Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Kwahiyo ilo li ITAX Bullet Train wewe halikustui kwamba Magufuli anachapa kazi kweli kweli .

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mkuu sisi tunaoishi huku Mwakaleli, hizi trains zitatusaidiaje?, bora angetupa zile 50M kila kijiji kama alivyoahidi.
 
2594200_2593911_IMG_1603052670.576763.jpg

VS

20160614155052099_ENG_IMAGE.jpg

VS

EkhqYAsXgAAWopA

MY TAKE:
Aisee yajayo yanafurahisha na Bendera ya Kenya imewekwa mbele na slogan ya impossible is nothing!
 
Mkuu sisi tunaoishi huku Mwakaleli, hizi trains zitatusaidiaje?, bora angetupa zile 50M kila kijiji kama alivyoahidi.
Kwangu Lissu ndio hajani shawishi. Huwezi wadanganya watu kama watoto, yaani unachukua mfano wa interchange unapeleka kuwauliza wanakijiji? sasa na ww unatak niambia lisu ndio anaweza Kufanya zaidi ya yaliofanyika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi zile used DMU toka spain kila unit moja imewagharimu $ ngapi?, kwasababu inaonekana hata hizi jamaa amezipata kwa bei nzuri sana
Yaani wametoa bei ya mpya kununua rejects! Ni scandal nyingine! Zingekuwa mpya nisingetia neno!

Ej4CqjfXsAM9hC_

CC: Tony254 njoo utueleze!
 
MY TAKE: Hizi bullets trains zinakidhi mahitaji ya Tanzania kwasababu gharama zake ni wastani na zinaweza kusimama vituo vingi tofauti na KTX ambazo zinakimbia 350km/hr, hivyo kushindwa kusimama vituo vingi.

Hongera Tanzania. Hongera East Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Why do you think you will get the one in the video and not this one in the picture? Cause as far as train prices are concerned, $60m can`t get you what you are wishing for. This one is also an electric Korean made train
download.jpg
 
Back
Top Bottom