Tanzania yajiunga na coalition of willing(COW) London 2016

Tanzania yajiunga na coalition of willing(COW) London 2016

Umesahau Pwani ya Kenya wanataka kujitenga na bara?????

Tumeshang'atwa na nyoka lazima tustuke. Rudi nyuma yaliyojitokeza mwaka 1977 (Former EAC) kwa sasa tuko macho, nyie tangulieni, lakini mjue mkataba wa EPA umekula kwenue hususan ndugu zangu wa KIBERA

Ningewaona wajanja kama hamgekuwa mnaliwa kwenye hayo madini yenu na raslimali, mna kila kitu lakini hadi leo nyie maskini kweli kweli. Mnajifanya wabishi kwa kila kitu halafu hatimaye mnaachia achia wenyewe na kufuata mkumbo.
 
Huu muungano sidhan kama utadumu maana baadhi ya nchi zinaish kinafik na kujion bora kuliko watu wengine,ndo tulivyo waafric wazungu wataendelea kututawala hatujui kusimama pamoja kwa lengo moja,mwingie akiinuka kidogo has majigambo kibao,pamoja na matusi yote kutoka kwa wakenya yatawaimalisha wtz Kujikosoa wap wanakosea na kujiimalisha
 
Mbona unashoboka sana na TZ. Kenya population ni ndogo lakini 50% ya wakenye wanaishi under poverty line.
Tanzania ipo na population kubwa lakini only less than 30 ndio wanaishi under poverty line.

Sasa unaringa unaringia ujinga.

Countries Compared by Economy > Population below poverty line. International Statistics at NationMaster.com

Ina maana % ya wakenya ni maskini wa kutupwa yaani makapuku.
 
Ningewaona wajanja kama hamgekuwa mnaliwa kwenye hayo madini yenu na raslimali, mna kila kitu lakini hadi leo nyie maskini kweli kweli. Mnajifanya wabishi kwa kila kitu halafu hatimaye mnaachia achia wenyewe na kufuata mkumbo.
Nanyi rudisheni ile Ardhi waliyoichukua kina Kenyatta na wazungu kama Lord Dalamere.

Kwa taarifa yenu sisi tingatinga hacheki na kima wala kulia lia kama yule bebi wenu mnywa viroba. Sisi huku anatumbua tu.
 
Huu muungano sidhan kama utadumu maana baadhi ya nchi zinaish kinafik na kujion bora kuliko watu wengine,ndo tulivyo waafric wazungu wataendelea kututawala hatujui kusimama pamoja kwa lengo moja,mwingie akiinuka kidogo has majigambo kibao,pamoja na matusi yote kutoka kwa wakenya yatawaimalisha wtz Kujikosoa wap wanakosea na kujiimalisha

Hii ni biashara sio mambo ya muungano, hamna cha undugu wala nini. Ukifika mjini kupiga mishe zako wacha kuwaza mambo ya undugu, hayo unayaacha nyumbani. Kama unasubiri hadi Wakenya wawaonyeshe mapungufu eti ndio mjirekebishe, basi mtachelewa sana.
 
Ningewaona wajanja kama hamgekuwa mnaliwa kwenye hayo madini yenu na raslimali, mna kila kitu lakini hadi leo nyie maskini kweli kweli. Mnajifanya wabishi kwa kila kitu halafu hatimaye mnaachia achia wenyewe na kufuata mkumbo.
Nyie na kujifanya wajanja bado mafuta yenu mmeshawapa wazungu na wachina. Hamna jeuri ya kuchimba mafuta wenyewe.
 
Ningewaona wajanja kama hamgekuwa mnaliwa kwenye hayo madini yenu na raslimali, mna kila kitu lakini hadi leo nyie maskini kweli kweli. Mnajifanya wabishi kwa kila kitu halafu hatimaye mnaachia achia wenyewe na kufuata mkumbo.
Tz jamani, ukitembea geita mines, picha unayoiona ni hii kwa hio unategemea nchi hio iwe tajiri lakini lo! Ukitembea hapo mjini sasa dahhh umaskini ambao haujapata onekana, sijui ni laana ama nini?
1479203733997.jpg
 
Tz jamani, ukitembea geita mines, picha unayoiona ni hii kwa hio unategemea nchi hio iwe tajiri lakini lo! Ukitembea hapo mjini sasa dahhh umaskini ambao haujapata onekana, sijui ni laana ama nini? View attachment 434505
Mafuta ya Kenya yashachukuliwa na wazngu na wachina.
 
Mafuta ya Kenya yashachukuliwa na wazngu na wachina.
Production sharing agreements za mafuta yetu ipo wazi na nitaiweka humu in due time. Ila nyie kwa mikataba inayohusu raslimali zenu ni kidedea toka nyuma, mnachoweza ni kulialia mitandaoni tu. Huwa ikifika kwenye negotiating table, zeroooooo000[emoji90] , eti kampuni inalipa royalties za 0.5% hadi 1% kwa minerals extracted!!. Sijui ni lugha ndio tatizo ama ni nini, ebu kaka tueleze?
 
Tz jamani, ukitembea geita mines, picha unayoiona ni hii kwa hio unategemea nchi hio iwe tajiri lakini lo! Ukitembea hapo mjini sasa dahhh umaskini ambao haujapata onekana, sijui ni laana ama nini? View attachment 434505

Mahandaki matupu, wametafunwa sana hawa. Mibabe imekaa Dar na kumiliki vitalu huku vijiji vilivyo majirani na hayo mahandaki wanaishi kwa umaskini balaa halafu kwa jeuri wanakwambia wapo makini sana.
 
Mahandaki matupu, wametafunwa sana hawa. Mibabe imekaa Dar na kumiliki vitalu huku vijiji vilivyo majirani na hayo mahandaki wanaishi kwa umaskini balaa halafu kwa jeuri wanakwambia wapo makini sana.

People with political connections control more than 50 per cent of the Kenya’s wealth that is owned by individuals, a new report has shown.

Highlighting this as one of the factors that could negatively impact on Kenya economic growth in future, the Wealth in Kenya 2014 report says that a common thread running through almost all the dollar millionaires is their political connections as well as their ownership of large tracts of land.

The list of the wealthy political dynasties and billionaire landowners reflects Kenya’s top political leadership.

However, the report does not give details about how their wealth was acquired and does not suggest in any way that the wealth was acquired irregularly.

The Kenyatta, Moi, Kibaki, Karume, Kulei, Biwott, Nyachae, Odinga, Saitoti, Michuki and Mwau families are listed among the wealthiest in the report compiled by a British organisation. The same families also own large tracks of land.

Other large individual land owners include Mr Swaleh Nguru, Mr Saleh Said Sherman, Mr Tahir Sheikh Said (TSS) and Kamlesh Pattni.
The group is likely to get even richer because property prices continue to rise.

Kenya’s wealthiest political dynasties
 
MK254 ni mwaka wa ngapi Taitanium, soda ash na Tsavorite vinachimbwa Kenya na hata cent haijulikani imeenda wap?
 
Wacha kung'aka ovyo, hivi unajua kwa utajiri wa madini na raslimali zote mlizo nazo, Watanzania 70% ni maskini ndani ya nchi yao.
Yaani 30% ndio wanajua utamu wa nchi baada ya kuwacha vitalu vikiwa mahandaki matupu.
 
Mahandaki matupu, wametafunwa sana hawa. Mibabe imekaa Dar na kumiliki vitalu huku vijiji vilivyo majirani na hayo mahandaki wanaishi kwa umaskini balaa halafu kwa jeuri wanakwambia wapo makini sana.
Wamempa mchina mchuchuma mines, royalties watakazopata ni 1%, hahaaa watz ebu kuweni serious, mnaliaibisha bara letu sana!amkeni ebooo...

Dar es Salaam — The $2.7 billion (about Sh6 trillion) Mchuchuma coal and Liganga iron-ore mining projects in the southern highland zone may delay further as investors await the government's decision to offer incentives, BusinessWeek has learnt.
The Energy and Minerals Deputy Minister, Mr Medrard Kalemani said in parliament in May this year that the project - which is being l bankrolled by Sichuan Hongda Group of China in partnership with the state-owned National Development Corporation (NDC) - would start in March 2017.
The two partners have formed a company - known as Tanzania China International Mineral Resources Limited - and have entrusted it with the running of the projects.
But the NDC public relations manager Mr Abel Ngapemba told BusinessWeek last week that since such huge projects are normally given incentives, the implementers were still keeping their fingers crossed before it actually kicks off.
"These incentives normally help the investors when it comes to implementing such huge projects.
"They normally include a number of things including taxation as the government deems fit," he said.
Once issued, he said, the incentives will have to be recorded in the Government Notice (GN) to make them official and legally binding.
"Once the incentives are issued, the project will commence whereby compensation of the villagers who will have to vacate their areas to pave way for the project to officially start, will be undertaken swiftly," he said. Initially, the process of compensating the villagers surrounding Mchuchuma coal and Liganga Iron ore projects was supposed to start in February, 2016 but it had to be postponed due to a number of reasons including paving way for the China New Year celebrations.
This is despite the fact that the evaluation process was completed in September, 2015 and it established that at least Sh13 billion would be required for compensations.
The evaluation exercise established that there are 126 households around the Mchuchuma
project while some 290 individuals own farms there. Similarly, the Liganga project is surrounded by 19 households and some farms that are owned by a total of 299 individuals.
The project - which has been on and off over the years since 1898 when it was first discovered - was expected to kick off any time soon after completion of the compensation exercise, with a goal of completing the main project in the year 2019.
The project envisions setting up a Coal Thermal power Plant of 600MW at Mchuchuma of which 250 MW will be set for Liganga Metallurgical Complex while the remaining 350MW is expected to be connected to the national grid.
It also involves construction of a 220kv transmission line between Mchuchuma and Liganga for power supply to the Liganga Metallurgical complex.
A feasibility study conducted on Mchuchuma showed that there are 540 million tonnes of coal deposits, with a capacity to produce three million tonnes annually enough to produce 600MW electricity for a period of not less than 100 years.
The Liganga/Mchuchuma projects have been on the government's drawing boards for several decades.
The Chinese firm owns 80 per cent of the Liganga mine and 70 per cent of the Mchuchuma coal complex with a 100-year lifespan and a total value of $54.8 billion combined.
 
Wacha kung'aka ovyo, hivi unajua kwa utajiri wa madini na raslimali zote mlizo nazo, Watanzania 70% ni maskini ndani ya nchi yao.
Yaani 30% ndio wanajua utamu wa nchi baada ya kuwacha vitalu vikiwa mahandaki matupu.
Mie nawafaham fika, kwa porojo, unafiq na mipango kabambe hawana mshindan, ngoja ifike utekelezaji zeroooooo, naskia wanajenga vyooo mia moja toka mwanza hadi dar??!!![HASHTAG]#hapakazituu[/HASHTAG][emoji2] [emoji2]
 
Ningewaona wajanja kama hamgekuwa mnaliwa kwenye hayo madini yenu na raslimali, mna kila kitu lakini hadi leo nyie maskini kweli kweli. Mnajifanya wabishi kwa kila kitu halafu hatimaye mnaachia achia wenyewe na kufuata mkumbo.
Kwan wakenya matajiri??? Au wawekezaji wanaoishi Kenya ndiomatajilii???,,
 
Inside The Kenyan Small Scale Mines
It is estimated that about 100,000 people are directly engaged in artisanal mining in Kenya. These include areas such as Mbeere and Tharaka Nithi where gemstone and industrial mining occurs.

The coastal region is known for gemstone mining while in the Western region, gold mining is a major community activity within Kakamega, Migori, Trans Mara and Narok counties.

The management of extraction industries has however remained one of the most critical challenges for the sector. This is coupled by harassment from state officials, poor working environment, lack of proper protective and mining tools.

Dan Kazungu ,mining cabinet secretary noted in a interview yesterday that there has been harassment of people dealing with small minerals. We don’t criminalize people holding small minerals, so long as they have the right paperwork.

According to the CS, this has resulted in neighboring countries like Tanzania and Uganda, taking advantage, by buying the small minerals in a manner similar to smuggling, denying Kenya, full benefits from the trade.

For instance, gold worth an approximate Sh16 billion, is smuggled out of the country annually.

Rather than stimulating broad-based economic development, reliance on resource extraction has tended to concentrate wealth and power in the hands of a few, exacerbate corruption and inequalities.

This has led to environmental degradation and pollution, while doing little to reduce poverty, economic disparities and generate employment.Worse still, in many countries, extractive resources have fuelled violent conflicts.

For example, Kenya is well known for gemstone mining; however, the small-scale (artisanal) miners, dominate the industry.Artisanal mining accounts for over 60 per cent of annual gemstone production in Kenya, where women and youth play a major role in artisanal mining, according to Kazungu.

In some areas, artisanal and small-scale miners who prospect for the minerals, are violently evicted from the mines by powerful and well-connected large-scale prospectors, miners and traders who claim legal ownership of the land as soon as the locals discover mineral deposits.This is however set to change according to the CS, under the new Mining Bill awaiting presidential ascent.

Inside the Kenyan small scale mines - Kenyatta University TV (KUTV). All Rights Reserved.
 
Back
Top Bottom