joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #181
@Tony254Hata electrification ya SGR was signed!
Kenya SGR electrification contract signed - International Railway Journal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Tony254Hata electrification ya SGR was signed!
Kenya SGR electrification contract signed - International Railway Journal
Nampongeza kw kutofuata mkumbo, anajifanyia maamuzi anavyopenda yeye..Kumbe kumchagua lisu ndio kuwa vizuri, wakenya bhana
Mimi sina sifa ya kupiga kura, lakini kama ningekua na sifa hizo, hata siku moja siwezi kumchagua Lissu.Nampongeza kw kutofuata mkumbo, anajifanyia maamuzi anavyopenda yeye..
Km jamaa alikua akinengua na miradi yote anayofanya magu hapa jf alafu kumbe ana maamuzi ya kwake hta bila kufuata upepo..
Nimempongeza sana
siku hizi unabisha kiboyaboya sasa treni ya 350 km/h wakati design ya reli inaweza ku-accomodate less than 200km/h? Hivi ubishi wa akili hii umeutoa wapi? Ni kama utake kuwa na race-car Ferrari huku una barabara korongo! Acha hizo, treni ya Speed hizo unazotaka wewe huwezi kuzikimbiza kwenye reli ya design yetu, kuzinunua sasa ni matumizi ya kiwendawazimu!
Mie na wengi wetu tunatamani plan iliyopo sasa ya kusambaza hii ya 160km/h isambae nchi nzima kwanza!Sijabisha, ila natamani speed zaidi ya 160kmph.
Hivi kwa akili yako unaweza kuwa na train yenye speed ya 350Km/h na ikaweza kusimama, Pugu, Soga, Ngerengere?. Kwanini Dreamliner haiwezi kufanya safari za Dar- Zanzibar?Sijabisha, ila natamani speed zaidi ya 160kmph.
you mean kwa mujibu wa sponsors wenu wa "corona period?"Tuna uchumi karibu mara dufu yenu kwa mujibu wa World bank na IMF na UN.
Lisu atashinda labda wekenya wangeruhusiwa kupiga kura Tz lakini Kwa kura za Watanzania mpaka dunia inaisha hawezi kupata hata ile 25% ya kura zoteMimi sina sifa ya kupiga kura, lakini kama ningekua na sifa hizo, hata siku moja siwezi kumchagua Lissu.
Opinion poll zinaonyesha Lissu anaongoza akiwa na 14%, akifatiwa kwa mbali na Magufuli akiwa na 84%Lisu atashinda labda wekenya wangeruhusiwa kupiga kura Tz lakini Kwa kura za Watanzania mpaka dunia inaisha hawezi kupata hata ile 25% ya kura zote
Hii hapana, hii inakimbia 305km/hr na gharama zake za kuiendesha ziko juu sana.
Ohk nimeona kuna kijana yuko shule Korea ka-post! Inakaa ndo watakuwa maintenance system operation engineers au madereva wa ITX wenyewe!Hii hapana, hii inakimbia 305km/hr na gharama zake za kuiendesha ziko juu sana.
Hii hata huko kwao pia nauli yake ipo juu sana 40% higher than ITX.Ohk nimeona kuna kijana yuko shule Korea ka-post! Inakaa ndo watakuwa maintenance engineers au madereva wenyewe!
No wonder there is some activities on the old airport north road that was closed.here are the are the partners who will incharge of the project , but jua alstom they deal with DMUS engine only...na hii project si ya serikali ni ya investor
View attachment 1604828