Tanzania yasitisha ujenzi wa bandari kubwa Africa, Bagamoyo Port

Tanzania yasitisha ujenzi wa bandari kubwa Africa, Bagamoyo Port

Kiukweli Hii bandari ilikuwa na umuhimu..ila sio kwa wakati huu ambapo serikali imesign mikopo mbali mbali kupanua bandri ya Dar,Tanga na Mtwara ....Tz ina bandari Tatu Indian Ocean....Kenya kuna uhaja wa lamu kwa sababu mna bandari Moja tu Mombasa.......hii Bagamoyo ingekuja kuia Dar..na kumbuka serikali haina hisa hata kidgo kwenye hii project....kama ni kuhsu ujenzi wa viwanda..wavijnege kwenye corridor ya SGR mpya ...effiency ya Dar port inaongezeka soon kutokana na upanuzi unaoendelea....

Kama bandari ya Bagamoyo ingemilikiqa na serikali walau asilimia 51% ..nngeunga mkono hili
 
ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Possibly huu mradi utakuwa ulikuwa na makandokando ndo maana Serikali imeamua kuupiga chini.!
 
UONGO mtupu

Lengo la hiyo bandari lilikuwa ni one road network ya China so bidhaa za China zingekuwa zinapita hapo bure na kitendo hicho kingeuwa bandari ya DAR

Kiasi fran JIWE amekuwa makini hapo

Note
China sio wajinga kuwapa mkopo wa SGR Kenya then katikati ya ujenzi wagome kutoa mkopo hapo ni bandari ya Kenya inatafutwa
Uongo nini wewe. Una jua mikataba 21 aliyosaini wa msoga ukiwemo huo wa bandari ya bagamoyo chanzo kilikuwa ni nini?
 
ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Viwanda vinaweza kuja bila ya hiyo bandari ya Bagamoyo. Maeneo ya EPZ yapo mengi na bandari zipo 3. Wawekezaji wa kweli wanapishana TIC achana na maneno ya kupamba miradi ya Kichina. Ambacho kingetokea baada ya bandari kujengwa ni kusafisha eneo kwa ajili ya viwanda na kungoja wawekezaji waje, sasa hiyo kazi si inafanywa sasa hivi na EPZA. Nenda kwa jirani zetu walipewa maneno matamu na videos za vikatuni jinsi viwanda vitakavyo kuwa. Baada ya ku sign mchina ana angalia maslahi yake.
 
UONGO mtupu

Lengo la hiyo bandari lilikuwa ni one road network ya China so bidhaa za China zingekuwa zinapita hapo bure na kitendo hicho kingeuwa bandari ya DAR

Kiasi fran JIWE amekuwa makini hapo

Note
China sio wajinga kuwapa mkopo wa SGR Kenya then katikati ya ujenzi wagome kutoa mkopo hapo ni bandari ya Kenya inatafutwa
Tena ukizingatia ya bagamoyo magu ndio kachomoa maaana ake bandari ya Mombasa ipo hatarini wakenya mjikaze vyovyote mfikishe hiyo reli Uganda maana mtashindwa lipa deni afu hivi mimacho vidogo vitamanage Mombasa port hiyo
 
ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Unasemaje Anko ????
 
Uongo nini wewe. Una jua mikataba 21 aliyosaini wa msoga ukiwemo huo wa bandari ya bagamoyo chanzo kilikuwa ni nini?
Kwaiyo unaamini kabisa kuwa mtoto wa JK alibeba ngada?

Hivi unajua kuwa China wakimkamata hata raisi wa na ngada ananyongwa
 
Nikweli hiyo bandari na sgr ilikuwa ni mtego wa wachina kutuingiza choo cha kike hapo tunafaa kumpongeza magufuli
Nilichogundua humu watu wengi wanao comment humu hawajui vizuri hili deal la bagamoyo port jakaya aliingia mkenge...kifupi hili deal ilikua ni mchezo sawa na sgr ya Kenya thanx magu umetuokoa
 
Kwaiyo unaamini kabisa kuwa mtoto wa JK alibeba ngada?

Hivi unajua kuwa China wakimkamata hata raisi wa na ngada ananyongwa
Hata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.
Lazma kutakuwa kulitokea tukio ndo wakafanya suluhu ya vile
 
Hata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.
Lazma kutakuwa kulitokea tukio ndo wakafanya suluhu ya vile
Thibitisha kuwa JK alisaini hiyo mikataba 21 na ililenga nini
 
The author is Absolutely moron

Review this

Serikali imesema usitishwaji wa ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze kwa kiwango cha 'expressway' hauhusishi ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Dar es Salaam hadi Kibaha. Ujenzi wa barabara hiyo (Dar - Kibaha) yenye urefu wa takribani kilomita 30 unaendelea. https://t.co/jeVKCIAOyq
 
Sasa wewe unataka kuleta ubishi wa asili.
Wewe unafikiri huo mkataba wa kujenga bandari bagamoyo umetokea mbinguni?
Jiwe na JK wanapishana mitazamo jiwe anaamini ujamaa zaidi lkn anajifanya capitalist

Pia jiwe anaamini Tanzania ni tajiri na inaweza kufanya kila kitu yenyewe na ikaendelea mfano tunaona hatua dhidi ya acacia

JK alikuwa anaamini Tz haina uwezo wa kujiendesha bila misaada that why akaingia mkenge kwenye hiyo bandari na SGR

Hizo habari kuwa Ridhi alinaswa na ngada sio kweli China hawanaga msalia mtume wangemnyonga pia haiingii akilini eti Ridhi abebe ngada aise
 
Hata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.
Lazma kutakuwa kulitokea tukio ndo wakafanya suluhu ya vile
Tatizo unaakili za kijima unajua Rais wa Kenya na China wamesaini mwaka mmoja tu? Kemea roho ya kimaskini inayokuama.
 
Kikwete alikua anajaribu sana, kwa hii bandari angetupiga bao la uhakika, awamu ya leo wanatapatapa sana hata sijui vipau mbele vyao nini haswa.
Sisi tukomae na Lamu.
Nchi ilikuwa inauzwa my frnd. Masharti ya mikataba ni mibovu Sana. Bandari hingekuwa chini ya wachina kwa miaka 99. Mamkataba ungeweza kurudiwa katika ya mkataba. Serikali isiwangilie ktk bishara na kodi
 
Back
Top Bottom