Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mbinde ila tungekuwa na forward nzuri tungetoka na goli zaidi ya 3.Vipi matokeo guys! Tumeshinda ama?
Ok kwahiyo tumewapiga 3 mkuu? Hongera zao taifa stars 💪Kwa mbinde ila tungekuwa na forward nzuri tungetoka na goli zaidi ya 3.
Mechi ijayo nadhani watakuwepo,wataongeza kitu cha ziadaHatari sana mkuu, sijui Kama tutatoboa kwa Guinea Ila naamini mpaka siku hiyo kina Bocco na Nyoni watakuwa fiti kucheza hivyo italeta uhai sana hasa pale mbele.
Hahahahahahahahah Goli 3??? Kwa uchezaji gani Mkuu,Kwa mbinde ila tungekuwa na forward nzuri tungetoka na goli zaidi ya 3.
Tushukuru tuu kuwa kocha wa namibia alikuwa amebet hii mechi lakini lah sivyo yule bushman alikuwa anatuuaJapo tunawashambulia Sana,na possession ipo kwetu,ila hawa jamaa wana foot work nzuri kuliko sisi.....angalia wanavyobuild mashambulizi wanafuata principles....sisi tunapiga mbele tu
Sema hongera zetu,au wewe ndiyo umehamia ile nchi uliyosena unahamia😂Ok kwahiyo tumewapiga 3 mkuu? Hongera zao taifa stars 💪
Yeah alitolewa mpaka mashabiki wakalalamika,yule angetupiga,mabeki wetu walikuwa wamesurrenderTushukuru tuu kuwa kocha wa namibia alikuwa amebet hii mechi lakini lah sivyo yule bushman alikuwa anatuua
Hahaa! Hapana nipo humu humu Tz !hongera zetu hakika😀Sema hongera zetu,au wewe ndiyo umehamia ile nchi uliyosena unahamia😂
Hapo umeelewekaHahaa! Hapana nipo humu humu Tz !hongera zetu hakika😀
Tushukuru tuu kuwa kocha wa namibia alikuwa amebet hii mechi lakini lah sivyo yule bushman alikuwa anatuua
Bila shaka unapingana na fikra za Mwenyekiti wetu anayeamini kwamba mpira wetu haupigi hatua sababu ikiwa ni Simba na Yanga!Ifike wakati tukubaliane team ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba, Yanga na Azam, hao wa kuokoteza Dodoma, Ndanda na Prison watatuchelewesha.
Stars imecheza vizuri sana first half lakini tatizo ni umaliziaji. Tumekosa mtu sahihi wa kumaliza shughuli pale mbele na kama mwalim hatafanya jambo sioni tukitoboa kwenye mechi hii.
Ile sura ya kibushman kabisa yaani.Yule mchezaji nashukuru wengi tumlipachika jina la BUSHMAN ndio alikuwa bora Uwanjani. Pili alianza kushangiliwa hadi na Wabongo kwenye Vibanda Umiza. Cha kujiuliza timu zetu zinashindwa nini kusajili wachezaji wa aina ile ya Bushman wa Namibia??
Kiongozi unalishwa Matangopori na kina Kabudi na wewe unakuja kutamka hadharani!? Haya hii timu yenu toa;Bila shaka unapingana na fikra za Mwenyekiti wetu anayeamini kwamba mpira wetu haupigi hatua sababu ikiwa ni Simba na Yanga!
Na siyo kutokana na kutokua na sera nzuri ya michezo, uwekezaji mzuri katika hiyo michezo, michezo kutawaliwa/kuongozwa na wanasiasa badala ya wadau wenyewe, nk.
Hahaaa umeshapata matokeo rasmi, au bado unayo hayo ya tatu bila!Ok kwahiyo tumewapiga 3 mkuu? Hongera zao taifa stars 💪
Yule jamaa ndio alikuwa roho ya timu...Tushukuru tuu kuwa kocha wa namibia alikuwa amebet hii mechi lakini lah sivyo yule bushman alikuwa anatuua