joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #161
What was the cost of your diesel old train per coach wagon?Just answer how many you're getting with $60m acha porojo nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What was the cost of your diesel old train per coach wagon?Just answer how many you're getting with $60m acha porojo nyingi
Is that the answer?What was the cost of your diesel old train per coach wagon?
Acha maneno mengi yasiyo na maana. Kule France uhuru ali sign project 3. Barabara, electric transmission na hiyo reli. Fungu kubwa ni kwenye barabara almost 90% ya gharama za projects zote. Then ndio ukarabati wa hiyo reli na ujenzi wa hiyo transmission line unamalizia percentage iliyobaki. Hakukuwa na dili ya EMUs wala DMUs.here are the are the partners who will incharge of the project ..but jua alstom they deal with DMUS engine only...na hii project si ya serikali ni ya investor
View attachment 1604828
The cost of electric locomotive engines is about 30 percent less than diesel locomotive engines on the global market, and maintenance costs are 35-55 percent less than for diesel engines.Just answer how many you're getting with $60m acha porojo nyingi
MY TAKE: Hizi bullets trains zinakidhi mahitaji ya Tanzania kwasababu gharama zake ni wastani na zinaweza kusimama vituo vingi tofauti na KTX ambazo zinakimbia 350km/hr, hivyo kushindwa kusimama vituo vingi.
Hongera Tanzania. Hongera East Africa.
Umeuliza au umejibu?nani kakwambia kuwa speed ya 350 itakuwa ngumu kusimama vituo vingi?? hatutaki Trains slow sisi, tuna taka vituvya fasta vibaya.
Yes sir!!Is that the answer?
siku hizi unabisha kiboyaboya sasa treni ya 350 km/h wakati design ya reli inaweza ku-accomodate less than 200km/h? Hivi ubishi wa akili hii umeutoa wapi? Ni kama utake kuwa na race-car Ferrari huku una barabara korongo! Acha hizo, treni ya Speed hizo unazotaka wewe huwezi kuzikimbiza kwenye reli ya design yetu, kuzinunua sasa ni matumizi ya kiwendawazimu!nani kakwambia kuwa speed ya 350 itakuwa ngumu kusimama vituo vingi?? hatutaki Trains slow sisi, tuna taka vituvya fasta vibaya.
Zaidi ya 90% ya uwezo wa treni kuwa na speed kubwa (kama hiyo ya 300km/h ) haipo kwenye locomotives bali ipo kwenye miundombinu ya reli yenyewe. Hapa naongelea aina ya steel za reli, mataruma, kokoto, tuta, kona za reli (cant), miinuko (gradient) n.k. Haya yote yanahitaji "precision" ya hali ya juu na hivyo kuongeza gharama.nani kakwambia kuwa speed ya 350 itakuwa ngumu kusimama vituo vingi?? hatutaki Trains slow sisi, tuna taka vituvya fasta vibaya.
Hujaelewa.. unaweza kuwa na revenue kubwa Ila operation costs zikawa kubwa zaidi matokeo yake unapata low profit au loss kabisa. Good example ni gari Moshi lenu.Look at you. You can`t get profit if you don`t have enough income. Remember your passenger's train will have to do a four-way trip in order to match a one-way trip of our SGR if speed is kept constant. So far Kenya 1- Tanzania 0.
More coaches added to SGR train to meet high demand from travelers.
Hata hujui chenye unamaanisha..hiyo reli ni ile ya spain DMU'S..yenye ali sign ilikua ya investor wa france yenye itakua EMU'S na itakua phase 2..sijui tutakuelimisha aje..unajiabisha tu bure..before you coment kitu fanya utafiti bro..mulikuja mukasema ati kenya haitawai na haiwezi jenga BRT sai washaanza kujenga infrustructure za BRT..sai mkasema kenya haiezi kua na EMU'S ..ngojeni mwaka ujao mujionee..hio ni sure deal as long as investor amekubali aka sign ngojeni kitu muone kitu kikijengwa kama venye nairobi expressway inavyo jengwaKule France uhuru ali sign project 3. Barabara, electric transmission na hiyo reli. Fungu kubwa ni kwenye barabara almost 90% ya gharama za projects zote. Then ndio ukarabati wa hiyo reli na ujenzi wa hiyo transmission line unamalizia percentage iliyobaki. Hakukuwa na dili ya EMUs wala DMUs.
Muda mwingine huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi kumjibu mtu asiyetumia akili vizuri.siku hizi unabisha kiboyaboya sasa treni ya 350 km/h wakati design ya reli inaweza ku-accomodate less than 200km/h? Hivi ubishi wa akili hii umeutoa wapi? Ni kama utake kuwa na race-car Ferrari huku una barabara korongo! Acha hizo, treni ya Speed hizo unazotaka wewe huwezi kuzikimbiza kwenye reli ya design yetu, kuzinunua sasa ni matumizi ya kiwendawazimu!
Kila kitu investor...what s cartel country..Hata hujui chenye unamaanisha..hiyo reli ni ile ya spain DMU'S..yenye ali sign ilikua ya investor wa france yenye itakua EMU'S na itakua phase 2..sijui tutakuelimisha aje..unajiabisha tu bure..before you coment kitu fanya utafiti bro..mulikuja mukasema ati kenya haitawai na haiwezi jenga BRT sai washaanza kujenga infrustructure za BRT..sai mkasema kenya haiezi kua na EMU'S ..ngojeni mwaka ujao mujionee..hio ni sure deal as long as investor amekubali aka sign ngojeni kitu muone kitu kikijengwa kama venye nairobi expressway inavyo jengwa
Wewe hater subiri uone bhna, usitake ku compare oranges na mangoes, ww anything in Tz utataka iwe chini ya Kenya, gari moshi ya Kenya utasema ni bora kushinda electric railway, flyover ya bongo utasema ni inferior to Kenyans, etc, sasa haiwezi kuwa hivyo milele.As far as business is concerned, bado tumewachapa. That ITX train has a maximum capacity of 300 passengers, our passenger train has a capacity of 1200 passengers. Let`s take a distance example of 500km.
When both trains leave the station at the same time going to a 500km away distance, the Tanzanian trains with 300 passengers will reach 1 hour before the Kenyan train with 1200 passengers. In that scenario which train do you think will make more money per trip?
More coaches added to SGR train to meet high demand from travelers.
Kumbe kumchagua lisu ndio kuwa vizuri, wakenya bhanaHahahaha!!kumbe uko vizuri linapokuja swala la maamuzi km haya sana ambayo ni haki yako kikatiba.
Kufuata mkumbo saa zingine sio poa, hku bado tunachora nani wakumueka lkn najua kuna wafuata mkumbo watatuangusha tu
Ok, naomba uniambie uhuru ali sign contract ngapi kule France. Na hizo contract ni za nini..leta article hapa tuone. Sio unaongelea ndoto zako hapa.Hata hujui chenye unamaanisha..hiyo reli ni ile ya spain DMU'S..yenye ali sign ilikua ya investor wa france yenye itakua EMU'S na itakua phase 2..sijui tutakuelimisha aje..unajiabisha tu bure..before you coment kitu fanya utafiti bro..mulikuja mukasema ati kenya haitawai na haiwezi jenga BRT sai washaanza kujenga infrustructure za BRT..sai mkasema kenya haiezi kua na EMU'S ..ngojeni mwaka ujao mujionee..hio ni sure deal as long as investor amekubali aka sign ngojeni kitu muone kitu kikijengwa kama venye nairobi expressway inavyo jengwa
Kama ajaelewa mpe mfano huu: anaweza akalipwa mshahara mkubwa lakini katika nchi anayoishi gharama za maisha yapo juu labda analipwa Ksh 25000 ambayo ni laki 5 TZS lakini gharama ya matumizi ya mwezi akibana bajeti anatumia labda 17500 ksh halafu mwenzake analipwa labda 20000ksh lakin nchi anayoishi gharama za maisha zipo chini Kwa mwezi anakula vizur tu anatumia 7500 sasa kuna faida gani hapo ya kupokea pesa nyingi?Hujaelewa.. unaweza kuwa na revenue kubwa Ila operation costs zikawa kubwa zaidi matokeo yake unapata low profit au loss kabisa. Good example ni gari Moshi lenu.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Hata electrification ya SGR was signed!Greenfield terminal ilitiwa saini na ujenzi ukaanza, rais na serikali nzima ilikwenda kufungua shighuli za ujenzi.
Wanaonyesha comparison kuwachokoza!Why is this Kenayan newspaper use Kenyan "trains" picture for this news? What the **** wrong with guys?