Tanzania Yapiga Kura Kuunga Mkono Azimio la Umoja wa Maifa Kuitaka Israel Ijitoe Haraka Iwezekanavyo Gaza

Tanzania Yapiga Kura Kuunga Mkono Azimio la Umoja wa Maifa Kuitaka Israel Ijitoe Haraka Iwezekanavyo Gaza

Maazimia ya miaka ya karibuni tulikiwa tuna absteen ila Sasa tumeamua kuwa wawazi.

Misaada haiwezi kutuamulia Cha kufanya.
Umeelezwa vizuri.
Acha ushabiki wa kijinga. Umeambiwa toka enzi za Rais wa kwanza Tanzania iko kinyume na Israeli.
Sasa wewe endelea kitu usichokijua
 
Kwa unafiki haka ka ardhi hatujambo ,mmepiga kura mkijua Haina athari mana Kuna wale wa veto
 
Basi jiulize kwa nguvu, kwa nini viongozi wa Taifa lako (makada wa CCM) miaka nenda miaka rudi wanaendelea kupokea hivyo “vimisaada” toka kwa Watu wa Marekani tena kwa shukrani nyingi. Mpaka misaada ya kujengewa matundu ya vyoo mashuleni! Jeuri ya nchi inakuwa wapi?
 
Ni Chuki binafsi kwa Taifa teule la Mungu. Tunamshukuru Shujaa JPM angalau aliacha amefungua Ubalozi wetu wa kudumu pale Tel Aviv kabla hajafa. Mungua amrehemu kwa hili. Viongozi wengine walikuwa na chuki zao binafsi.
Usikute ndio maana nchi haiendelei
 
My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.

Tanzania imepiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linaloitaka Israel kumaliza uwepo wake "usio halali" katika eneo la Gaza.

Azimio hilo, lililopitishwa siku ya Jumatano, linaitaka Israel kujiondoa kutoka Ukingo wa Magharibi na Jerusalem ya Mashariki ndani ya mwaka mmoja huku mgogoro na Hamas ukikaribia kutimiza mwaka mmoja mnamo Oktoba 7.

Azimio hilo, ambalo ni la kwanza kuandaliwa na Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), lilipitishwa kwa kuungwa mkono na nchi 124.

Hatua hii inafuatia uamuzi wa ushauri wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) uliotolewa mwezi Julai, ambao ulisema uwepo wa Israel katika maeneo ya Palestina ni kinyume cha sheria.

Soma Pia: Tanzania yapiga kura za mkutano mkuu UN Kupinga vita ya Israel-Gaza

Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
God bless Israel
 
Wenye kujitambua huwa wanakwepa hizi kura kwa ku abstain. It iis a wise tactic move, if you want to stay neutral wasijue umelalia wapi. Hii fuata mkumbo itakuja kutugharimu. Nchi zenye kujua manufaa ya kuwa karibu na Israel kama Rwanda ili wanufaike na Technology zao, huwezi kuona wanajihusisha na hizi agenda za magaidi za kutaka kuliangamiza Taifa la Mungu.
Tanzania kuna viongozi wanajali uhai wao tu
 
Israel hajali yeye anapiga magaidi tu hadi waseme imetosha
 
Mimi nawashukuru sana, maana 1984 kwa ile njaa ya kipindi hicho, wasingekuwa hawa jamaa enzi za Ronald Reagan, sisi tuliokuwa mashuleni na vyuoni henda tungekufa kwa njaa. Ilikuwa balaa mpaka Mchonga kachanganyikiwa lakini pamoja na jeuri na ushujaa wake, ilibidi akimbile kwa Uncle Sam ili aokoe jahazi, na kweli alitupatia shehena ya Unga wa Njano tukaletewa mashuleni tukawa tumeponea hapo. Ulizia yoyote aliyekuwa shuleni Secondary na Vyuoni kipindi hicho wanajua . So we need them more than they need us. It is the only Super Power remaining, hata ungebishi kiasi gani. Hata hao wachina wenu bado sana, wanajitafuta.
Cina haijawahi kuwa challenged kama Marekani alivyopitia.
 
Huku nyie mnataka kuwafukuza wamasai ktk ardhi yao huko ngorongoro

Ova
 
Back
Top Bottom