Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

Tanzania yalaumu wageni kwa uhalifu, wapanga mpango wa kuwasaka mlango kwa mlango

Ulitaka aguswe nalamwezake ,je ulitaka yeye lake lilimfata aguswe au ligiswe na nan
 
Hapa bongo Wanyasa,Warundi,Wakongo na Wakenya wamejaa

Hiv hao Wanyasa si ni Watanzania, si ndio huwa mnatumia jina lao kuwanyang'anya Malawi ziwa lao, sasa iweje na wao muanze kuwabagua.
 
Sasa hivi mtarudishiwa wajumbe wa nyumba kumi na kununua unga duka la kaya kwa kidaftari kama 1982.
 
Pambaneni na hali zenu.Majungu hayataleta chakula kwa meza wala school fees za wana wenu wala kodi ya pango.
 
Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda.

Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda. The RC has blamed foreigners for the spike in crime in Dar es Salaam. FILE PHOTO | NMG

In a week marked by xenophobic attacks in South Africa and strong backlash from even Tanzania’s parliament, Dar es Salaam’s Regional Commissioner Paul Makonda announced a plan to carry out door-to-door searches and registration of alleged immigrants in the country’s commercial capital. They are being blamed for the spike in crime.
The residential registry will identify where each and every city resident lives and work.
Building on an existing system that requires all local representative to keep tabs on and report all ''new'' people moving into their locations, Mr Makonda's directive will see local community groups tasked with detecting ''strangers'' or ''suspicious-looking people in their areas, and reporting them to the police or other law enforcement authorities for further action.
According to his office, there were 16,000 unidentified visitors in Dar es Salaam last year alone.
He further instructed ward, council and district leaders to work with immigration and national security officials to enforce his directive.
The issue of illegal immigrants has been a thorny one in Tanzania. Authorities say illegal aliens endanger the country’s social and economic stability and pose a security risk.

Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians.
Hivi utasikia waTzed wakisema hawa illegals ndio wamejaza slums zao na kuzifanya kubwa.
 
Madaktari wa Kenya wako bora kwa kitu kipi? Kusoma UoN na Uzima? Wakenya wa kwenye mitandao msipende kujipa sifa za kijinga.

Mnafik katika ubora wake, uongo uongo tu. Madaktari wa Kenya walisema kwamba wenzao kutoka Tz hawajahitimu vizuri kwenye taaluma yao na wakawaita manesi. Hawakusema chochote kuhusu kumaliza mtu yeyote yule. Madaktari wa Kenya wanajielewa sio wa kienyeji kama unavodhania, walifika mahakamani kusitisha mpango huo. Mpango ambao wakenya na serikali yao walikuwa wameshaukubali.
 
At least we dont kill them, not like what you kenyans did back then, Tunafuata taratibu na sheria, ulishawahi sikia mbongo anajali kuhusu foreigners? C tunaishi nao tu, so if the government decided to that for our safety, thats fine by me lakn sis watanzania hatuna shida na wageni wacha serkali etu ifanye inavojiskia
You kill those who are helpless {your children & albinos
 
Xenophobia sio kuua tu, hata kutia moto vifaranga wasio na hatia na kupiga ng'ombe wa wafugaji mnada ni kiashiria kizuri cha uovu huo. Nimetaja sisiemu yenu kimakusudi, maanake ndio sera ambayo wameiendeleza tangu jadi. Chuki dhidi ya wakenya. Rejea kwenye zile figisu dhidi ya Sylvia Mulinge, mkenya aliyeteuliwa na Vodacom. Upande wa pili nao mwendawazimu mmoja Jaguar aliamka na kichaa chake, ila kilichofata ni alikemewa kwa nguvu zote na wakenya na akafikishwa mahakamani. Nyie mlikenua tu vifaranga wakiungua. Makonda si ni kifaranga wa Jiwe? 1+1=2.
Acha siasa za chuki kutoka kwa wajaa chuki wenzio huko Kenya, hii Tanzania hakuna huo upuuzi, hapa ni kufuata sheria na utaratibu, hakuna kifaranga Wa Kenya aliechomwa Bali Vifaranga vilinunuliwa Kenya na mtanzania na vilichomwa kwa mujibu Wa sheria hakufuata utaratibu na sio hivyo tu ila kwakuwa mmekuwa wanyama katili na daima mnatafuta sympathy kwa ukatili wenu hivyo MTU akifanya lolote mnajaza propaganda muonekane mu wasafi na wengine ndio hufanya kumbe ni wajuzi Wa chuki na roho mbaya iliyokithiri hamko tofauti na wazulu na ndugu zenu Wa Msumbiji kwa roho dhalimu.
Unetetea kuhusu madaktari ili kuficha chuki zenu za wazi kabisa .
Huyo Silvia kama ana sifa mbona hamjamuajiri hapo vodacom baada ya kifo cha Bob Colimore? Mlijuwa mlichotaka kukileta Tanzania nasi tukawawahi maana tumechoka na udhalimu wenu majirani wenye roho mbaya mithili ya ibilisi ninyi.

Tanzania daima tunafuata sheria na utaratibu ndio msingi wetu achana na porojo zenu zisizo kichwa wala miguu na mkiambiwa ukweli mnayokimbilia daima eti hakuna demokrasia as if huko kwenu hatuoni mauaji ya kikatili na ukatili mwingi dhidi ya wanasiasa wenu, as if huko kwenu hmjawa ranked ni miongoni mwa nchi hatarishi duniani, as if hatuoni uovu wenu mwingi hapa mnautia rangi mjione nanyi kitu.
Utetezi wenu daima ni huu huu Wa kuokoteza barabrani na mkizidiwa sana mtaleta hadithi za watanzania wanakula nyama za albino habari za miaka zaidi ya kumi ilopita mauaji yalitekelezwa na kikundi cha watu kanda ya ziwa mnaletea nchi nzima na udhibiti ulishafanyika

Aibu zenu ninyi badilikeni mjifunze upendo Tanzania
 
Kabisa na akili zako bado unaona ni sawa
Mnafik katika ubora wake, uongo uongo tu. Madaktari wa Kenya walisema kwamba wenzao kutoka Tz hawajahitimu vizuri kwenye taaluma yao na wakawaita manesi. Hawakusema chochote kuhusu kumaliza mtu yeyote yule. Madaktari wa Kenya wanajielewa sio wa kienyeji kama unavodhania, walifika mahakamani kusitisha mpango huo. Mpango ambao wakenya na serikali yao walikuwa wameshaukubali.
huoni kabisa kuna ubaguzi hapo, wakenya mnashida nyingi sana, kwanza bado hamjaacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa East africa nyie ndo miongoni mwa watu wenyewe roho mbaya halafu mnapenda kujiona mnachapa kazi lakini amna kitu ni ujinga mwingi ulio wajaa wa ubaguzi, wachina wakishachukua bandari yenu ndo akili zitawakaa sawa
 
Unaongea sana wew, vile vifaranga havikua vya mkenya, ni vya mtanzania alinunua kutoka kenya, na walikua wagonjwa wote wale kwahyo kuzuia magonjwa yasisambae kwa mifugo mingine ilibid ifanywe hvyo.
Xenophobia sio kuua tu, hata kutia moto vifaranga wasio na hatia na kupiga ng'ombe wa wafugaji mnada ni kiashiria kizuri cha uovu huo. Nimetaja sisiemu yenu kimakusudi, maanake ndio sera ambayo wameiendeleza tangu jadi. Chuki dhidi ya wakenya. Rejea kwenye zile figisu dhidi ya Sylvia Mulinge, mkenya aliyeteuliwa na Vodacom. Upande wa pili nao mwendawazimu mmoja Jaguar aliamka na kichaa chake, ila kilichofata ni alikemewa kwa nguvu zote na wakenya na akafikishwa mahakamani. Nyie mlikenua tu vifaranga wakiungua. Makonda si ni kifaranga wa Jiwe? 1+1=2.
 
Unaongea sana wew, vile vifaranga havikua vya mkenya, ni vya mtanzania alinunua kutoka kenya, na walikua wagonjwa wote wale kwahyo kuzuia magonjwa yasisambae kwa mifugo mingine ilibid ifanywe hvyo.
Yes sir, walikuwa wanaugua ugonjwa wa UKENYA. Ndio maana vifaranga havikuhitaji kufanyiwa 'tests' zozote kwenye lab na wala hakuna shirika lolote ambalo lilikuwa limepeana tahadhari ya magonjwa ya ndege. Kama unabisha leta ushahidi wowote ule kutoka WHO au mashirika husika ya Tz au hata Kenya. Ubaguzi dhidi ya wanyama na mifugo ni xenophobia ya sayari nyingine.
 
Kabisa na akili zako bado unaona ni sawahuoni kabisa kuna ubaguzi hapo, wakenya mnashida nyingi sana, kwanza bado hamjaacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa East africa nyie ndo miongoni mwa watu wenyewe roho mbaya halafu mnapenda kujiona mnachapa kazi lakini amna kitu ni ujinga mwingi ulio wajaa wa ubaguzi, wachina wakishachukua bandari yenu ndo akili zitawakaa sawa
Maneno yako ni ya chuki na ya kibaguzi. Shukran kwa kutoa mfano mzuri wa hulka za ki'xenophobia'.
 
Watakuambia Kenya is a xenophobic bomb waiting to explode yet Tanzania is already exploding.
 
At least we dont kill them, not like what you kenyans did back then, Tunafuata taratibu na sheria, ulishawahi sikia mbongo anajali kuhusu foreigners? C tunaishi nao tu, so if the government decided to that for our safety, thats fine by me lakn sis watanzania hatuna shida na wageni wacha serkali etu ifanye inavojiskia

Tuliua maforeigners wagani?
 
The issue of illegal immigrants has been a thorny one in Tanzania. Authorities say illegal aliens endanger the country’s social and economic stability and pose a security risk. Mr Makonda accused illegal aliens of misusing state resources and taking over jobs and education opportunities meant for Tanzanians.
Mkuu, tuzitumie vizuri hizi platforms vinginevyo tutakuwa tunatengeneza chuki zisizo za lazima kabisa. Hebu niambie, kuna nchi gani inayoruhusu illegal immigrants? Hata hao foreigners wanaouawa South Africa, hatuwatetei kwa kusema eti wana haki ya kujiingilia tu SA hata bila kufuata sheria, la hasha, bali tunawatetea dhidi ya adhabu wanazopewa kuwa ni kubwa na za kikatili kulinganisha namakosa waliyofanya. Usitengeneze chuki ndugu, hizi battles za Kenya vs Tanzania hazitufikishi popote, zinabomoa tu
 
Sijaelewa unalialia kuhusu nini haswa, nimeleta habari kama zilivyo, kwamba mumelaumu wageni kwa matukio ya uhalifu na mnajiandaa kuwasaka mlango kwa mlango, soma taarifa kama zilivyo.
Sio mimi mwandishi wa hayo makala.
 
Wengi wa wale ambao wanamaga povu na kutokwa na mishipa shingoni kwenye uzi huu hawajasoma taarifa kwanza. Mimi nawashangaa kwasababu huyo Makonda wao amenukuliwa akiwalaumu wageni kwa uhalifu. Alafu zaidi ya hapo amewalaumu wageni pia kwa kutumia vibaya raslimali za serikali ya Tz na kunyakua ajira za wazawa. Hiyo ndio inaitwa 'state sponsered xenophobia', mbaya zaidi ya ile ya S.Afrika. Simple and clear!
 
Siwaelewi hawa aidha kingereza kinawapiga chenga wameshindwa kusoma taarifa kama zilivyo.
 
Back
Top Bottom