Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mkuu ukienda vijijini huko chozi la huruma litakutoka kuona muheshimiwa ana VX 50 kwenye msafara wake wakati watu wana shida ya maji na chakula. Hii nchi inataka iletewe Musa atuvushe kama wana wa Israel
View: https://twitter.com/ExMayorUbungo/status/1716135997782573379?t=BEel9KMlSybNjnpe9IUO8g&s=19