Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

You must know when to spread your wings and not when to
 
Mashambulizi yao yametuathiri kidogo sana na ni muda mrefu tangu wafanikiwe kuingia Tanzania, sasa hivi ulinzi umeimarishwa. Sio tu hatutaki kupeleka jeshi hadi wakimbizi wao pia hatuwataki na tumewarudisha. Hatuwezi kupeleka jeshi letu kwa sababu tu serikali yao ni dhaifu.
👍
 
TPDF are cowards and FOOLS na ni waoga. Hawaezi pigana ata na nyumbu.
Tpdf should be disbanded kwa kucheza na maisha ya watanzania.
Unadhani TPDF ni waoga na dhaifu kama kdf? Jeshi lenu mmejaza wakikuyu tu na vile tunajua wakikiyu walivyo coward.. No wonder jeshi yenu imehamia kwenye kuchuna ngozi za ng'ombe Sasa kenya meat.

Msumbiji ni wapuuzi kama Kenya tu, Cabo ni very rich in terms of resources lakini welfare of people is poor. Mali zote zinapelekwa kusini Maputo. Kama Kenya inavyoendeleza nairobi na kuziacha mandera.. Lockchar et al

Hivyo halo msumbiji the problem is within... Ilihitajika cheche tu moto uwake.
 
SADC walishauri mataifa yote yatoe msaada wa wanajeshi ili litumwe jeshi la pamoja kuwadhibiti wale maana hali imekua tete na wanazidi kuvimba, sasa ukizingatia Tanzania ndio mojawapo wa mataifa ambayo yameathirika moja kwa moja maana hao jamaa hupata ujasiri wa kungia Tanzania na kuchinja wanavijiji, inashangaza kwanini iwe ya kwanza kupata mhaho.
Kama kuna clip inatazama na kutoa machozi ni ile ya askari mateka wa Kenya akiuawa kikatili kule somalia.
Tujue kuwa hivi vikundi vya kigaidi ni ufadhili wa ngozi nyeupe ili kutengeneza hofu, ghasia ,vurugu duniani ili wajinufaishe kwa kupata kile wanataka
Haiwezekani kikundi kipate silaha nani nauza kwanini hawashambulii visima vya mafuta?

Tz wamejiongeza . Tuwaachie Kenya USA aweke base zake na kutrain wanajeshi wake lkn hawajawa salama bado
Why?
 
Tangu lini Tanzania ikaogopa ku deploy majeshi yake?
Tanzania kwa miaka mingi sana imekua mstari wa mbele, kupigania Uhuru wa inchi za SADAC kwa kutoa mafunzo kwa inchi km Angola, Namibia, Zimbwabwe and SA na wakati mwingine kutuma majeshi mstari wa mbele km Uganda, Msumbiji, Congo na visiwa vya Nzuwani bila kusahau mission zisizo na idadi za Umoja wa mataifa...
Je huko kote tulikua tunapata nn au maadui walikua wanajulikana?
Labda tuambiane kwa kua wale ni watoto wetu waliokimbia Mkuranga thus why tunasita sita...
ila sio hizi bla bla nyingine zisizokua na kichwa wala miguu.
 
Unadhani TPDF ni waoga na dhaifu kama kdf? Jeshi lenu mmejaza wakikuyu tu na vile tunajua wakikiyu walivyo coward.. No wonder jeshi yenu imehamia kwenye kuchuna ngozi za ng'ombe Sasa kenya meat.

Msumbiji ni wapuuzi kama Kenya tu, Cabo ni very rich in terms of resources lakini welfare of people is poor. Mali zote zinapelekwa kusini Maputo. Kama Kenya inavyoendeleza nairobi na kuziacha mandera.. Lockchar et al

Hivyo halo msumbiji the problem is within... Ilihitajika cheche tu moto uwake.
🖕Na Jeshi yenu ilivyo jaa Sukuma Gang na Venye najua walivyo Vilegezi,lazy kabisa, Nowonder hamwapeleki msumbiji 😆They walk with tail between their legs Kama walivyo furushwa na magaidi local wa msumbiji na pia mkafukuzwa na mapanga DRC😆😆😆😂
 
Mmepata matokeo gani hadi sasa
Wangekuwa wameteka Kenya Nzima,they don't need a passport to enter is just next door,Kama tusingekabiliana na wao,Kenya ingekuwa Kama Nigeria🔥🔥🇰🇪🔥🔥Mungu nimzuri KDF inangangana kivyao,Hao Alshaabab wanashinda Hadi Vikosi za America,Nyinyi Kaeni kitako mgoje huo ugonjwa usambae kwa watu wenu mutakipata,Kill it Now
 
Tanzania yaingiza mhaho, imesema malumbano ya Msumbiji yasuluhusishwe kwa maongezi, yaani kama vipi hayo majihadi yasitishe kukata vichwa vya watu na kuitwa vikao vya kuwabembeleza.

Juzi kikao kimefanyika cha jopo kazi iliyobuniwa na SADC ambayo ilishauri majeshii yatumwe kule maana hayo majihadi hayaelewi kitu kingine cha aina yoyote, yameiva na kutokota.

=======

Tanzania will not send troops to Mozambique to counter insurgents in gas rich Carbo Del Gado Province which is close to the border between the two countries.

The Tanzania government has, instead, emphasised on the need for talks as a means of promoting peace and tranquility in Mozambique, calling on the international community to help the country by sending development aids.

This was stated by Minister of Foreign Affairs Liberata Mulamula during the opening of a two-week discussion on how to contain the insurgency in Cabo Delgado, coordinated by Centre of International Policy (CIP), in Dar es Salaam.

This comes after the regional body of 16-nation states sent a technical team to verify events in the area and advise its heads of state forum on the way forward.

The technical team has recommended that SADC deploys a 3 000-strong robust intervention force comprised of land, air and naval assets to help quell the insurgency.

The decision to intervene militarily is a clear indicator that the deadly insurgency, which began in earnest in October 2017, has long passed the stage where it can be seen as a purely domestic problem to be addressed by Mozambique as a sovereign state.

According ambassador Mulamula Tanzania has no plans because they don’t know whom to fight with, instead they will make sure they participate through talks to stop terrorism and crimes continuing in Mozambique.

The minister said Tanzania will continue to cooperate with Mozambique to discuss the best way to maintain peace, safety and security.

“There have been groups that have conducted acts of terror in Msumbiji, you will remember since the chaos started Southern African Development Community (SADC), has met on different occasions to find a solution,” she said.

She said Cabo Delgado is the border between Tanzania and Mozambique where the regions of Mtwara and Ruvuma are found, so the chaos is threatening tranquility in the border regions and that is why both countries come together to find a solution.

“Tanzania as usual, when the neighbor country is not in peace, we will not sleep so we are on the same line to help with other SADC countries to fight terrorism,” she said.

Tuliwasaidia kupata uhuru ila hamna shuranu
Pambaneni wenyewe pumbavu
 
[emoji867]Na Jeshi yenu ilivyo jaa Sukuma Gang na Venye najua walivyo Vilegezi,lazy kabisa, Nowonder hamwapeleki msumbiji [emoji38]They walk with tail between their legs Kama walivyo furushwa na magaidi local wa msumbiji na pia mkafukuzwa na mapanga DRC[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]
Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
 
Wangekuwa wameteka Kenya Nzima,they don't need a passport to enter is just next door,Kama tusingekabiliana na wao,Kenya ingekuwa Kama Nigeria🔥🔥🇰🇪🔥🔥Mungu nimzuri KDF inangangana kivyao,Hao Alshaabab wanashinda Hadi Vikosi za America,Nyinyi Kaeni kitako mgoje huo ugonjwa usambae kwa watu wenu mutakipata,Kill it Now
Nchi yenu ni dhaifu kiasi hicho hadi al shabab wateke Kenya nzima?
 
Tangu lini Tanzania ikaogopa ku deploy majeshi yake?
Tanzania kwa miaka mingi sana imekua mstari wa mbele, kupigania Uhuru wa inchi za SADAC kwa kutoa mafunzo kwa inchi km Angola, Namibia, Zimbwabwe and SA na wakati mwingine kutuma majeshi mstari wa mbele km Uganda, Msumbiji, Congo na visiwa vya Nzuwani bila kusahau mission zisizo na idadi za Umoja wa mataifa...
Je huko kote tulikua tunapata nn au maadui walikua wanajulikana?
Labda tuambiane kwa kua wale ni watoto wetu waliokimbia Mkuranga thus why tunasita sita...
ila sio hizi bla bla nyingine zisizokua na kichwa wala miguu.

Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya la maana. Hatutaki jeshi letu lipeleke wanajeshi huko tusije pata madhila kama Yale ya Magaidi ya Alshabaab kule Kenya.

Bora nusu shari kuliko shari kamili.

Hawaendi Ng'o
 
Tuliwasaidia kupata uhuru ila hamna shuranu
Pambaneni wenyewe pumbavu
Tunapambana ata hatujawaitisha Usaidizi,Nyinyi mutakipata tu mukiendelea kupuuza duties zenyu,endeleeni kufunga macho Alkaaida wakispread kwenu,😆Don't worry just sit down.Once Macron said if you don't settle your Neighbour's problem it's gonna spread to your Country,even more worse🔥🔥
 
Hii title ina maana tanzania imewaingiza baridi SADC kwa kukataa kupeleka TPDF Cabo Delgado! Safi sana sisi tulifunza majeshi ya nchi nyingi za SADC kuanzia Mozambique, Angola, Zimbwabwe, Namibia na South Arica! Saahii ni zamu yao kujilinda wakati TPDF inajielekeza kwenye kulinda mipaka yake!
 
Back
Top Bottom