BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022.
Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na Ushirikishwaji kwa Wananchi pamoja na Usalama na Utawala wa Sheria. Nchi nyingine zilizotajwa ni Rwanda (12), Kenya (13), Malawi (18), Zambia (24), Uganda (31) na Burundi (43).
Vigezo vilivyoangaliwa ni Usalama, Utawala wa Sheria na Haki, Kupambana na Rushwa, Uwajibikaji na Uwazi, Ushirikishwaji, Usawa wa Wanawake, Fursa za Kiuchumi, Biashara na Mazingira ya Kazi, Miundombinu, Afya, Elimu na Ustawi.
Nchi 10 zilizofanya Vizuri
1 Mauritius
2 Seychelles
3 Tunisia
4 Cabo Verde
5 Botswana
6 South Africa
7 Ghana
8 Namibia
9 Senegal
10 Morocco
Nchi 10 zilizofanya Vibaya kwenye Utawala Bora Afrika - 2022
1 Libya
2 Jamhuri ya Kongo Brazaville
3 Chad
4 Sudan
5 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
6 Jamhuri ya Afrika ya Kati
7 Equatorial Guinea
8 Eritrea
9 Somalia
10 Sudani Kusini
===================
Africa’s progress in human and economic development has slowed against a backdrop of “widespread democratic backsliding” and worsening security in the last three years, an African foundation said Wednesday.
The Mo Ibrahim Foundation said there had been “marginal improvement” in good governance across Africa since 2012 but the trend had “flatlined” since 2019.
“Improvements in human development and economic foundations are undermined by an increasingly perilous security situation and widespread democratic backsliding,” according to the 2022 Ibrahim Index of African Governance.
Tendancies have been reinforced by the struggle with external challenges such as the Covid pandemic and the climate crisis, it said.
“Governments have been increasingly prone to infringe on rights, curb freedom of expression and association, and impose restrictions on civic space,” it said.
It said the trend “rapidly accelerated” when elections were cancelled in many places and governments used Covid as “an excuse to clamp down on dissent.”
But the index said that more than 90 percent of the continent now live in a country where human development — health, education, social protection and other criteria — is higher than in 2012.
The five countries that performed best in good governance were Mauritius, Seychelles, Tunisia, Cape Verde and Botswana.
South Sudan was in last place behind Somalia and Eritrea.
It also said The Gambia, the Seychelles and some other countries were “bucking the continental trend,” and cited broad improvement in the lot of women.
“In 42 African countries, women are seeing greater equality in political and socioeconomic spheres than they were in 2012,” it said.
AFP