Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Dah!..hii nchi hii....haya bhana...acha nisiongeze chochote.
 
Aliyeturoga waafrika alafu akafa alaaniwe.
Hahaha nimeona vilaza ila hii kitu ni next level duh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unamuita Profesa Kabudi kilaza?
 
Hata akisema watu wanywe mav*, baadhi watasifia na kupiga picha wakinywa. Na TV station yao itatetea tu. Watu wanaumini kama ni dini vile.
Hahahahahhahaaaa Magu made my day today dah.Sasa Kabudi na uprofesa wake wote maskini muone hapo utasema clown dah kupelekeshwa huku jamani hahahahaha
 
Safi sana mzee wa chato kumbe unwapenda raia wako umefaiti hadi mzigo umefika

Mwambie bi Ummy fasta ausambaze katika hospital zetu pia msiwasahau na wale wapemba kule Zenji wasije wakafa na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…