Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
Jeshi yenu ya CCM inajua tu kupiga raia,na kupiga marisasi wanaonyeta Kama Lissu,Wat a brave army🀣🀣🀣🀣
 
wewe inakuhusu nini? achana na mambo ya TANZANIA fanya ya kwako yaliyowashinda....NJAA, UKABILA,RUSHWA, SIASA ZA KIHUNI NK
 
Kwa taarifa yako tu walianzia Tanzania ndiyo wakakimbilia Msumbuji, CHA MOTO WALIKIONA, HAWAITAMANI TENA TZ
walikuwa wanatest waters Tanzania,watarudi na masilaha kali,kwanza sai labda hawatakuwa local terrorist watakuwa international sponsored Terrorists.Kaeni tu kitako mambo yakipangwa,kuliko muwabomoe sai isi spread kwenu.Labda adi Ndugu yako Ndio atakuwa Commander Kama vile Hamas/Terrorist army ya GazaπŸ”₯πŸ”₯πŸ˜ƒ
 
Kasome vzr hotuba ya waziri Mulamura,
Ishu ni kwamba vita iliyopo Msumbiji sio conventional war,huwezi kutuma jeshi,maana hujuhi unapambana na nani,huwezi kwenda kupambana na magaidi ambao hawabanwi na international rules of engagement ukatuma jeshi,
JWTZ haiendi,kule tunapereka Covert/clandestine unit,ambao hawavai uniform,na ukikamatwa nchi inasema haikutambuhi,
Ukitaka kupambana na gaidi fikiri kama gaidi,
 
Munathani magaidi hawana wajasusi wao,mutakipata,eti Munataka kufanya Gorrila warπŸ˜† Nothing is hidden under the Sun
 
Show them your power Ndio pia wao waingize mkia kwa matako,Create fear mpaka wajiseme wenyewe,Izi Vita hazitakangi woga
 
Mmepata matokeo gani hadi sasa
Je, unafahamu idadi ya meli zilizokuwa zinatekwa na ma-Al'Shabaab kwa mwezi?
Na watalii waliokuwa wakitekwa na kukimbilia Somalia, kisha kuitisha ransom ya mamilioni. Hi iliathiri pakubwa sekta ya utalii. Sasa hivi je, unawasikia?

Ndio, kuna changamoto wanajeshi wetu kuuawa, lakini in hatua kubwa tumepiga.
 
Hawachuni ng'ombe, wanasimamia Kenya Meat Commission, wafanyakazi wote ni raia, alafu ujue huwezi walinganisha na wavunja matofali na wanaolimishwa mashambani, na sio tafadhali! 🀣 🀣 🀣

πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Mchina ashafanya yake jamani, TPDF hao, hata dakika mbili hakutoboa kwa pozi hilo, mvunja tofali! 🀣 πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈπŸ˜πŸ˜¬πŸ€£πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Tulisha pigana sana. Sasa inatosha. Kila mtu sasa ave na kwavo. washughulikie changamoto za ndani. Wakae wasikilize hao shida yao ni nini, kisha watatue. Issue yao ni rahisi sana, huwezi kulinganisha na Somalia ambako serikali iliota mbawa tangu zamani sana. Msumbiji kuna serikali kabisa yenye nguvu. waitane wayajenge, hapo sisi tutakuja kuwasaidia.
 
Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
Uko sure? angalia movie hapo chini kidogo courtesy of KN. πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚






To be continued... πŸ˜‚
 

Je unajua wachafuzi walikuwa wakitupa taka kiasi gani zenye sumu katika pwani ya somalia?? Walifanya vizuri sana kuteka meli.
 
tanzania siyo kunyaland wewe
 

Those are just wishes, if were horses you could ride one.
Our inteligensia performance is water tight. Not porous like of yours. Tunajua taarifa kabla ya hata hatari kutokea.
 
Hajui wanajeshi wangapi wa Amerika, France, Britain nk wamekufa tangu walianzishe huko middle east... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Anataka wanajeshi wasife, kama vipi ndio kazi yao hiyo, kufa bahati mbaya na hakuna kulia kwani ushakufa ukilinda nchi!
 
lazima utakuwa miongoni mwa hao magaidi ama mfuasi wao mtiifu
 
Uliyemjibu umemuelewa?msome mpaka mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…