Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya


Huyu mwenye domo kubwa anashindwa kuelewa kuwa the impact of Covid 19 was not only a medical issue, but an all inclusive effects. It touches the sense organ of every sector. It leaves no stone unturned. Think of tourism, air transportation, etc all have been affected by the pandemic. So for that note, every country needs the stimulus package to make the economy live. The question of statistics, testing and other bla bla had nothing to do with this financing. Whether you have less or more fatalities in your country, the economy will need to be boosted.
 

Brother mbona unatokwa tu na maneno bila hata chembe ya ushahidi?
Najua kawaathiri sana tundu lisu, ila naomba mumfikishie ujumbe huu "Accepting a disappointing election result is also a key part of democracy".
 
Brother mbona unatokwa tu na maneno bila hata chembe ya ushahidi?
Najua kawaathiri sana tundu lisu, ila naomba mumfikishie ujumbe huu "Accepting a disappointing election result is also a key part of democracy".
Ushahidi gani unataka?Kwani siyo sahihi kusema kwamba Tanzania hatukuangaika na Corona?
 
Alafu unawaza sikumoja utakuwa kwenye nchi ya mafanikio....aiseee hebu kalale uko
 
Kalale...huna jipyaa kazi kulialia km mtot
 
Hili swala limezungumzwa ndani ya kamati ya bunge la ulaya, utasemaje ni wahuni, wabunge watano wamechangia hii ajenda, wewe ulitaka hadi wabunge wote wachangie?
Kasome vizuri nilichoandika maana hayo maneno yalisemwa na Balozi na hayakutoka kwangu.
 

Good, the country is still adamant.
 
Huyu ndio nani Sasa,macho kubwa nje na Meno mbaya kama ya Alshabaab🤣😂😂
 
Sijaelewa uzi huu, kuhusu drama zenu hizi na hao mabeberu wenu, mmeuanzisha humu kwenye jukwaa hili kwa nia ipi. Hayatuhusu sisi wakenya, wala hayaihusu nchi yetu ya Kenya. Alafu if I was to be completely honest, hivi vioja vyenu vya kila mara vina'bore' sana. Yaani ni sawa kabisa na kusoma ule ukurasa wa matangazo ya vifo kwenye gazeti. Tafuteni wataalamu wa kuwa andikia 'scripts' na mjitahidi zaidi pia kwenye kipengele nyeti cha ubunifu. Anyway, Moderator do the necessary.
 
Haya ndiyo majibu wazalendo tumeyasubiri sana! Viva JPM & serikali yake. Ifike mahali nasi tuwakoromee wasiojua mipaka na uhuru wa nchi zingine!
 
"Kupewa hela kimakosa"??? I hope you are not dreaming!
 
Calamagandacabugi should be ousted from our foreign offices,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…