Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Wewe wasemaKwani watekaji ni viongozi Mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasemaKwani watekaji ni viongozi Mkuu ?
Wewe wasema
Possibly huu mradi utakuwa ulikuwa na makandokando ndo maana Serikali imeamua kuupiga chini.!ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Uongo nini wewe. Una jua mikataba 21 aliyosaini wa msoga ukiwemo huo wa bandari ya bagamoyo chanzo kilikuwa ni nini?UONGO mtupu
Lengo la hiyo bandari lilikuwa ni one road network ya China so bidhaa za China zingekuwa zinapita hapo bure na kitendo hicho kingeuwa bandari ya DAR
Kiasi fran JIWE amekuwa makini hapo
Note
China sio wajinga kuwapa mkopo wa SGR Kenya then katikati ya ujenzi wagome kutoa mkopo hapo ni bandari ya Kenya inatafutwa
Viwanda vinaweza kuja bila ya hiyo bandari ya Bagamoyo. Maeneo ya EPZ yapo mengi na bandari zipo 3. Wawekezaji wa kweli wanapishana TIC achana na maneno ya kupamba miradi ya Kichina. Ambacho kingetokea baada ya bandari kujengwa ni kusafisha eneo kwa ajili ya viwanda na kungoja wawekezaji waje, sasa hiyo kazi si inafanywa sasa hivi na EPZA. Nenda kwa jirani zetu walipewa maneno matamu na videos za vikatuni jinsi viwanda vitakavyo kuwa. Baada ya ku sign mchina ana angalia maslahi yake.ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Tena ukizingatia ya bagamoyo magu ndio kachomoa maaana ake bandari ya Mombasa ipo hatarini wakenya mjikaze vyovyote mfikishe hiyo reli Uganda maana mtashindwa lipa deni afu hivi mimacho vidogo vitamanage Mombasa port hiyoUONGO mtupu
Lengo la hiyo bandari lilikuwa ni one road network ya China so bidhaa za China zingekuwa zinapita hapo bure na kitendo hicho kingeuwa bandari ya DAR
Kiasi fran JIWE amekuwa makini hapo
Note
China sio wajinga kuwapa mkopo wa SGR Kenya then katikati ya ujenzi wagome kutoa mkopo hapo ni bandari ya Kenya inatafutwa
Niamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu , we do have leaders with no creative
Unasemaje Anko ????ukiboresha huduma ndio unaongeza wateja. bandari ya bagamoyo ilikua muhimu kwa sababu serikali walikua hawakopi kokote wachina na waarabu walijitolea wenyewe pia kulikua na viwanda vingi ambavyo vingesaidia kutoa ajira pamoja na kuongeza kodi serikalini . monopoly imefeli miaka mingi sana ona ttcl walivyokua wamemonopoly siku hizi wanastruggle. bandari ilikua muhimu sana
Kwaiyo unaamini kabisa kuwa mtoto wa JK alibeba ngada?Uongo nini wewe. Una jua mikataba 21 aliyosaini wa msoga ukiwemo huo wa bandari ya bagamoyo chanzo kilikuwa ni nini?
Nilichogundua humu watu wengi wanao comment humu hawajui vizuri hili deal la bagamoyo port jakaya aliingia mkenge...kifupi hili deal ilikua ni mchezo sawa na sgr ya Kenya thanx magu umetuokoaNikweli hiyo bandari na sgr ilikuwa ni mtego wa wachina kutuingiza choo cha kike hapo tunafaa kumpongeza magufuli
Hata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.Kwaiyo unaamini kabisa kuwa mtoto wa JK alibeba ngada?
Hivi unajua kuwa China wakimkamata hata raisi wa na ngada ananyongwa
Thibitisha kuwa JK alisaini hiyo mikataba 21 na ililenga niniHata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.
Lazma kutakuwa kulitokea tukio ndo wakafanya suluhu ya vile
Sasa wewe unataka kuleta ubishi wa asili.Thibitisha kuwa JK alisaini hiyo mikataba 21 na ililenga nini
Jiwe na JK wanapishana mitazamo jiwe anaamini ujamaa zaidi lkn anajifanya capitalistSasa wewe unataka kuleta ubishi wa asili.
Wewe unafikiri huo mkataba wa kujenga bandari bagamoyo umetokea mbinguni?
Tatizo unaakili za kijima unajua Rais wa Kenya na China wamesaini mwaka mmoja tu? Kemea roho ya kimaskini inayokuama.Hata kama mwanae wa msoga hakukamatwa na madawa. Ila ile mikataba 21. Ilikuwa ya kiboya sana.
Lazma kutakuwa kulitokea tukio ndo wakafanya suluhu ya vile
Pitia HiiNiamnini nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu , we do have leaders with no creative
Nchi ilikuwa inauzwa my frnd. Masharti ya mikataba ni mibovu Sana. Bandari hingekuwa chini ya wachina kwa miaka 99. Mamkataba ungeweza kurudiwa katika ya mkataba. Serikali isiwangilie ktk bishara na kodiKikwete alikua anajaribu sana, kwa hii bandari angetupiga bao la uhakika, awamu ya leo wanatapatapa sana hata sijui vipau mbele vyao nini haswa.
Sisi tukomae na Lamu.