Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Wakiacha kutujadili, hatutoitisha press conference. Sisi ni wazee wa "tit for tat", uliza Uhuru Kenyatta mziki wetu anaujua vizuri sanaKama imekwisha acheni kuitisha press conference...
Mbona wao hawatoi speech kwa Kiswahili?, Tanzania is not Kenya, sisi ni taifa huru sio vibaraka wa wazunguNext time atoe speech kwa kingereza anatuchosha kuwatafsria hao wanaowaita Mabeberu
Eti uchaguzi umeibiwa!! Aliyeibiwa ni mama yako????Hawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.
Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Covid 19 ndio nini??Yaani upewe hela za COVID-19, wewe ukazitumie kusambaza mabango ya kampeni za uchaguzi mkuu za chama chako nchi nzima halafu waliokupa wahoji juu ya matumizi ya hela zao kisha uwafukuze?Hizi ni akili za wapi?How come binadamu anakuwa na akili kama hizi?Ni nini hiki?Kati ya wewe na aliekupa hela zake ukazitumia vibaya kinyume na makubaliano ni nani mwenye makosa?
tulia ccm ikuongozeHawezi kuishi bila usaidizi. Hata kama ni biashara lazima usfanye na mataifa mengine. Hiyo ni kujimwabafai tu. Wabanwe tu. Wameiiabisha Tanzania na hawafai kuwa katika ofisi hizo.
Sovereignty haina maana kuwa CCM iibe uchaguzi na kuua watu huku dunia ikiwa kimya. Ni sawa na mtu mwenye familia. Hauwezi kuuwa watoto wako huku majirani na serikali wakitizama tu. Ukiulizwa unakodoa macho kwa hasira na kusema hawa ni watoto wangu. Hiyo ni argument ya kijinga.
Wewe mpumbavu. We mtoto mdogo leo unajifanya kuijua Tanzania.Hawa viongozi waliojipa mamlaka kwa "WIZI NA MABAVU" na hawa wengine "WANAOJIKOSHA KWA MKUU (Kwasababu ya matumbo yao na familia zao)" muda si mrefu wanaliangamiza taifa letu.
Wanaleta kiburi cha kijinga kwenye maswala ya muhimu kwa mustakbali na hatima ya taifa letu (Maswala muhimu hata kwa wale ambao hata hawajazaliwa bado na wale wala mimba zao kutunga).
WITO: Wao kama wanaona wana jeuri/viburi/ukaidi wa kupambana na wafadhili wetu na mataifa yenye nguvu duniani, wajikusanye na kujiorodhesha kwa majima kikundi chao na waende wakapambane nao kivyao huko. Wasitutumie kwa "NIABA" watanzania "WOTE" kupambana na wanaotuzidi hela/mejeshi/silaha/maarifa.
Who is John Heche in this country
Hakuna aliyeomba hizo pesa, wenyewe walijikomba kwa ujinga wao, wakitaka kujua jinsi zilivyotumika wanapaswa kuja kwa heshima sio kupiga kelele kama kichaa, sisi ni taifa huru hawapaswi kutuchezea, waende wakawachezee wakenya wenye kuhitaji misaada ktk kila project, sisi ni kisiki cha Mpingo, hatutikisiki.Yaani upewe hela za kupambana na COVID-19, wewe ukazitumie kusambazia mabango ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama chako nchi nzima,kugawa hela barabarani kama pipi pamoja na kununua majogoo laki moja moja halafu waliokupa wahoji juu ya matumizi ya hela zao kisha uwafukuze?Hizi ni akili za wapi hizi?How come binadamu anakuwa na akili kama hizi?Ni nini hiki?Kati ya wewe na aliekupa hela zake ukazitumia vibaya kinyume na makubaliano ni nani mwenye makosa?
kwa hiyo kazi ya serekali ni kufanya wananchi kuwa matajili...?? kazi kubwa ya serekali ni kutengeneza njia kisha mwananchii kuitumia njia hiyo kama kilainishi cha fursa...mkoa naotoka mimi kuna maskini 60% na mafukara 20% hizo yuro 27milioni zimeenda wapi sisi huku hali tete hayo ndio tunataka kusikia
Umeanza tabia za kikenya sasa. Umekosa hoja. Kojoa ulaleView attachment 1631713
Mabeberu wana enjoy maisha ndani ya sovereignty country.
Umesikiliza video wewe.Nadhani Balozi wetu kule alisema kwamba tulichosikia ni uzushi tu, kwamba kilichokaa kikao sio Bunge zima bali ni kamati ndogo tu na ni wajumbe watano pekee ndio waliokuwa na ‘kiherehere’
Leo Waziri anasemaje? Are these people communicating and speaking the same language? Waziri nae anaanzaje kuongelea uzushi, tena wa ‘wahuni’ watano tu?
Hili swala limezungumzwa ndani ya kamati ya bunge la ulaya, utasemaje ni wahuni, wabunge watano wamechangia hii ajenda, wewe ulitaka hadi wabunge wote wachangie?, japo hawajafikia maazimio, lakini limezungumzwa katika vikao rasmi, ni muhimu sana serikali kutoa msimamo wake, endapo wataendelea na hio ajenda, ni muhimu wakijua msimamo wa TanzaniaNadhani Balozi wetu kule alisema kwamba tulichosikia ni uzushi tu, kwamba kilichokaa kikao sio Bunge zima bali ni kamati ndogo tu na ni wajumbe watano pekee ndio waliokuwa na ‘kiherehere’
Leo Waziri anasemaje? Are these people communicating and speaking the same language? Waziri nae anaanzaje kuongelea uzushi, tena wa ‘wahuni’ watano tu?
Moja ya mikataba ambayo Tanzania imesaini na EU ni uaminifu katika matumizi ya hela.Kama walipewa hela kimakosa walipaswa kuzirudisha kwa uaminifu.Kitendo cha kupewa hela kimakosa na kuzipiga ni kuvunja mikataba ya uaminifu.Hakuna aliyeomba hizo pesa, wenyewe walijikomba kwa ujinga wao, wakitaka kujua jinsi zilivyotumika wanapaswa kuja kwa heshima sio kupiga kelele kama kichaa, sisi ni taifa huru hawapaswi kutuchezea, waende wakawachezee wakenya wenye kuhitaji misaada ktk kila project, sisi ni kisiki cha Mpingo, hatutikisiki.