Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtegemea Mungu ni jambo jema sana. Mugnu anatenda kazi.Tuliweka Mungu awe Kinga yetu,
Na ame tufariji mno.
Na ataendelea kuufariji kwa vile tumemtegemea yeye kiukweli.
Hongera Raisi wetu Magufuli kwa kuonesha Ujasiri na Mapenzi Kwa Mungu Muumba Na imani Thabit.
Nadhani hii kauli yako utaipinga. Wana vifo 279 mpaka sasa na maambukizi 55.4million.Halafu ukizingatia kuwa Madagaska ni kati ya nchi ambazo asilimia kubwa ya waliopata maambukizi wamepona, halafu haina kifo hata kimoja kinachotokana na corona!! Kwa hiyo tuna sababu ya kuiamini dawa yao. Wazungu najua inawauma sana dawa kupatikana Madagaska!
Nchi ya chama kimoja ya Mfalme JUHANakulilia Tanzania
Ila nchi hii bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Prof.Kabudi!🤣🤣🤣Ila nchi hii bana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo wa mbele ni Prof!!!!
majibu anayo KabudiUlipata kuinywa?
hawana hurumaNakulilia Tanzania
Kabudi tena !Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.