Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Punguza hasira, unawa back up au ni member
Mbona umelishupalia hili na siyo mada?..."interests?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza hasira, unawa back up au ni member
Ok. Sawa nimekuelewa. Lakini siyo vizuri kutetea wenzako wazi wazi hivi. Jamii zetu za KiAfrica hususani Tanzania hatuko hivyo. Nakusihi rudi kundini.Mbona unaikimbia mada!...rudi kwenye mada kwanza.
Ok. Sawa nimekuelewa. Lakini siyo vizuri kutetea wenzako wazi wazi hivi. Jamii zetu za KiAfrica hususani Tanzania hatuko hivyo. Nakusihi rudi kundini.
Back to topic.
Hivi kwa akili yako kweli unadhani TZ inaweza kwenda kunye uhusiani kichwa kichwa? Tanzania ilishasema lazima vitu viwe wazi kuhusu utalii.
Sasa nyie wadogo zetu toka kenya kucha kuchwa mna kuja na propaganda za kudanganya wazungu.
Hakuna Single VISA with TZ sawa dogo!!?
Duh!!! Kwahiyo Mila za kizungu za bwana cameroon ndio unazipenda?Miye mwenyewe nilimuona mwakilishi wenyu akielezea kuhusu VIZA ya EAC pamoja juzi katika maonyesho ya biashara ya utalii ulaya, nchi zote zikiwa kwenye kumbi moja chini ya mwavuli wa EAC,...ilikuwa kwenye CCTV Africa!
Halafu mimi siyo mtanzania na nashukuru Mungu, kwa hivyo mila na desturi zenyu potofu hazinihusu ndewe wala sikio.