Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

Duuuh! jambo jema,ila zisimamiwe vizuri hizo pesa,zinapoliwa hovyohovyo sisi wananchi wa chini,ambao hatuna access ya hizo pesa,tunasikitika.Mama awe mkali kama mtangulizi wake,asisubirie eti nidhamu ya kutoka moyoni,atatajirisha watu na atafukarisha watu.
wanawalipa wafanyakaz hewa eti fidia
 
Ndugai yawezekana alikuwa sahihi kuhusu kopa kopa ila record yake mbaya ya kuongoza Bunge kuwa la hovyo tangu Uhuru ndiyo imesababisha wananchi kushangilia kumwagwa kwake.
 
Rejea kinachoendelea mitaani, mitandao ya kijamii, vyombo vya habari na hata vijiweni, wakidai kuna WAHUNI, CHAWA nami nimeongeza MCHWA

Wahuni wanadanganya
Chawa wanatekenya
Mchwa wanatafuna
Mitaani unaishi peke yako? Kinachoendelea mitaani ni hiki hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-072702.png
    Screenshot_20220611-072702.png
    95 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220611-072524.png
    Screenshot_20220611-072524.png
    130.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220611-072258.png
    Screenshot_20220611-072258.png
    173.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220609-222036.png
    Screenshot_20220609-222036.png
    273.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220608-154316.png
    Screenshot_20220608-154316.png
    285.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220607-223251.png
    Screenshot_20220607-223251.png
    165.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220607-223143.png
    Screenshot_20220607-223143.png
    257.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220607-223233.png
    Screenshot_20220607-223233.png
    201.3 KB · Views: 4
Walamba asali naona mate yanawadondoka kwa kupewa advance ya mkataba wa gesi. PCCB na CAG wanatakiwa wawe macho sana na matumizi ya huo mkopo ama sivyo itakuwa umemkabidhi fisi bucha.
 
Back
Top Bottom