Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Serikali ya Tanzania leo imepokea kutoka Serikali ya Madagascar msaada wa dawa zinazofubaza virusi vya corona ikiwa ni siku tano tu toka Rais Magufuli aseme ——-> “Nimewasiliana na Madagascar kuna dawa ya corona wameipata nitatuma Ndege hiyo dawa ije hapa”

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tunaomba Kwanza huyo aliyeupokea ajiambukize COVID-19 Kimakusudi kisha aitumie hiyo Dawa na tupate Mrejesho wake.
 
Duh.

Kweli maisha yanaenda kasi,leo hawa madagascar wanakuwa dona kantri kwa Tz.

Kweli corona imetunyoosha,yeyoye atatusaidia tu.

Sent using iphone pro max
 
Tanzania inatafuta shortcut ya kutatua matatizo ya msingi, hivi Serikali inafikiri nchi nyingine ni wajinga kuendelea kupima watu wake na kuchukua hatua ngumu dhidi ya Covid19 na badala yake na wao waagize dawa kutoka Madagascar?
 
Una uhakika wamepungua au unatoa macho tu kama kabudi kumbe huna akili

Au Mods mnasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…