Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617


MY TAKE: Hizi bullets trains zinakidhi mahitaji ya Tanzania kwasababu gharama zake ni wastani na zinaweza kusimama vituo vingi tofauti na KTX ambazo zinakimbia 350km/hr, hivyo kushindwa kusimama vituo vingi.

Hongera Tanzania. Hongera East Africa.
 
Nina waswasi kama watanzania wengi watakaopanda treni hiyo kama watatumia hivyo vyoo vizuri.
Treni nyingi huwa na vyoo kama vya ndege. Yaani hakuna kuflash maji. Unabonyeza kidude tu kisha mali yako inavutwa kwa kutumia vacuum na kuhifadhiwa huko ndani. Zinaitwa vacuum toilets, hazitumii maji.
 
Back
Top Bottom