Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Vituo vyao vya train Ni Kama vyetu...tu very simple..Kuna nyang'au wamejengewa monuments alaf wanajisifia
Vituo vyetu vya train ni supuu kushinda vyenu. Vituo vyenu viko chini sana.
 
Hizi trains ni model ya 2014, hakuna used train hata moja, ndio mara ya kwanza kutumika nje ya South Korea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni ukweli, hongereni lakini ni vigumu kuwaamini flower boys wa CCM.

Itabidii nizitumie mwenyewe nikija kula chips mayai na kusaka hao madada wa baikoko huko Tanganyika
 
Chizi huyo, nimemuelewa ila nimemkaushia sina mpango kumjibu, sasa train za mizigo hata zikifana na uso wa Simba kuna umuhimu gani?.

Cargo trains umuhimu wake ni nguvu ya kuvuta mzigo, na kasi yake, sasa sura ina umuhimu gani?
Na vile mlikuwa mmetuingilia kuhusu cargo trains zetu.

Lakini ni ukweli looks doesnt matter with cargo trains
 
Kama ni ukweli, hongereni lakini ni vigumu kuwaamini flower boys wa CCM.

Itabidii nizitumie mwenyewe nikija kula chips mayai na kusaka hao madada wa baikoko huko danganyika
Ni marufuku kwa mkenya kuchukua dada zetu, njoo upande bullet train, ukimaliza tutakusindikiza hadi Namanga na zawadi ya gunia mbili za mchele.
 
Hili likithibitika ni kweli itakuwa tiketi ya kuniamsha mapema saa 12 oktoba 28 kwenda kumpigia kura Magufuli!

Hakika ni jambo kubwa sana kwangu..ila kama itakuwa mitreni michakavu ile ya 1970's basi siamki kabisa siku hio. Ntakuwa namichana na demu wangu tu.
Utakuta ni zile mitumba za TRC tu😂

CCM wanatafuta kura, treni ni kama ile walioizindua ya kwenda Arusha.
 
Hili likithibitika ni kweli itakuwa tiketi ya kuniamsha mapema saa 12 oktoba 28 kwenda kumpigia kura Magufuli!

Hakika ni jambo kubwa sana kwangu..ila kama itakuwa mitreni michakavu ile ya 1970's basi siamki kabisa siku hio. Ntakuwa namichana na demu wangu tu.
Mkuu jiandae kuamka mapema, hio ni ukweli 100%,. Kaa mkao wa kula nitakuletea taarifa nzuri zaidi ya hizi.
 
Hili likithibitika ni kweli itakuwa tiketi ya kuniamsha mapema saa 12 oktoba 28 kwenda kumpigia kura Magufuli!

Hakika ni jambo kubwa sana kwangu, ila kama itakuwa mitreni michakavu ile ya 1970's basi siamki kabisa siku hio. Ntakuwa namichana na demu wangu tu.
Mkuu jiandae kuamka mapema, hio ni ukweli 100%, Kaa mkao wa kula nitakuletea taarifa nzuri zaidi ya hizi.
 
Back
Top Bottom