Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa "Wajomba" tutaulipa baada ya 2035.Serikali ya CCM iache kuingia mikataba ovyo kwa sababu Raisi makini akija lazima avunje mikataba ovyo.
Tunapigwa kijinga tu. Unampa mtu leseni halafu hawekezi au kutekeleza makubaliano hadi unafuta leseni. Halafu anakushitaki arbitration unakubali wewe kulipa usd milion 30? Hii chini ya jpm isingetokea. Sio kwamba angekwenda kinyume na sheria ila team yake ya wanasheria ingewabwaga hao wawekezaji kwani kusingekuepo uhuni wa kupiga hela hivyo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya uchimbaji Dhahabu ya Winshear Gold Corp, Serikali ya Tanzania imechukua hatua hiyo baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili ya kumaliza kesi pamoja na kusitisha kesi za usuluhishi.
Winshear Gold Cor iliishtaki Tanzania baada ya kufuta Leseni za kampuni ya zamani, iliyokuwa ikiendesha mradi wa dhahabu wa SMP, uliopo kusini magharibi mwa Tanzania.
---
Winshear Gold Corp. (TSXV: WINS) (‘Winshear’, the ‘Company’, or the ‘Claimant’) reports that it has successfully concluded the settlement agreement with the United Republic of Tanzania (“Tanzania”) (collectively the “Parties”) in relation to its dispute regarding the Company’s SMP Gold Project.
The Parties agreed on an amount of US$30,000,000 to settle the case and terminate the arbitration proceedings. Funds were received by the Company today, October 16th, 2023. After payment of funding and legal costs, the net amount to Winshear is approximately C$25,275,000 (US$18,500,000).
Richard Williams, CEO of Winshear Gold, commented, “This settlement is good for both Tanzania and Winshear and we are pleased to reach a mutually acceptable conclusion to this matter. It is time for both Parties to move on and we wish Tanzania success in attracting new investment. The Company sincerely thanks our legal team, Lalive, for their work in preparing and presenting our case.”
The Company will look at various options available to it before deciding on what to do with the funds and will announce a decision in due course.
About Winshear Gold Corp.
Winshear Gold Corp. is a Canadian-based minerals exploration company advancing the Gaban Gold Project in the Puno region of Peru. Gaban is a possible hard-rock source for the modern-day alluvial gold rush underway in the Madre de Dios basin downstream.
For more information, please contact Irene Dorsman at +1 (604) 200 7874 or visit www.winshear.com
ON BEHALF OF THE BOARD OF DIRECTORS
“Richard D. Williams”
Richard Williams, CEO
Neither the TSX Venture Exchange nor its Regulation Services Provider (as that term is defined in the policies of the TSX Venture Exchange) accepts responsibility for the adequacy or accuracy of this release.
Article content
Cautions Regarding Forward-Looking Statements
This news release includes certain statements and information that may contain forward-looking information within the meaning of applicable Canadian securities laws. All statements in this news release, other than statements of historical facts, are forward-looking statements and contain forward-looking information.
Generally, forward-looking information can be identified by the use of forward-looking terminology such as “intends” or “anticipates”, or variations of such words and phrases or statements that certain actions, events or results “may”, “could”, “should”, “would” or “occur”. Forward-looking statements are based on the opinions and estimates of management as of the date such statements are made and they are subject to known and unknown risks, uncertainties and other factors that may cause the actual results, level of activity, performance or achievements of the Company to be materially different from those expressed or implied by such forward-looking statements or forward-looking information, including the risks normally associated with arbitration cases.
Although management of the Company has attempted to identify important factors that could cause actual results to differ materially from those contained in forward-looking statements or forward-looking information, there may be other factors that cause results not to be as anticipated, estimated or intended. There can be no assurance that such statements will prove to be accurate, as actual results and future events could differ materially from those anticipated in such statements.
Accordingly, readers should not place undue reliance on forward-looking statements and forward-looking information. The Company does not undertake to update any forward-looking statements or forward-looking information that are incorporated by reference herein, except in accordance with applicable securities laws.
Mkuu acha kutoa sifa ambazo hujui..Tunapigwa kijinga tu. Unampa mtu leseni halafu hawekezi au kutekeleza makubaliano hadi unafuta leseni. Halafu anakushitaki arbitration unakubali wewe kulipa usd milion 30? Hii chini ya jpm isingetokea. Sio kwamba angekwenda kinyume na sheria ila team yake ya wanasheria ingewabwaga hao wawekezaji kwani kusingekuepo uhuni wa kupiga hela hivyo.
Ni kwa nini haitumiki lugha kuwa "tumeshindwa kesi" na badala yake tunasema "tumeingia makubaliano" ya kulipa?Wangemsikiliza Tundu Lissu ujinga huu usingetokea yani Usalama wataifa wa nchi hii haujitambui, wakati Lissu anapinga kuvunjwa mikataba hovyo walitaka kumuua sasa taifa linaingia hasala , na sasa anapinga mkataba mbovu wa bandali wanapanga njama za ku muua yani usalama wa taifa letu hovyo kabisa sijui na taasisi hi nyeti katika nchi nayo ni ya undugu?
Symbion katupiga,IPTL kashatupiga na sasa Winshear kututwanga.Ila siyo bure huyu Mstaafu na genge lake ni lazima wadhibitiwe,tunakoelekea hili taifa litafirisika kama Ugiriki!Mafisadi yakiongozwa na mkuu wao wanajitengenezea mazingira kupora mali za nchi! Timeshuhudia kesi feki zikiibuka na zile za zamani tulizoshinda zikifufuliwa upya kusudi waibe! Na kweli wamefanikiwa kuiba na kupiga hela ndefu za umma! Bei ya vitu inapanda! Hali ya maisha utafikiri tuko kuzimu! "No one cares" kila kukicha misafara ya watu zaidi ya 100 wanaenda kuzurula India heti kushuhudia mkuu wa kaya kupewa PhD!
Hawa viongozi tuliowaamini wana mgao! Wao ndo wanapanga fidia kiasi gani! Unakuta mlalamikaji wala hana neno na alishindwa kwenye kesi ya msingi ya kwanza! Sasa wanamwendea na kumlazimisha aifufue hiyo kesi na atashinda kwa fidia (labda tuseme 1 billion). Hawa watanzania mafisadi wanasema andika fidia billion 75. Wewe tutakupa billion 5 alafu billion 70 ni zetu! Kesi inaendeshwa kimagumashi kimyakimya mara Tanzania imeshindwa kesi na fasta from nowhere muamala wa billion 75 unalipwa!Ila hii nchi kwa kweli, hapana aisee. Kwamba mtu kapiga 75bn bila kufanya kazi yeyote. Ni mkataba tu kuvunjwa basi.
Unaweza onyesha ubovu wa ule mkataba, na hasa kipengele kilicho pelekea kuvunja?Ni mjinga tu anayeweza kusapoti na kuacha mikataba mibovu.ni bora tuvunje kuliko kukaa na mikataba mibovu.
Lisu daima ni mkweli. Alichokitabiri kinashuhudiwa na kila mwenye akili na macho.Na wewe boya, Rais makini unavunja mikataba kichwa kichwa? Haya madhara yatatugharimu sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Fuatilia kwa umakini. Hiyo haihusiani na mikataba.Ni mjinga tu anayeweza kusapoti na kuacha mikataba mibovu.ni bora tuvunje kuliko kukaa na mikataba mibovu.
Mwafa,Ila hii nchi kwa kweli, hapana aisee. Kwamba mtu kapiga 75bn bila kufanya kazi yeyote. Ni mkataba tu kuvunjwa basi.