Jamaa si umekakaririshwa jamani[emoji1787][emoji1787]Mimi nasema, hakuna watu waoga kufa kama wakikuyu, hakuna watu wanaoogopa bunduki/risasi kama wakikiyu... Hakuna watu wanaoogopa maji/kuogelea kama wakikuyu.. Ila ndio waliojazana navy na kdf.. Ndio maana jeshi ni hovyo tu na lege lege.
Tatizo liko kwenye akili za kikenya.Tatizo liko wapi hapa mkuu?
Jamaa wana float nini, manake naona wakiwa in full gearUko sure? angalia movie hapo chini kidogo courtesy of KN. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1800227
View attachment 1800229
View attachment 1800230
View attachment 1800231
View attachment 1800232
View attachment 1800233
To be continued... [emoji23]
Hao wawili wako chini kule, hao wengine ni rescue technics wana perform.Jamaa wana float nini, manake naona wakiwa in full gear
Kukomesha uharamia Somali mlishindwa usijipe sifa ambayo hamna. Na ni baada ya ninyi kushidwa njia nyingine zikaja za kupambana nao ikiwa pamoja na mataifa mbali mbali kwenda kupambana nao mf, Tanzania na Marekani wote walipeleka vikosi baharini kupambana na maharamia, meli pia ziliajiri walinzi binafsi wa kupambana na maharamia.Je, unafahamu idadi ya meli zilizokuwa zinatekwa na ma-Al'Shabaab kwa mwezi?
Na watalii waliokuwa wakitekwa na kukimbilia Somalia, kisha kuitisha ransom ya mamilioni. Hi iliathiri pakubwa sekta ya utalii. Sasa hivi je, unawasikia?
Ndio, kuna changamoto wanajeshi wetu kuuawa, lakini in hatua kubwa tumepiga.
Wapasua matofali kwa bichwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji37]Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.
Oooo!!safi snaHao wawili wako chini kule, hao wengine ni rescue technics wana perform.
TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.Acha ujinga, hao magaidi si walikuwa MKIRU, waliua wengi ila Tz ilipigana vita yake sawa sawa hadi magaidi wote wakakimbia, vyombo vya usalama Tz vipo sahihi. Cha muhimu hapa ni kuboresha ulinzi kwenye mpaka wetu na Mozambique ili wasirudi tena Tz.
TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.Unadhani TPDF ni waoga na dhaifu kama kdf? Jeshi lenu mmejaza wakikuyu tu na vile tunajua wakikiyu walivyo coward.. No wonder jeshi yenu imehamia kwenye kuchuna ngozi za ng'ombe Sasa kenya meat.
Msumbiji ni wapuuzi kama Kenya tu, Cabo ni very rich in terms of resources lakini welfare of people is poor. Mali zote zinapelekwa kusini Maputo. Kama Kenya inavyoendeleza nairobi na kuziacha mandera.. Lockchar et al
Hivyo halo msumbiji the problem is within... Ilihitajika cheche tu moto uwake.
TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.You're pathetic guy
Ww Ni K*MA K*SIMi Cheus!!TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.
Ni waoga hadi hawaezi kwenda kupigana guerilla warfare kama KDF wanaamua kuzubaisha wadanganyika Dar.
TPDF is weak and full of FOOLS. Inafaa ibanduliwe na watu wapya waekwe. View attachment 1800381
Unazungumzia TPDF halafu unaweka habari ya polisi !!!!. Unapozunguzumza Tpdf ni dhaifu unaifananisha na jeshi la nchi gani?TPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.
Ni waoga hadi hawaezi kwenda kupigana guerilla warfare kama KDF wanaamua kuzubaisha wadanganyika Dar.
TPDF is weak and full of FOOLS. Inafaa ibanduliwe na watu wapya waekwe. View attachment 1800381
Wapasua matofali kwa bichwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji37]
Kdf imekuwa na mafanikio mengi Somalia..hakuna jeshi lingine linalo shikilia eneo kubwa la kama kdf.Kukomesha uharamia Somali mlishindwa usijipe sifa ambayo hamna. Na ni baada ya ninyi kushidwa njia nyingine zikaja za kupambana nao ikiwa pamoja na mataifa mbali mbali kwenda kupambana nao mf, Tanzania na Marekani wote walipeleka vikosi baharini kupambana na maharamia, meli pia ziliajiri walinzi binafsi wa kupambana na maharamia.
Kuhusu watalii kutekwa hilo lilikuwa linafanyika ndani ya Kenya hivyo ulikuwa uzembe wenu hadi wao kutekwa na walianza kutekwa baada ya kwenda Somalia. Nahitaji uniambie mlichofanikiwa Somalia hadi sasa?
Motisha? Kwamba makamanda waliuzwa?Safi sana. Ila wakivuka boda watakiona cha moto halafu hakuna "motisha" kama Rwanda kwa ma comandoo wetu kule.
Ha ha hiyo code ngumu kwako jombaMotisha? Kwamba makamanda waliuzwa?
kdf has participated in 44 peacekeeping missions across the globe.Hata congo wamekuwako kwa muda .For your information kikosi cha kdf kinacho enda congo kitakuwa outside UN Blue Helmet .Unazungumzia TPDF halafu unaweka habari ya polisi !!!!. Unapozunguzumza Tpdf ni dhaifu unaifananisha na jeshi la nchi gani?
Tpdf imesaidia kukomboa nchi mbali mbali Afrika miaka ya 60 na 70, imeshinda vita na Uganda, imeenda Congo kuwaondoa M23( vita vya msituni), imeenda Comoro kipindi cha Kikwete na kurudisha utawala wa demokrasia na Nchi haijawahi Kupinduliwa.
Jeshi la Kenya limewahi kushinda wapi?
We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.Kdf imekuwa na mafanikio mengi Somalia..hakuna jeshi lingine linalo shikilia eneo kubwa la kama kdf.
Kdf imeweza kuyadhibiti maeneo ya Beles Qoqani,Kolbio, Fafadun,Elade Hosingo, Badhadhe na kismayu .Maeneo hayo yalikuwa ni ngome za alshabaab
Mwishowe tulitengeneza eneo la jubaland na ku install Rais ,Ahmed sheikh Madobe ambaye amekuwa rais wa eneo hilo muda wa miaka 9 sasa.
kdf entry into somalia was a game changer ,their one year operation surpassed all operations ever done in somalia since 1991 UPDF went to Mogadishu - and were moving ONE INCH every day - in 5yrs - they had managed to take I think 100 meters around their camp . Infact kismayu is the safest city in somalia as we speak.KDF entry into congo will also be a game changer watch this space.