Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
CC: Tony254 sikiliza Mkenya mwenzio anakuambia mtapata DMUs na si EMUs as Alstom deals with only DMUs! ✌️ 😂 ☝️here are the are the partners who will incharge of the project ..but jua alstom they deal with DMUS engine only...na hii project si ya serikali ni ya investor
View attachment 1604828
Kuna dokezo hiliiHii hapana, hii inakimbia 305km/hr na gharama zake za kuiendesha ziko juu sana.
Bandari ya YouTube.Nasikia ziko bandarini tiyari, kweli si kweli?
Sasa mbona umefuta kwenye specifications ulicho-post hakieleweki!Kuna dokezo hiliiView attachment 1607825
200 km sio 300 km.
Wewe ni wazimu. Kama unahesabu crossing loops na stations sidings basi huelewi mambo ya reli. Kama ni hivyo hata Sgr yetu kati ya Mombasa na Nairobi sio 480 km bali ni 609 km ukijumulisha station sidings na crossing loops.
Geza ulidhani kuwa SGR iliuwa transportation business in Kenya? Basi wewe huelewi how big the Kenyan economy is. Tazama hii video ya huyu jamaa
"https://t.co/BJqPWZEx1b">pic.twitter.com/BJqPWZEx1b</a></p>— Mohammed Hersi (@mohammedhersi) <a href="">October 17, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
Umepoteza u-smart wako "saahii unaropokwa ujingaujinga"!joto la jiwe mbona umenyamaza sana hapa JF?
Hehe.Umepoteza u-smart wako "saahii unaropokwa ujingaujinga"!
Hiyo haiwezi kuja na wala haitufai, kwanza speed yake ni 305km/hr, pili ni ghali sana kuiendesha na nauli zake zinapaswa kuwa juu ili kuweza kumudu gharama za kuiendesha, hata huko kwao sio wengi wanaosafiria hizo kutokana na nauli kuwa Kubwa.Naona KTX ndoinatua nchini
Niko na shida na sehemu nilipo kwa sasa, network sio nzuri.joto la jiwe mbona umenyamaza sana hapa JF?
Usiwe mshamba hiyo speed inaweza kupungua kutokana na specifications za client. Design ya treni kwa bje itakuwa Kama ya KTX japo speed yake haitokuwa kubwa na pia wataipa power backup system.Hiyo haiwezi kuja na wala haitufai, kwanza speed yake ni 305km/hr, pili ni ghali sana kuiendesha na nauli zake zinapaswa kuwa juu ili kuweza kumudu gharama za kuiendesha, hata huko kwao sio wengi wanaosafiria hizo kutokana na nauli kuwa Kubwa
Hivi unatumia akili wewe au matope?, kila design inatengenezwa kutoka na mahitaji ya mwendo wa train, kama kasi ni kubwa sana, ndio mbele inachongwa kufanana na ndege, sasa kwa kasi ya 160Km/hr inalazimisha utengenezewe kitu chenye gharama kubwa inayofanana na 320km/hr, hivi hayo ni matumizi mazuri ya pesa?. Kama hao wenyewe pamoja na utajiri wao lakini Wanatumia ITX kasi ya 160km/h, sisi tunautajiri gani wa kufuja pesa?Usiwe mshamba hiyo speed inaweza kupungua kutokana na specifications za client...Design ya treni kwa bje itakuwa Kama ya KTX japo speed yake haitokuwa kubwa na pia wataipa power backup system
Mbona unalazimisha mambo ? Watu mnapenda makuu as if SGR imefika Mwanza? If Our SGR can accommodate a train of a speed less than 200km/h, it will be highest impunity instead of ITX to buy KTX that cruises at 305km/h n yet to be operated at limited speed of 160km/h! JPM hawezi fanya ujinga huo!Usiwe mshamba hiyo speed inaweza kupungua kutokana na specifications za client...Design ya treni kwa bje itakuwa Kama ya KTX japo speed yake haitokuwa kubwa na pia wataipa power backup system
Niwekee picha ya ITX yenye kuvuta behewa nane(8) Hapa....🤣🤣🤣🤣Hivi unatumia akili wewe au matope?, kila design inatengenezwa kutoka na mahitaji ya mwendo wa train, kama kasi ni kubwa sana, ndio mbele inachongwa kufanana na ndege, sasa kwa kasi ya 160Km/hr inalazimisha utengenezewe kitu chenye gharama kubwa inayofanana na 320km/hr, hivi hayo ni matumizi mazuri ya pesa?. Kama hao wenyewe pamoja na utajiri wao lakini Wanatumia ITX kasi ya 160km/h, sisi tunautajiri gani wa kufuja pesa?
Wanaposema 160km/hr ni total average speed...Kuna sehemu itaenda 80km/hr na sehemu nyingine 200km/hr...February sio mbali...Mbona unalazimisha mambo ? Watu mnapenda makuu as if SGR imefika Mwanza? If Our SGR can accommodate a train of a speed less than 200km/h, it will be highest impunity instead of ITX to buy KTX that cruises at 305km/h n yet to be operated at limited speed of 160km/h! JPM hawezi fanya ujinga huo!