Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Kumbe unatambua tunapiga MAENDELEO chini ya Hodari Magufuli.

Haya sasa October 28th twende tukampe kura nyingi.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tuna maendeleo ya vitu na sio watu, ndo shida inapokuja hapo.Binafsi laiti km Magu,angeniruhusu nimshauri,ningemshauri kuwa ajitajidi kubalansi mambo,yaani Jitihada za miradi ziwepo lkn asiegemee sana huko wakati wananchi tunalia hali ngumu ya maisha,aachie pesa mtaani,ili Wananchi wapate pesa kiurahisi,nikimaanisha kuwa afungue milango ya kiuchumi,

Awajali Watumishi kwani kupitia kwa hao pesa inaingia kwenye mzunguko,Asiwanyanyase Wapinzani kwani kupitia hao anaweza kujitazama vizuri kuliko km akiwategemea ccm wenzake maana hao ni wazee wa kumsifia tu hata km anakosea.Ninayo mengi sana.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hizi trains ni cheap aje? Kwa hivyo hata sisi tunaweza kuziafford tu? Sasa mnaturingia kwa nini?
Ku-afford na kununua ni Mbingu na Ardhi! Nyie ni wazee wa kupigwa kila siku! Kwani Mchina aliwauzia kwa bei gani mitungi yenyu ya chang'aa usikute bei ni zaidi ya hivi vitu vyetu vya kisasa! Ninaamini mradi wa SGR Mombasa Nairobi zaidi ya $1 bln iliibiwa!
 
Ku-afford na kununua ni Mbingu na Ardhi! Nyie ni wazee wa kupigwa kila siku! Kwani Mchina aliwauzia kwa bei gani mitungi yenyu ya chang'aa usikute bei ni zaidi ya hivi vitu vyetu vya kisasa!
Tatizo Mchina katupa mjenzi na pia katupa loan. Ulikuwa unategemea tumuambie kuwa tunataka treni za Korea?
 
Tatizo Mchina katupa mjenzi na pia katupa loan. Ulikuwa unategemea tumuambie kuwa tunataka treni za Korea?
Ndo ukubwa huo kaka! Vumilia! Vya rahisi ni ghali ☝️ 😂 😂 😂 ☝️!

Mabenki ya China lazma yatengeneze faida na nina uhakika zaidi ya $1 bln kipande cha Mombasa-Nairobi kilikuwa overcharged ndo maana mlipozinduka (kwa kulazimishwa na Museveni) kutaka washushe bei Naivasha-Malaba wakakataa!

Serikali ya Kenya haishindwi kutenga $500-600 mln budget kama ya Tanzania kuanza miradi mikubwa, ukweli ni kwamba kufanya hivyo hakuna interest kwa ur tenderpreneur politicians kama wakina Jimmy!

Unajua hata Tanzania ilipokopa $1.46bln standard Chartered Bank kuharakisha ujenzi walikuwa na upperhand kufanya negotiation maana walikuwa washa-demonstrate ability to raise funds from own sources!

Hamna kampuni kampuni ya Kiingereza au HongKong inayojihusisha na mradi zaidi ya Mkopo!
 
So you mean that your entire line is only going to be run by 5 EMU? Two passenger locomotives and three cargo locomotives? Remember Kenya has a total of 56.
Wow 56? I wasn't aware of this. That means the Tanzanian SGR is a big beautiful white elephant? Wow.
 
Ni marufuku kwa mkenya kuchukua dada zetu, njoo upande bullet train, ukimaliza tutakusindikiza hadi Namanga na zawadi ya gunia mbili za mchele.
Hapa hao madada tunawakula bila haraka alafu kumbe ni ile ile, nilifikiri k#ma imetiwa mchuzi na tui la nazi kumbe harufu ni ile ya dagaa.
 
Una evidence gani kuwa itakuwa DMU?
Usianze league la ubishi! ☝️ 😂 😂 ☝️

Basi kama EMU then seamless operation haitakuwapo maana naamini treni ya JKIA itaingia mpaka CBD na CBD yenu ya commuter trains haina infrastructure ya ku-accomodate EMU! It will be a wastage of this investment! try to make use of that brain of urs!
 
Usianze league la ubishi! ☝️ 😂 😂 ☝️

Basi kama EMU then seamless operation haitakuwapo maana naaomini treni ya JKIA itaingia mpaka CBD na CBD yenu ya commuter trains haina infrastructure ya ku-accomodate EMU! It will be a wastage of this investment! try to make use of that brain of urs!
Hakuna mtu aliyetazama hio contract maana ilitiwa saini wiki mbili zilizopita. Sasa wewe umejuaje kuwa itakuwa DMU bila kusoma hio contract? Halafu hio reasoning yako ni hafifu. Ni kweli 2020 Nairobi haina EMU infrastructure lakini hio haina maana kuwa haiwezi kujengwa. Hata hio Dar haikuwa na EMU infrastructure lakini ilijengwa juzi tu.
 
Evidence? The picture u posted is Alstom EMU

Hakuna mtu aliyetazama hio contract maana ilitiwa saini wiki mbili zilizopita. Sasa wewe umejuaje kuwa itakuwa DMU bila kusoma hio contract? Halafu hio reasoning yako ni hafifu. Ni kweli 2020 Nairobi haina EMU infrastructure lakini hio haina maana kuwa haiwezi kujengwa. Hata hio Dar haikuwa na EMU infrastructure lakini ilijengwa juzi tu.
By the way tonny itakua electric, na itakua EMU sio DMU as i had stated earlier apo kwenye hii thread
 
Usianze league la ubishi! ☝️ 😂 😂 ☝️

Basi kama EMU then seamless operation haitakuwapo maana naaomini treni ya JKIA itaingia mpaka CBD na CBD yenu ya commuter trains haina infrastructure ya ku-accomodate EMU! It will be a wastage of this investment! try to make use of that brain of urs!
Geza your problem ni ujuaji mingi na ubishi
 
Mbona hata SGR yenu tulisikia itawekewa umeme?, kati ya ahadi kumi za viongozi wa Kenya, ni moja tu ndio itatekelezwa, ninakuhakikishia haya ni maneno matupu.
Bado hujanijibu the number of locomotives your SGR will have.
 
Mbona hata SGR yenu tulisikia itawekewa umeme?, kati ya ahadi kumi za viongozi wa Kenya, ni moja tu ndio itatekelezwa, ninakuhakikishia haya ni maneno matupu.
SGR ya umeme haikutiwa saini. Ilikuwa ni propaganda ya wanasiasa. Hii hapa ni contract iliyotiwa saini na rais huko Ufaransa. Naomba uelewe tofauti.
 
Back
Top Bottom