Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sera mbovu za nchi zinazidi kuua uchumi wa taifa, mbweha bado wanashangilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaabisha beberu mbuzi dume au?Hao ni mabeberu
Naomba nikujulishe kuwa mie sijifanyi nina akili, kiukweli wewe una akili zaidi yangu! Mie kazi yangu ni kusema ukweli na Kwa bahati nzuri sheria ya takwimu naijua sana kuliko wewe na ndugu zangu wapinzani wa kila jambo ingawa akili yangu ndogo kuliko mtoto aliyezaliwa leoWe unajifanya unaakili na kujua kuitafsiri sheria ya takwimu kuliko serikali yetu tukufu iliyotunga hiyo sheria?
Kwa hiyo hao wanaoipinga hawajaielewa sheria au?Naomba nikujulishe kuwa mie sijifanyi nina akili, kiukweli wewe una akili zaidi yangu! Mie kazi yangu ni kusema ukweli na Kwa bahati nzuri sheria ya takwimu naijua sana kuliko wewe na ndugu zangu wapinzani wa kila jambo ingawa akili yangu ndogo kuliko mtoto aliyezaliwa leo
Wana yao! Sheria haina shida yoyoteKwa hiyo hao wanaoipinga hawajaielewa sheria au?
Amani iwe naweWana yao! Sheria haina shida yoyote
Udaku wa namna hii ndio makamanda wanaupenda. Yaani hide my ID please. Bila source, ha ha ha....NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
Jamaa hana link wala nini. Kakurupuka na umbea wake tu.Weka link acha uoga wa kipuuzi.
Hili sio suala la link ni habari kutoka jikoni ambako na mie nipo. Huo ni mradi wa kitengo cha World Bank ambao ulikuwa unahitaji Tanzania kutoa statistics ambazo haijapitishwa na serikali. Hilo ndio nitakueleza. Kama unataka nenda ofisi za World Bank kawaulize wakupe habari zaidi.Weka link acha uoga wa kipuuzi.
Nadhani siyo kuchongea. Ni kweli tupu. Sheria zingine zilitungwa bila kushirikisha wadau, yaani hapakuwa na ignorance of corporate veil. Hilo ni tatizo ambalo litatusumbua sana. Lingine la safari ni kweli, kibali mtu unatakiwa kuomba 14 days kabla ya safari, na mara nyingi safari huwa ghafla, ingawa kuna dharula na inafanya kazi kwa mashartiTanzania imeondolewa katika mradi wa kimataifa unaohusu mambo ya nishaji endelevu (sustainable energy management) sababu ikiwa ni matatizo ambayo wafadhiri wa mradi wanaona watapambana nayo kutokana na sheria ya Tanzania ya takwimu.
Mradi huo unahusu pia kuzifanyia upembuzi taarifa na takwimu zinazotolewa na serikali nishai, na pale zinapoonekana zina makosa kutumia njia nyingine zutakazoonyesha nini kinapaswa kuwa kweli (interpolation/extrapolation methods). Wafadhiri wa mradi huo walielezwa kwamba sheria ya Tanzania kuhusu takwimu haitawaruhusu kutoa maoni mbadala juu ya takwimu za Tanzania, hata kama zinaonekana kuwa hazisemi kweli.
Zaidi ya hilo, wataalamu hao walikabiliana na tatizo la Tanzania kuhudhuria mikutano na semina za mradi huo pale ambapo zilifanyika nje ya Tanzania, kutokana na ugumu wa Watanzania kupata ruhusa ya kutoka nje ya nchi.
Hatimaye wafadhiri wa mradi huo, baada ya majadiliano na wahusika wa mradi upande wa Tanzania, waliamua kuiondoa Tanzania kwenye huo mradi.
NB: Siwezi kuweka source kwa kuogopa kuichongea hiyo taasisi ya kimataifa na watu walio kwenye wizara walioridhia Tanzania kuondolewa kwenye huo mradi.
Pamoja na kuwa sina haja ya kubishana nawe Synthesizer ila Sheria ya Takwimu haikatazi kuksoa takwimu za NBS! Wala haikatazi kuchukua takwimu kwa matumizi ya taasisi au mtu binafsi! Ni kawaida wadau kukosoa kwa data takwimu rasmi kama 10 fundamental principle of official statistics. Tatizo ni watu wankurupuka na kutangaza takwimu zisizo na uhalisia kwa kutumia sample ambayo si representative of the population.
TrueHao ni mabeberu