Hii si habari mzee, hadi jeshi la Burundi limeshiriki kwenye kulinda amani maeneo mengi duniani.kdf has participated in 44 peacekeeping missions across the globe.Hata congo wamekuwako kwa muda .For your information kikosi cha kdf kinacho enda congo kitakuwa outside UN Blue Helmet .
View attachment 1800476
We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.
Pili, Somalia kuna AMISOM hata mapambano yanafanyika chini ya huo mwamvuli. Kuna majeshi ya burundi na Msumbiji pia. Kwahiyo sio tu jeshi la Kenya limechemka bali jeshi la Afrika kwa ujumla wake.
Mafanikio ni kuitokomeza Al shabab na kuleta amani Somalia hakuna mlichofanikiwa kwenye hivyo.
Na nahitaji chanzo cha hiyo habari ya nyie kudhibiti hayo maeneo uliyoyataja.
Kdf was never part of Amisom before 2012.We joined Amisom after a successful crusade from Liboi to Kismayu.Uganda has been there since 2006.We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.
Pili, Somalia kuna AMISOM hata mapambano yanafanyika chini ya huo mwamvuli. Kuna majeshi ya burundi na Msumbiji pia. Kwahiyo sio tu jeshi la Kenya limechemka bali jeshi la Afrika kwa ujumla wake.
Mafanikio ni kuitokomeza Al shabab na kuleta amani Somalia hakuna mlichofanikiwa kwenye hivyo.
Na nahitaji chanzo cha hiyo habari ya nyie kudhibiti hayo maeneo uliyoyataja.
Uncircumcised baboon hicho ulichoandika na attachment wala haviendani Inawezekana ukawa kilaza kuliko wote humu jfTPDF ni jeshi la uoga na halipendi watanzania.
Ni waoga hadi hawaezi kwenda kupigana guerilla warfare kama KDF wanaamua kuzubaisha wadanganyika Dar.
TPDF is weak and full of FOOLS. Inafaa ibanduliwe na watu wapya waekwe. View attachment 1800381
Guess againlazima utakuwa miongoni mwa hao magaidi ama mfuasi wao mtiifu
Ww unapenda military affairs, you in Kenya drinking force?Hao wawili wako chini kule, hao wengine ni rescue technics wana perform.
Oky but Kdf military intervention in Somalia was not fruitful even before joining Amisom. You need to know what prompted Kdf to enter Somalia. A successful military operation would be total elimination of insurgents, you won the battle not war Also Al shabab was formed in 2006 so you fought them when they were at the infancy stage.Kdf was never part of Amisom before 2012.We joined Amisom after a successful crusade from Liboi to Kismayu.Uganda has been there since 2006.
Kuna Mtanzania/Watanzania waliokatwa kichwa?Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.
Who said insurgency is over? As far as I know, they're still(terrorists) there and will be there for many years to come. And to be clear, a successful military op ' isn't about total elimination of insurgents, but to have success on certain types of objectives and interventions.Oky but Kdf military intervention in Somalia was not fruitful even before joining Amisom. You need to know what prompted Kdf to enter Somalia. A successful military operation would be total elimination of insurgents, you won the battle not war Also Al shabab was formed in 2006 so you fought them when they were at the infancy stage.
I know it is not over that's why i told your fellow countryman that kenya military intervention in somalia was not successful. Since you said successful military operation isnt abt total elimination tell me the primary objectives setforth by Kenya prior entering Somalia and if those objectives are met.Who said insurgency is over? As far as I know, they're still(terrorists) there and will be there for many years to come. And to be clear, a successful military op ' isn't about total elimination of insurgents, but to have success on certain types of objectives and interventions.
Hata Alqaeda na ISIS bado wako, ilhali hamwafiki hao wazungu hata robo, licha ya kushindwa kuwatokomeza. Nani alikwambia ugaidi unaisha leo? , upo na utakuwepo. Vijego wanazaliwa kila kukicha! 🤣 🤣 🤣We jamaa mmefanikiwa vipi wakati Al shabab bado wanatawala maeneo ya kusini na kati na juzi hapa mlikuwa mnajitamba Rais wao anaishi Kenya, Na bado kuna habari wanakusanya mapato kuliko serikali ya Somalia.
Pili, Somalia kuna AMISOM hata mapambano yanafanyika chini ya huo mwamvuli. Kuna majeshi ya burundi na Msumbiji pia. Kwahiyo sio tu jeshi la Kenya limechemka bali jeshi la Afrika kwa ujumla wake.
Mafanikio ni kuitokomeza Al shabab na kuleta amani Somalia hakuna mlichofanikiwa kwenye hivyo.
Na nahitaji chanzo cha hiyo habari ya nyie kudhibiti hayo maeneo uliyoyataja.
Vijego ni nini? Marekani na ulaya hawana nia ya dhati ya kuvimaliza hivyo vikundi mf, Marekani ipo Syria kwa ajili ya kumtoa Assad, Isis wanapambana na Assad pia kwahiyo unategemea wawamalize ISIS wakati wanawasaidia kwenye vita dhidi ya Assad. Lakini cha kushangaza zaidi Marekani huyohuyo aliungana na wakurdi kupigana ISIS. Hata vyombo vya habari vina upendeleo kwenye kuripoti habari, jeshi la serikali wakienda kupiga maeneo yanayokaliwa na magaidi wanaripoti serikali imeua raia kibao lakini Isis wakishambulia maeneo yanayokaliwa na serikali wanasema tu ISIS imepigana na majeshi ya serikali.Hata Alqaeda na ISIS bado wako, ilhali hamwafiki hao wazungu hata robo, licha ya kushindwa kuwatokomeza. Nani alikwambia ugaidi unaisha leo? , upo na utakuwepo. Vijego wanazaliwa kila kukicha! 🤣 🤣 🤣
Fungua code... Mkuu [emoji3][emoji3]Ha ha hiyo code ngumu kwako jomba
..inawezekana vijana wetu wakaenda Msumbiji lakini haitatangazwa ktk vyombo vya habari.
Haya wekeni pozi tupige picha...Uko sure? angalia movie hapo chini kidogo courtesy of KN. 👇 👇 👇 😂😂😂
View attachment 1800227
View attachment 1800229
View attachment 1800230
View attachment 1800231
View attachment 1800232
View attachment 1800233
To be continued... 😂
Kukomesha uharamia Somali mlishindwa usijipe sifa ambayo hamna. Na ni baada ya ninyi kushidwa njia nyingine zikaja za kupambana nao ikiwa pamoja na mataifa mbali mbali kwenda kupambana nao mf, Tanzania na Marekani wote walipeleka vikosi baharini kupambana na maharamia, meli pia ziliajiri walinzi binafsi wa kupambana na maharamia.
Kuhusu watalii kutekwa hilo lilikuwa linafanyika ndani ya Kenya hivyo ulikuwa uzembe wenu hadi wao kutekwa na walianza kutekwa baada ya kwenda Somalia. Nahitaji uniambie mlichofanikiwa Somalia hadi sasa?