Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

You must know when to spread your wings and not when to
 
👍
 
TPDF are cowards and FOOLS na ni waoga. Hawaezi pigana ata na nyumbu.
Tpdf should be disbanded kwa kucheza na maisha ya watanzania.
Unadhani TPDF ni waoga na dhaifu kama kdf? Jeshi lenu mmejaza wakikuyu tu na vile tunajua wakikiyu walivyo coward.. No wonder jeshi yenu imehamia kwenye kuchuna ngozi za ng'ombe Sasa kenya meat.

Msumbiji ni wapuuzi kama Kenya tu, Cabo ni very rich in terms of resources lakini welfare of people is poor. Mali zote zinapelekwa kusini Maputo. Kama Kenya inavyoendeleza nairobi na kuziacha mandera.. Lockchar et al

Hivyo halo msumbiji the problem is within... Ilihitajika cheche tu moto uwake.
 
Kama kuna clip inatazama na kutoa machozi ni ile ya askari mateka wa Kenya akiuawa kikatili kule somalia.
Tujue kuwa hivi vikundi vya kigaidi ni ufadhili wa ngozi nyeupe ili kutengeneza hofu, ghasia ,vurugu duniani ili wajinufaishe kwa kupata kile wanataka
Haiwezekani kikundi kipate silaha nani nauza kwanini hawashambulii visima vya mafuta?

Tz wamejiongeza . Tuwaachie Kenya USA aweke base zake na kutrain wanajeshi wake lkn hawajawa salama bado
Why?
 
Tangu lini Tanzania ikaogopa ku deploy majeshi yake?
Tanzania kwa miaka mingi sana imekua mstari wa mbele, kupigania Uhuru wa inchi za SADAC kwa kutoa mafunzo kwa inchi km Angola, Namibia, Zimbwabwe and SA na wakati mwingine kutuma majeshi mstari wa mbele km Uganda, Msumbiji, Congo na visiwa vya Nzuwani bila kusahau mission zisizo na idadi za Umoja wa mataifa...
Je huko kote tulikua tunapata nn au maadui walikua wanajulikana?
Labda tuambiane kwa kua wale ni watoto wetu waliokimbia Mkuranga thus why tunasita sita...
ila sio hizi bla bla nyingine zisizokua na kichwa wala miguu.
 
🖕Na Jeshi yenu ilivyo jaa Sukuma Gang na Venye najua walivyo Vilegezi,lazy kabisa, Nowonder hamwapeleki msumbiji 😆They walk with tail between their legs Kama walivyo furushwa na magaidi local wa msumbiji na pia mkafukuzwa na mapanga DRC😆😆😆😂
 
Mmepata matokeo gani hadi sasa
Wangekuwa wameteka Kenya Nzima,they don't need a passport to enter is just next door,Kama tusingekabiliana na wao,Kenya ingekuwa Kama Nigeria🔥🔥🇰🇪🔥🔥Mungu nimzuri KDF inangangana kivyao,Hao Alshaabab wanashinda Hadi Vikosi za America,Nyinyi Kaeni kitako mgoje huo ugonjwa usambae kwa watu wenu mutakipata,Kill it Now
 
Tuliwasaidia kupata uhuru ila hamna shuranu
Pambaneni wenyewe pumbavu
 
Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
 
Nchi yenu ni dhaifu kiasi hicho hadi al shabab wateke Kenya nzima?
 

Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya la maana. Hatutaki jeshi letu lipeleke wanajeshi huko tusije pata madhila kama Yale ya Magaidi ya Alshabaab kule Kenya.

Bora nusu shari kuliko shari kamili.

Hawaendi Ng'o
 
Tuliwasaidia kupata uhuru ila hamna shuranu
Pambaneni wenyewe pumbavu
Tunapambana ata hatujawaitisha Usaidizi,Nyinyi mutakipata tu mukiendelea kupuuza duties zenyu,endeleeni kufunga macho Alkaaida wakispread kwenu,😆Don't worry just sit down.Once Macron said if you don't settle your Neighbour's problem it's gonna spread to your Country,even more worse🔥🔥
 
Hii title ina maana tanzania imewaingiza baridi SADC kwa kukataa kupeleka TPDF Cabo Delgado! Safi sana sisi tulifunza majeshi ya nchi nyingi za SADC kuanzia Mozambique, Angola, Zimbwabwe, Namibia na South Arica! Saahii ni zamu yao kujilinda wakati TPDF inajielekeza kwenye kulinda mipaka yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…