Tanzania yaifunga Namibia 1-0 CHAN

Hatari sana mkuu, sijui Kama tutatoboa kwa Guinea Ila naamini mpaka siku hiyo kina Bocco na Nyoni watakuwa fiti kucheza hivyo italeta uhai sana hasa pale mbele.
Mechi ijayo nadhani watakuwepo,wataongeza kitu cha ziada
 
Bola ya nusu shari kuliko shari kamili.
 
Tushukuru tuu kuwa kocha wa namibia alikuwa amebet hii mechi lakini lah sivyo yule bushman alikuwa anatuua

Yule mchezaji nashukuru wengi tumlipachika jina la BUSHMAN ndio alikuwa bora Uwanjani. Pili alianza kushangiliwa hadi na Wabongo kwenye Vibanda Umiza. Cha kujiuliza timu zetu zinashindwa nini kusajili wachezaji wa aina ile ya Bushman wa Namibia??
 
Bila shaka unapingana na fikra za Mwenyekiti wetu anayeamini kwamba mpira wetu haupigi hatua sababu ikiwa ni Simba na Yanga!

Na siyo kutokana na kutokua na sera nzuri ya michezo, uwekezaji mzuri katika hiyo michezo, michezo kutawaliwa/kuongozwa na wanasiasa badala ya wadau wenyewe, nk.
 
Yule mchezaji nashukuru wengi tumlipachika jina la BUSHMAN ndio alikuwa bora Uwanjani. Pili alianza kushangiliwa hadi na Wabongo kwenye Vibanda Umiza. Cha kujiuliza timu zetu zinashindwa nini kusajili wachezaji wa aina ile ya Bushman wa Namibia??
Ile sura ya kibushman kabisa yaani.
Toka kipindi cha pili kinaanza jamaa ndio alikuwa anatusumbua. Alivyotoka tuu ndio tukapata goli.

I felt sorry for the boy...kwa kweli alikuwa na haki ya kulia becoz it wasnt fair at all kumtoa.

Kocha wa namibia kwa kweli haniambii kitu hii mechi amebet .
 
kuna wachezaji wa taifa stars hata hawaelewi wanafanya nini uwanjani wanaruka ruka tu
 
Kiongozi unalishwa Matangopori na kina Kabudi na wewe unakuja kutamka hadharani!? Haya hii timu yenu toa;
1.Manula
2.Kapombe
3.Boko
4.Fei
5.Mwamnyeto
6.Farid
7.Kaseke

Halafu kalete wachezaji bora wasiotokana na Simba na Yanga toka MBEYA City, Mwadui FC, Jang'ombe, Majimaji, Lipuli na Stand United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…