joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
.....kweli.Nasikia ziko bandarini tiyari, kweli si kweli?
Hizo ni zenu kweli?
Kama hii ndio mizigo basi hapa kwenye treni nakubali mumetupiga 10-0. Lakini sidhani kama hii ndio treni yenu. Hii ni ya South Korea. Yenu bado haijaonekana
Tumenunua ITX bullets trains, ITX trains zote zipo hivyo, hiyo sio yetu lakini ni exactly kama hizo.Kama hii ndio mizigo basi hapa kwenye treni nakubali mumetupiga 10-0. Lakini sidhani kama hii ndio treni yenu. Hii ni ya South Korea. Yenu bado haijaonekana
Ya mizigo ni design gani juu hii hapa Naina ni ya abiria? Niko njiani nitumie hii ITXTumenunua ITX bullets trains, ITX trains zote zipo hivyo, hiyo sio yetu lakini ni exactly kama hizo
Nina waswasi kama Watanzania wengi watakaopanda treni hiyo kama watatumia hivyo vyoo vizuri.Ndani ya ITX trains
Mizigo tutaingia nayo humo humo ndaniYa mizigo ni design gani juu hii hapa Naina ni ya abiria? Niko njiani nitumie hii ITX
Kama ni kweli basi hongera.Tumenunua ITX bullets trains, ITX trains zote zipo hivyo, hiyo sio yetu lakini ni exactly kama hizo
Anamaanisha cargo trains zenu zitafanana vipi?Mizigo tutaingia nayo humo humo ndani
Na ibebe double stack?Mizigo tutaingia nayo humo humo ndani
Treni nyingi huwa na vyoo kama vya ndege. Yaani hakuna kuflash maji. Unabonyeza kidude tu kisha mali yako inavutwa kwa kutumia vacuum na kuhifadhiwa huko ndani. Zinaitwa vacuum toilets, hazitumii maji.Nina waswasi kama watanzania wengi watakaopanda treni hiyo kama watatumia hivyo vyoo vizuri.
Treni za mtumba 😂, duuh Geza Ulole mbona mwanunua secondhand.Hizo ni zenu kweli?