Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatua ya kuzuia hayo mauaji na kuelekea kwenye amaniHaisaidii Watu Bado wanakufa Bila hatia..
Na ndio mana maskini wa kutupwa japo nchi ina utajiri wa maliasiliToka Kwa Mwalimu Nyerere Tanzania iliunga mkono palestina, lakini pia tuliunga mkono Biafra ijitenge kutoka Nigeria, tulivunja mahusiano na morroco, japo wamerudi majuzi tu hapo, Tanzania ni wajamaa ambapo mrengo huo ndio palestina alikua akiufuata
Sasa hii inawatisha nini Israel?
Acha utani ndg. Misaada ya arv ikikomeshwa unadhani makada wa lumumba watakuwa salama.Sio kweli,vimisasda Vyao havibebi hatima ya maisha yetu.
Mmeamua na nani? Hao vikaragosi mnaowaita viongozi hawawakilishi maoni ya kila mtanzania....unawaonea huruma palestina wakati kwa wananchi wako wewe ndiyo israel mtoa roho....huko Gaza wamalizane wenyewe, watwangane hata wakiisha wote ni sawa tu, hyatuhusu....wengine tunajali roho za watanzania wenzetu tu....Maazimia ya miaka ya karibuni tulikiwa tuna absteen ila Sasa tumeamua kuwa wawazi.
Misaada haiwezi kutuamulia Cha kufanya.
Vijana wengi wa WaTz wamefocus maisha yao huko mahala. Hiyo misaada ya watu wa Marekani inaamua hatma ya taifa letu, for sure.Misaada yenyewe condom,vipimo vya ukimwi, wafanyakazi tacaids,prep,pep.. yaani kwenye ukimwi tu
Marekani hasaidii maendeleo,anahangaika na hilo dubwana alotengeneza mwenyeweVijana wengi wa WaTz wamefocus maisha yao huko mahala. Hiyo misaada ya watu wa Marekani inaamua hatma ya taifa letu, for sure.
Mkuu, kubali tu kwa uzuri au ubaya Tanzania haiwezi kabisa kuepuka mkono wa Marekani.Marekani hasaidii maendeleo,anahangaika na hilo dubwana alotengeneza mwenyewe
My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
View: https://www.instagram.com/p/DAIhcW4IJKI/?igsh=MXczZTFyNTc0eWxqbw==
Inahusiana nini na msaada wa kondomu na vipima ukimwi wa marekani kwa tanzania?Mkuu, kubali tu kwa uzuri au ubaya Tanzania haiwezi kabisa kuepuka mkono wa Marekani.
Imagine, nchi yenye watu resourceful kama China bado inaenenda kwa tahadhari na Marekani hadi leo. Wangeshaichukua Taiwan siku nyingi tu. Lakini wanajua inabidi wapige hesabu pana sana kabla ya kuvamia. Itakuwa sisi tusio na uongozi unaojielewa.
My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
View: https://www.instagram.com/p/DAIhcW4IJKI/?igsh=MXczZTFyNTc0eWxqbw==
Achana na hao akina Turkey maana wao wana dunia yao.sasa Tanzania na Israel nani anamhitaji mwenzie?Thinking outside the box, kila mwanachama alieunga mkono azimio la kuisupport Palestine ina maana si rafiki tena wa Israel na itakuwa na athari katika mahusiano, biashara, utalii na mengineyo, mf Turkey wameondoa biashara ya chakula cha billions of money walichokuwa wakiuza Israel.
Hii ina maana pia raia wa Israel hawako salama tena kutembelea nchi zinazounga mkono Palestine. Israel inakuwa kisiwa kilichotengwa na sehemu kubwa ya dunia. Ni kitu kibaya sana kwa raia wake hawana amani tena.
Kuna nchi za ulaya kama Norway, Spain na Ireland tayari hazina tena ujamaa na Israel na hii si kitu kizuri kwa maslahi ya Israel.
Athari ni kubwa kuliko many people think.
My Take
Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki.
Hongera sana Rais #SSH# Kwa msimamo thabiti.
View: https://www.instagram.com/p/DAIhcW4IJKI/?igsh=MXczZTFyNTc0eWxqbw==