Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Tulifunga mwezi uliopita,hata kabla masaa ya masaa 24,balozi wako wa Tanzania kaitisha press conference ,Kenyatta kampigia simu Magufuli wanalia lia wafunguliwe mipaka.
 
MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kenya ndiye alifunga kwanza, Tanzania are just reacting to save face 😁😁
Unakuja kwangu nafunga mlango wangu usiingie, unakasirika na kwa aibu nyingi unakimbia kwako na kufunga mlango pia 😂😂😂
Inauma but itabidi uzoee...
KENYA 10 - 0 TANZAGIZA
NI wazi Tanzania INATEGEMEA KENYA.
 
Kwa kujikweza hamjambo, Call us anything but we still Tanzanians
 
Mna kichaa, mnafunga mpaka ambao tayari umefungwa? Kando na hao madereva waliokatazwa kuingia hakuna watanzania wengine ambao walikuwa wanakubaliwa kuvuka mpaka. Itabidi mpambane kuwafungia mpaka viumbe wengine waliosalia, kama chiriku, fuko na burukenge wa Kenya.
 
Kenya was just buying time to divert new supply lines for produce probably from Uganda and other countries
Knowing Kenyan politicians there's probably a ship on its way to mombasa full of produce to bridge the deficit
Mufunge hio mpaka mkitaka lakini masharti lazma ifwatwe.

Kwa biashara ni mnunuzi ndiye anasema we ukianza kumtukana ati atakufa na njaa na ni yeye ndo ako na pesa utabaki na bidhaa zako uzile mwenyewe na kiburi chako koroshow 2.0
 
Kenya was just buying time to divert new supply lines for produce probably from uganda and other countries
Knowing kenyan politicians there's probably a ship on its way to mombasa full of produce to bridge the deficit
Mufunge hio mpaka mkitaka lakini masharti lazma ifwatwe.

Kwa biashara ni mnunuzi ndiye anasema we ukianza kumtukana ati atakufa na njaa na ni yeye ndo ako na pesa utabaki na bidhaa zako uzile mwenyewe na kiburi chako koroshow 2.0
Mwanzoni mlisema hivyo, ngoja tena muone,TZ is unbwagable! hahaha.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kenya ndiye alifunga kwanza, Tanzania are just reacting to save face 😁😁
Unakuja kwangu nafunga mlango wangu usiingie, unakasirika na kwa aibu nyingi unakimbia kwako na kufunga mlango pia 😂😂😂
Inauma but itabidi uzoee...
KENYA 10 - 0 TANZAGIZA
NI wazi Tanzania INATEGEMEA KENYA.
Danganya mafalamanga wenzio kwamba nyinyi ndio mlifunga wa kwanza,.
 
kenya was just buying time to divert new supply lines for produce probably from uganda and other countries
Knowing kenyan politicians there's probably a ship on its way to mombasa full of produce to bridge the deficit
Mufunge hio mpaka mkitaka lakini masharti lazma ifwatwe
Kwa biashara ni mnunuzi ndiye anasema we ukianza kumtukana ati atakufa na njaa na ni yeye ndo ako na pesa utabaki na bidhaa zako uzile mwenyewe na kiburi chako koroshow 2.0
These guys don't understand business,
farm produce is not a hi-tech product where you can blackmail your customer...
The buyer is king,
Can you imagine Kenya blackmailing the EU based on the horticultural products we sell them? they would just laugh us off..

Kenyan authorities should take this advantage of Covid 19 and close the border, TZ farm produce is bad for our farmers coz cartel importers are the beneficiaries as our farmers struggle to get a market.

Tanzania people are the last people to depend on for anything... we don't rely on them for 100% of anything, only some few products when they are out of season or low supply na hatuwezi kulala... ni matusi tu... that is no way to treat a customer.
 
Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
You have recorded more than 2,000 cases,TZ has only 4! Ndio maana mko desperate and the number keeps on tallying kila siku,mtakufa kwa wivu nugu nyinyi.
 
Back
Top Bottom