Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Kinachokuuma ni kipi hapo?Sawa wewe si ndio wakala wa tigo pesa uliepewa urushe hiyo fedha madagascar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachokuuma ni kipi hapo?Sawa wewe si ndio wakala wa tigo pesa uliepewa urushe hiyo fedha madagascar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni formular mkuuInaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar
Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sampuli itasaidia sisi kutengeneza yetu nyingiMaboksi 13 ndiyo ndege ya Raisi imeenda kuchukua huku mpokeaji akishukuru sana
Kikombe cha babu kutoka kwa babu wa Madagascar hakiwezi kufua dafu!
......🙄🙄🙄......
😂😂😂😂😂Aliyeturoga waafrika alafu akafa alaaniwe.
Hahaha nimeona vilaza ila hii kitu ni next level duh
Hahahahahhahaaaa Magu made my day today dah.Sasa Kabudi na uprofesa wake wote maskini muone hapo utasema clown dah kupelekeshwa huku jamani hahahahaha
Whaatt!!???!?😂😂😂😂😂😂😁😁😀
[emoji23]Inaonekana dawa inafanya kazi kwa ufanisi wa asilimia kadhaa na hii imekuwa proved baada ya case za wagonjwa kupungua Madagascar
Je huu mmea hau-exist Tz ili tuanze kufanya production kwaajili ya ujenzi wa taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tuone matokeo Madagascar wana dawa lakini wagonjwa wanaongezeka tumia akiliAsante awamu ya tano kwa kuwajali Watanzania
Kwaajili ya watu wa ikuluni na bungeni tu waliobaki kujifukiza yatosha, kulamba ndimu na tangamwizi yatosha.zitatutosha hizo ? au kila mtanzania tone moja
Yaan anatujali kwa kutuletea madawa ya kienyeji,,Asante Rais Magufuli kwa kuwajali Watanzania