kipigo na kusambaratishwa kwa m23???
 
Wewe unanatatizo..M23 ilipambana na dunia nzima siyo hicho kijeshi uchwara cha UN,nakwambia isingekua shinikizo la mataifa nakubwa M23 ingekua kinshasa sasa hivi,wakati mwingine inabidi mtafiti kisa cha M23 kujiondoa katika mapambano,nachojua M23 haikupigana kabisaaa.
 
wewe una mapepo ya kinyarwanda???
Ujasusi gani walionao rwanda dhidi ya nchi yetu,mnawakuza mno watusi kupita uhalisia wa uwezo wao wa kijasusi na kijeshi.

Huo uwezo mbona hawakuhimili kuzuia kipigo na kusambaratishwa kwa m23???
Wewe acha kudanganya watu kwani M23 ilipambana na tanzania?
 
wale waliopgana na IDD amin walikuwa chuo? tunaangalia uzalendo sio kiwango cha elimu darasan unatia Aibu wewe
Mbona watanzania maneno mengi? Vita mnaujua wapi?mnyarwanda unamsikia tu achana naye hawa ni watu wa vita..nakama unabisha chokozeni kidogo tu..kiswahili chote kitatiwa mfukoni.
 
Wale maofisa 414 wa jeshi la Congo DRC wamehiti mafunzo yao TMA na wapo tayari kuilinda nchi yao dhidi ya nchi chokozi (I hope mnazijua).
Ahahahahah.....ndugu yangu ujasiri ni nature ya mtu wakongomani niwaoga hata ukiwapatia ujuzi na siraha za aina gani watazitupa na kukimbia uwanja wa mapambano.
 
watu wengine bwana! ! Unafikiri kama vile wewe ndio una akili kuliko Analysts waliofanya upembuzi yakinifu nakuona ni muhimu kuwafundisha DRC. Hata wakati nchi inapeleka Jeshi kule mlibeza sana kuwa watapigwa na M23. Mi nina imani kwenye maamuzi ya isue sensitive kama hizo basi ujui vichwa vya wahusika vimefanya kazi. Hamjiulizi ni kwa nini serikali haikupeleka Jeshi Somalia! !!
 

Hivi mnapata manufaa gani kuandika habari za kichochezi zinazoweza kuyadhuru Mataifa yetu nyinyi mkiwa ndani?
Nimesoma majadiliano humu sijaona hata moja la kujenga.
Naona baadhi yetu tumegeuza JF kijiwe cha umbeya na porojo!
 

Full TITO and GIGO! POPOMA.
 

haya magombano chanzo chake ni Kagame kula mali za Congo kupitia M23. Hata Nyerere angempinga ktk hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…