Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa Tanzania ina impact gani UN? Ni sawa na Mesopotania tu.My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
View: https://www.instagram.com/p/DAIhcW4IJKI/?igsh=MXczZTFyNTc0eWxqbw==
Shangaa wewe?Sasa hii inawatisha nini Israel?
Yani siri ya Marekani na Israel uijuwe wewe wasijuwe Hizbollar wanauwawa kama kuku?Sema US ARMY kills Hezb Commander, siri ambayo wengi hamuifahamu ni kua mtaala wa mafunzo ya kijeshi ya marekani na Israel ni sawa Kwa kila kitu, na mwanajeshi anaweza kutoka israel akaenda kupata ajira jeshi la marekani direct,
Bora tungenyamaza neutral tutadukuliwa tulipukiwe na vimomotela vyetuMy Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
View: https://www.instagram.com/p/DAIhcW4IJKI/?igsh=MXczZTFyNTc0eWxqbw==
Kwa nini tusiache kuviomba na kuvichukua hivyo vimisaada?🤔Sio kweli,vimisasda Vyao havibebi hatima ya maisha yetu.
Unalijua Taifa teule la Mungu au unajifurahisha tu. Kile ni kizazi cha Musa. Usipime. Hata hizo kura mkipigima mara 100 hazitawahi wala hazijawahi kuwa na athari yoyote kwenye sera na harakati za Israel za kupambana na kuwanyoosha magaidi wa mashariki ya kati na vibaraka wao. Uncle Sam ana kura ya VETO, so nothing can the UN vote do or change on ground, without support of all the P5, and 3 of which are pro-Israel. Hao UN members wengine ni wasindikizaji tu linapokuja suala la usalama wa dunia.Kama Israel hawatatoka watakao andamana Tz tarehe 23 watalipia juu ya hilo
Hata wanaweza kupitia umu JF na kulipua haivyo vitochi vvenu mnavyotumia kujifurahisha kwa comments zisizo na mashiko dhidi yaoBora tungenyamaza neutral tutadukuliwa tulipukiwe na vimomotela vyetu
Dah nimecheka kingeseYani siri ya Marekani na Israel uijuwe wewe wasijuwe Hizbollar wanauwawa kama kuku?
Una vituko sana.
mama yako kaongea na makamishna huko umesikia? Wanaanza na wewe, siku nyingi sana mkuu kwema?Yani siri ya Marekani na Israel uijuwe wewe wasijuwe Hizbollar wanauwawa kama kuku?
Una vituko sana.
Hatuombi ,wanajileta kujipendekezaKwa nini tusiache kuviomba na kuvichukua hivyo vimisaada?🤔
Imeandikwa, Yeyote atakayewabariki na mimi nitambariki na yeyote atakayewalaani na mimi nitamlaani, Bora sisi TZ pale UNGA tusingevote, maana hapa huenda ndizo hizi laana tunazoanza kuziona hapa kwetu kwa matukio ambayo hatukuyazoea. Next time we better abstein in such votings. It is the wise move.. Otherwise na sisi tutalaaniwa kama wale majirani zake wote waliojaribu eti kulifuta Taifa teule la Mungu mwaka 1967, KIBAO Kikawageukia wao in 6 days wakawa defeated.Sasa hii inawatisha nini Israel?
Kama Haina impact kura zisingekuwa zinapigwaSasa Tanzania ina impact gani UN? Ni sawa na Mesopotania tu.
Kwani uongouongo ni msaada kwa mambo yahusuyo maisha?Hatuombi ,wanajileta kujipendekeza
AbstainMaazimia ya miaka ya karibuni tulikiwa tuna absteen ila Sasa tumeamua kuwa wawazi.
Misaada haiwezi kutuamulia Cha kufanya.
Ni sawa na Kura zetu tutakazopiga hapo mwakani November.Kama Haina impact kura zisingekuwa zinapigwa