Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

🤣🤣🤣
629981088060.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuliweka Mungu awe Kinga yetu,
Na ame tufariji mno.
Na ataendelea kuufariji kwa vile tumemtegemea yeye kiukweli.
Hongera Raisi wetu Magufuli kwa kuonesha Ujasiri na Mapenzi Kwa Mungu Muumba Na imani Thabit.
Kumtegemea Mungu ni jambo jema sana. Mugnu anatenda kazi.
Hii scenario naifananisha na tukio moja.
Ni sawa na uende chumba cha mtihani hujaoma chochote halaf utegemee Mungu atakushushia majibu never? Utafeli 10000%
 
Halafu ukizingatia kuwa Madagaska ni kati ya nchi ambazo asilimia kubwa ya waliopata maambukizi wamepona, halafu haina kifo hata kimoja kinachotokana na corona!! Kwa hiyo tuna sababu ya kuiamini dawa yao. Wazungu najua inawauma sana dawa kupatikana Madagaska!
Nadhani hii kauli yako utaipinga. Wana vifo 279 mpaka sasa na maambukizi 55.4million.
Check your facts kabla hujatoa lawama hewa
 
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.


Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.

Kabudi tena !
 
Back
Top Bottom