Tanzania Yapiga Kura Kuunga Mkono Azimio la Umoja wa Maifa Kuitaka Israel Ijitoe Haraka Iwezekanavyo Gaza

Maazimia ya miaka ya karibuni tulikiwa tuna absteen ila Sasa tumeamua kuwa wawazi.

Misaada haiwezi kutuamulia Cha kufanya.
Umeelezwa vizuri.
Acha ushabiki wa kijinga. Umeambiwa toka enzi za Rais wa kwanza Tanzania iko kinyume na Israeli.
Sasa wewe endelea kitu usichokijua
 
Kwa unafiki haka ka ardhi hatujambo ,mmepiga kura mkijua Haina athari mana Kuna wale wa veto
 
Basi jiulize kwa nguvu, kwa nini viongozi wa Taifa lako (makada wa CCM) miaka nenda miaka rudi wanaendelea kupokea hivyo “vimisaada” toka kwa Watu wa Marekani tena kwa shukrani nyingi. Mpaka misaada ya kujengewa matundu ya vyoo mashuleni! Jeuri ya nchi inakuwa wapi?
 
Ni Chuki binafsi kwa Taifa teule la Mungu. Tunamshukuru Shujaa JPM angalau aliacha amefungua Ubalozi wetu wa kudumu pale Tel Aviv kabla hajafa. Mungua amrehemu kwa hili. Viongozi wengine walikuwa na chuki zao binafsi.
Usikute ndio maana nchi haiendelei
 
God bless Israel
 
Tanzania kuna viongozi wanajali uhai wao tu
 
Israel hajali yeye anapiga magaidi tu hadi waseme imetosha
 
Cina haijawahi kuwa challenged kama Marekani alivyopitia.
 
Huku nyie mnataka kuwafukuza wamasai ktk ardhi yao huko ngorongoro

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…