Tanzania yang'aa kwenye MTV MAMA Nominees mwaka 2016

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mziki wa bongo fleva umeendelea kutamba na kung'aaa ukanda huu wa africa mashariki na kati baada ya kuwa na wasanii wengi kwenye nominations kuliko nchi za kenya na uganda.
Hawa ni wasanii wa Tanzania watakao tuwakilisha
Best group ------- Navy kenzo

Best breakthrough act------ Raymond

Best female------- Vanessa Mdee

Listener's choice ------- Yamoto Band

Alikiba yeye anashare tuzo na Sauti sol katika category 2
Best collabo
Song of the year

Diamond platnumz yeye amepata category 2
Best Male
Artist of the Year

Ndugu watanzania mnapaswa kuwapigia kura hawa wawakilishi wetu ili waweze kuleto tuzo Tanzania
Wekeni timu zenu pembeni maana mnaweza kuwasahau kuwapigia kura navy kenzo na kina vanessa
Proudly Tanzanian
 
Kura zinapigwaje. Niwapigie wote fasta
Mkuu nimejaribu kupandisha link imenigomea mods watanisaidia ila pia unaweza kwenda kwenye ukurasa wa mtv base africa facebook na kupiga kura
 
Bongo ipo juu ki-muziki kwa sasa big up kwao woooote
 
hongera zao,tupigeni kura za kutosha kuwapa support
 
Nitapigia wawili tu hapo,wengine nawatosa
 
Nadhani Tanzania tunafuatia baada ya Nigeria na South Africa,step kubwa sana.TANZANIA UP [HASHTAG]#VOTE[/HASHTAG] [HASHTAG]#VOTE[/HASHTAG]
 
Safari hii hawajakosea kusema wanatoka nchi ya jirani
 
hapo bado johmakin tu kamis
 
Joh Makini kama kashindwa kuingia mwakahuu wa don"t bother na perfect combo sijui kama atapata nafasi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…