Tanzania yafundisha wanajeshi wa DRC TMA - Monduli


Wewe mjinga wa kinyaruanda. Tanzania haina nia na vita na rwanda.Sijui unatoa wapi audacity ya kuongea shit kuhusu Tanzania na kuinua Rwanda as if ni watu wanaotisha sana. Kwa taarifa yako hata rwanda wako spy watz, wengine ni wanyaruanda kabisa. Siwezi kusema rwanda haina hata us na europe nilishawahi kukutana nao. Ni kitu cha kawaida. Cha msingi tujenge nchi zetu na tujithaminu. Vita sio suluhisho ya mambo.
Kingine wala Kagame he is not a bad guy as media portray him.Nathani tushirikiane zaidi kuliko kuwaziana ubaya ambao hauna maana.
Chokochoko zillianza kwa kikwete kuongea mambp sensitive kutaka sofa kwenye majukwa ya kimataifa ambayo hayana best interest na africa. Misifa tu ya kikwete.

Wananchi wa Tanzania hawana ubaya na wananchi wa rwanda.
So stop your non sense kupalilia chuki na mambo yasio kuwa na maana. Huijui tpdf na hujui rwanda military so shut the ---- up.
 
Bush Thinker

Jitahidi Uwe JF Senior Expert Member Ndipo Ujibizane Nami ILA Najua Sasa UTAPANDA Chati Humu JF Kwani UNAWEKA LIGI na GENTAMYCINE. CV Yako Sasa ITANG'AA! Heko Na Hongera Mno POPOMA Muite. KIKI Umeshaipata Sasa!
 

Huwa Sina Muda Wa Kujibizana Na MAPOPOMA Kama Wewe Na Kama Mimi Ni Mjinga Nadhani Wewe Ni M.P.U.M.B.A.V.U Nikimaanisha Kwamba Mimi Nafundishika ILA Wewe Hufundishiki Na Hadi Kaburini Kwako Utakuwa POPOMA Hivyo Hivyo! NA LEO NARUDIA TENA KUSEMA TENA KWA MSISITIZO HUU KUWA TANZANIA HAINA UWEZO WALA UBAVU WA KUPAMBANA KIVITA NA RWANDA NA NINA UHAKIKA WA HILI KWA ASILIMIA ZOTE 100. Na Napenda KUTUMIA FURSA HII KUWAPENI ONYO KALI WEWE NA WENZAKO WENYE KIMBELEMBELE NA UPOPOMA HATA SIKU MOJA MSIJIDANGANYE KUWA MNAWEZA KUZICHAPA NA RWANDA. Uimara Wa TPDF Uliishia Tu Kwa General WAITARA ILA Baada Ya HAPO HAKUNA JIPYA NDANI YA TPDF ( JWTZ ). Mtabaki Hivyo Hivyo Na MIKWARA YENU MBUZI na Ya KIPOPOMA Ya KUVUNJA MATOFALI YA KUCHOMA, KUVUNJIANA MITI ILIYOKAUKA VIUNONI, KURUKA HEWANI KAMA POPO WAENEZAO UGONJWA WA EBOLA, KUPIGA KUNG FU UCHWARA NA KUKIMBIA KISHOGA SHOGA HUKU MABEGI YAKIWA YAMEJAA TAKA TAKA. Na Bahati Nzuri Hata UKWELI HUU NIMEKUWA NIKIMPA RAFIKI YANGU MKUBWA na ASKARI WA KIKOSI MAALUM ( KOMANDOO ) AITWAE Sweetbert YUPO NGERENGERE na Hata YEYE PIA AMEKIRI KUWA KUPAMBANA NA RDF KUNAHITAJI SHUGHULI PEVU na KUNA MAMBO NYETI ALIYONIAMBIA AMBAYO KAMA YAKITUMIKA TPDF ITAISHINDA RDF ILA AKASEMA KUWA KAGAME AMEWAZIDI KTK NYANJA FULANI AMBAYO SASA WANAIFANYIA KAZI. Ningeisema Hapa ILA KWA MAADILI na KWA KUHESHIMU URAFIKI WANGU WA KARIBU WA HUYO KOMANDOO WENU TAJWA HAPO JUU SIWEZI KUISEMA! Namalizia KWA KUSEMA TANZANIA IPO U.C.H.I WA MNYAMA KWA RWANDA. Naipenda TANZANIA, RWANDA na AFRICA KWA UJUMLA!
 
Kama kweli huu ndio mtizamo wako na ndivyo unavyoamini basi NINGEKUSHANGAA SANA. Ila ninahisi kuwa wewe ni Shushushu uliyebobea na humu ndani upo kikazi zaidi na umetumwa na Bro Kgme. Kwasababu hata kama wao wangekuwa wanatumia AK 47 Na sisi tutumie mawe au manati tungempiga tu hata kama tungepoteza wengi. Wewe ni Agent wa Paul hivyo unachokoza watu ili watiririke. Bishaa!!!
 
Jitahidi Uwe JF Senior Expert Member Ndipo Ujibizane Nami ILA Najua Sasa UTAPANDA Chati Humu JF Kwani UNAWEKA LIGI na GENTAMYCINE. CV Yako Sasa ITANG'AA! Heko Na Hongera Mno POPOMA Muite. KIKI Umeshaipata Sasa!
Aaaaah! !!! Sasa nitaachaje kupata kiki ikiwa napata reply na like kutoka kwa member wakubwa kama Gentamycine, nadhani nitapanda zaidi nikipata za kina Mossad, chris lukos, kitila mkumbo nk. Halafu kama hilo jina la POPOMA sio tusi basi naomba nilitumie/hatimiliki. Lina Sound fresh naona
 

Agent wapi huyo shoga tu.
 

We ni mwendawazim wala sihitaji kubishana na wewe ---- tu. Kama unataka tukutane kama unaubavu.
 

Sina Hadhi Ya Kuwa SHUSHUSHU Mkuu Na Hata Sifa Zao Sina BALI Mimi Ni Mtoto Mdogo Mno Na Sana NA NISIKUFANYE UKOSE RAHA. Japo YAWEZEKANA HIZO HISIA ZAKO ZIKAWA NI BARAKA KWANGU PENGINE WADAU WA TASNIA HIYO KUNICHUKUA au KUNIAJIRI. Naomba Kuuliza HIVI Hapa Tanzania Vyuo Vyao Viko Wapi ILI Nipeleke CV Yangu Na CREDENTIALS Zangu. Naipenda Tanzania Na Mungu Ubariki Tanzania Na IZIDISHIE AMANI, UFANISI na MAENDELEO Nchi Ya RWANDA na Wafanye Watutsi Wazidi KUWA JUU Kushinda Waafrika Wote!
 

Hivyo UTAKUWA Tayari Nikikuita MUITE a.k.a POPOMA Kuanzia Leo? Nimecheka Sana Mkuu Hadi UNALAZIMISHA Hatimiliki Yako IWE POPOMA!
 
We ni mwendawazim wala sihitaji kubishana na wewe ---- tu. Kama unataka tukutane kama unaubavu.

Tangia Lini Humu JF Tumeanza KUPIMANA UBAVU? Kwani Mimi Nimekuwa Gunia La Mahindi? Na Wala Hujakosea Mimi Kweli Ni MWENDAWAZIMU ila Wewe Ni PURE POPOMA! Na Najua Una Hamu Sana Ya Kukutana Na GENTAMYCINE Na Hauko Peke Yako Wapo Na Mpo MAPOPOMA Wengi tu Mnaotamani Kukutana Nami ILA Haitatokea Na Ninajua Kuwa Wewe Na Wenzio Wa SSIT na MI Mnatumia Kila Mbinu Kujifanya Mnajenga Urafiki Nami ILI Mnitege Na Mnijue Na Hadi Mnani PM Huku Mkiweka Hadi Namba Zenu ILI Nijitie MTEGONI Nami Niwatafute LAKINI Mmesahau Kwamba MLIPOAMKIA Leo Mimi NIMELALA Jana Na Juzi NA Binafsi NISINGEPENDA KUFAHAMIANA NA YOYOTE HUMU ( JF ) PHYSICALLY Bali Napenda Tubaki Hivi Hivi Na ID Zetu Za Kimagumashi. Na Sina Ubavu Wa Kukutana Na Wewe Kwani Wewe Mwenzangu Una Miguvu Mingi Na Umejengeka Kama MAYUKU Japo Kiakili Ni POPOMA Huku Mimi Nikiwa Nimekondeana Kama PK ila Nina AKILI KUBWA za KIYAHUDI, KITUTSI na KIZANAKI Bila Kusahau Na Za KIYAO.
 

Ungemalizia na ARAMZADEEEEE!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…